Serikali iyashughulikie madai ya Waislamu

Serikali iyashughulikie madai ya Waislamu

Status
Not open for further replies.
Sasa hivi inatosha tu kwa Waislamu kutangaza kuandamana na serikali itatuma Polisi, FFU, Mgambo au hata JWTZ! kwa wasioona mbali wanaona kuwa hili ni suluhisho sahihi.

Wasichokijua hapa ni kuwa kama Waislamu wataamua kucheza gemu la kutangaza maandamano kila ijumaa na serikali kupeleka vyombo vya usalama misikitini kila ijumaa ukijumlisha na upelekaji wa hivi vyombo kwenye kesi za kina Sheikh Ponda basi ni gharama kubwa sana kiuchumi ambayo serikali inaingia kila Ijumaa.
Vilevile bajeti ya ulinzi nayo inaongezeka, kwa nchi changa kama Tanzania serikali haitaweza kufanya hivi kila ijumaa bila ya nchi kuyumba kiuchumi.

Tathmini yangu inanionyesha na nadhani kuna watakaokubaliana nami kuwa Waislamu wa Tanzania sasa wana uwezo wa kuifyonza nchi kiuchumi! matokeao yake ni kuwa kama yale ya baada ya vita na Uganda, hata Wakristo wanaochekelea kupigwa kwa Waislamu sasa wajue kuwa hizo hela za MoU zitapungua sana kwenda kwao.

Tunachodai Waislamu si Serikali kutuletea jua au mwezi mkononi! ni madai ya haki na ya kimsingi ambayo yanatekelezeka na yoyote yule anayependa uadilifu, vinginevyo subirini nchi kufilisika kabla ya kwenda hatua nyingine.

Hebu taja madai yenu ni yapi. hatutaki unafiki. taja moja baada ya jingine. kwamba tusome posti zako za awali, wengine ni wageni humu jf. weka attachment tena. usichoke. wewe si unatangaza dini ya kiislam na haki yake. tafadhali attach tena.
 
Sio kitu cha kushangaza mkuu. Watu waliopita waliletewa mitume na kuonyeshwa kila dalili kuwa yeye ni mjumbe na kazi yake ilikuwa kufikisha ujumbe. Juu na hayo yote hawakuamini.

Sio wote watakaopata uzima wa milele.....

uzima wa milele hautapatikana kupitia dini yako. nakwambia kungali mapema. umepotea njia.
 
Sensa lilikuwa changa la macho tuu wala msituzuge, mbona hata 2002 tulihesabiwa halafu ilipokuja MOU mkapeana nyie tuu watu wa kanisa pekee yenu??? Hivi nyie wakristo kwa sababu mna shule nyingi, hospitali nyingi, vyuo vikuu vingi ndo mnadhani na akili mnazo nyingi saaana kutuzidi??? Haya bhana nyie twendeni tuu mdogo mdogo, tutafika tuu, inaonekana mmeshaota mapembe. Kitaeleweka tuu.


ndo waleeee tunaosema wanao sambaza vikaratasi vionekane kutoka kwa waislam
wewe si muislam
 
somalia afghanistan libya pia huko kuna wakristo wanaofanya waislam watoane roho wakidai madai yao
 
kazi mnayo wavaa kaptula ndevu!!! tupo hapa Luther House tunamalizia ku-draft tangazo la scholarship 13 za Master na PhD nchini Scotland kwa mwaka 2013 na zitatangazwa makanisani na kwenye magazeti ya kikristo na Redio za kikristo. Nyie ingieni tu barabarani. Tayari kuna gap na mnazidi kuliongeza badala ya kulipunguza. Poleni sana!
 
kila jambo liletwalo mbele ya watu ni lazima litakuwa na pande mbili yaan kuna wanao likubari na wanaolikataa. kuusiana na madai ya waislam na uislam kwa ujumla ni vivyo hivyo aliyelelewa na kanisa ni vigumu kukubali hata kama ataliona lipo na kama. na kwa wale waislam waliolelewa na kanisa au watu wa kanisa nao ni ivyo ivyo. lkn nina ieleweke kila mtu hupata faida na jambo lake sasa inategemeana ni faida gani yeye anaichukulia ni faida yaan kwangu inaweza kuwa hasara lkn kwa mwingine ni faida. siku ambayo waislam wataachana na malalamiko aya itakuwa ni hasara kwa wakristo hivyo ni lazima kwa sasa wao wa furahie hali hii. ndugu zanguni tuwe makin sana kwan mdhurumishi huwa aachi dhulma ila pale tu mdhurumiwa atakapo gundua kuwa anadhurumiwa na kuchukua hatua. NINAUHAKIKA KUWA KATIKA UKRISTO KUTUKANA NI DHAMBI SASA TUWAULIZE AWA WANAOJIITA WAKRISTO HAYA MATUSI NA UKRISTO WAO VIPI? hii ni kwakuwa wanajua hawana mfumo kamili wa maisha ivyo chochote kile kwao ni halali ilmrad tu kiwe kinafaida apa duniani bila ya kujari kama kinampendeza MUNGU au la kwa wale wanaoshabikia mipango ya kubuniwa na wakristo wenzao kuchoma makanisa waache waendelee kufurahia na watachomana kweli il tu wapate la kuwasingizzia waislam.
 
amani kamwe haitasimama ila kwa ncha ya upanga.kutoweka kwa amani ni matokeo ya dhulma na dhulma haidumu.

afu wewe. Ncha ya upanga kwa nani. Dhuluma ipi. Hebu taja acha kubwayabwaya.. Ncha ya upanga. Ndivyo mnafundishwa msikitini. Yesu kristo, mwalimu mkuu wa dini ya kweli hakuwahi kuwafundisha watu juu ya kupigania dini kwa ncha ya upanga. Dini inayofundisha ncha ya upanga ni dini ya yule muovu. rudisha panga lako alani mwake. Maana wote waushikao upanga wataangamia kwa upanga alisema yesu akimkemea petro alietaka kumpigania yesu kwa vita maana alikata sikio la mtoto wa kuhani mkuu. Hiyo dini safi, dini ya amani, upendo fadhili,utu wema, uvumilivu hata wakichomewa makanisa. Dini inayohamasisha upanga, siipendi na huyo mungu anaefundisha hayo, simpendi na alaaniwe.
 
siwapendi wakristo siku hizi,mnatudharau,mnatutukana,haya bwana midomo yenu.
 
kila jambo liletwalo mbele ya watu ni lazima litakuwa na pande mbili yaan kuna wanao likubari na wanaolikataa. Kuusiana na madai ya waislam na uislam kwa ujumla ni vivyo hivyo aliyelelewa na kanisa ni vigumu kukubali hata kama ataliona lipo na kama. Na kwa wale waislam waliolelewa na kanisa au watu wa kanisa nao ni ivyo ivyo. Lkn nina ieleweke kila mtu hupata faida na jambo lake sasa inategemeana ni faida gani yeye anaichukulia ni faida yaan kwangu inaweza kuwa hasara lkn kwa mwingine ni faida. Siku ambayo waislam wataachana na malalamiko aya itakuwa ni hasara kwa wakristo hivyo ni lazima kwa sasa wao wa furahie hali hii. Ndugu zanguni tuwe makin sana kwan mdhurumishi huwa aachi dhulma ila pale tu mdhurumiwa atakapo gundua kuwa anadhurumiwa na kuchukua hatua. Ninauhakika kuwa katika ukristo kutukana ni dhambi sasa tuwaulize awa wanaojiita wakristo haya matusi na ukristo wao vipi? Hii ni kwakuwa wanajua hawana mfumo kamili wa maisha ivyo chochote kile kwao ni halali ilmrad tu kiwe kinafaida apa duniani bila ya kujari kama kinampendeza mungu au la kwa wale wanaoshabikia mipango ya kubuniwa na wakristo wenzao kuchoma makanisa waache waendelee kufurahia na watachomana kweli il tu wapate la kuwasingizzia waislam.

unamaana makanisa yalochomwa yalichomwa na wakristo ili wawasingizie waislam. Duh. Hii dini kwaeli nazidi kuamini haitokani na mungu. Tazama huyu anaongopa na kutengeneza majungu mchana kweupeeeee. Na ninyi kwa majungu. Ni hatari. Miji yote ilojaa hawa jamaa ni hatari kwa majungu.
 
Nimefuatilia sana majibu yanayotoka kukiwa na habari yoyote inayohusu Waislam. Wengine utasikia magaidi hao,hawana ustaarabu,watu wa vurugu n.k........

Nakaa najiuliza tatizo na waislamu ambao hawapractise uislamu vizuri au ni uislamu kama dini yenye matatizo? Wengine utasikia dini ya ugaidi hiyo, wengine magaidi hao sielewe kwa kina tatizo ni dini ya Uislamu au waislamu?

Kama tatizo ni uislamu tuangalie Qura'am tukufu imeandika nini kuhusu mtu kumuua mwenzako pasi na sababu yoyote:-

مِنْ أَجْلِ ذَٰلِكَ كَتَبْنَا عَلَىٰ بَنِي إِسْرَ*ائِيلَ أَنَّهُ مَن قَتَلَ نَفْسًا بِغَيْرِ* نَفْسٍ أَوْ فَسَادٍ فِي الْأَرْ*ضِ فَكَأَنَّمَا قَتَلَ النَّاسَ جَمِيعًا وَمَنْ أَحْيَاهَا فَكَأَنَّمَا أَحْيَا النَّاسَ جَمِيعًا ۚ وَلَقَدْ جَاءَتْهُمْ رُ*سُلُنَا بِالْبَيِّنَاتِ ثُمَّ إِنَّ كَثِيرً*ا مِّنْهُم بَعْدَ ذَٰلِكَ فِي الْأَرْ*ضِ لَمُسْرِ*فُونَ ﴿٣٢

Tafsiri yake:-

Kwa sababu ya hayo tuliwaandikia Wana wa Israili ya kwamba aliye muuwa mtu bila ya yeye kuuwa, au kufanya uchafuzi katika nchi, basi ni kama amewauwa watu wote. Na mwenye kumuokoa mtu na mauti ni kama amewaokoa watu wote. Na hakika waliwajia Mitume wetu na hoja zilizo wazi. Kisha wengi katika wao baada ya haya wakawa waharibifu katika nchi. Sura Al-Maeda aya ya 32


Kwa andiko hili ni wazi kabisa Qura'n umeupa uzito wa hali ya juu uhai wa mwanaadamu kwani kuuwa pasi na sababu yoyote kisheria ni kosa kubwa mbele ya ALLAH.

Nathubutu kusema kuwa hakuna dini yoyote yenye andiko linalofanana na hili au lenye maana kama hii. Kwa mantiki hiyo Uislamu kama dini inathamini sana uhai wa mtu yoyote regardless dini yake. Sasa inakuaje kama waumini hawafuati maandiko (katika kila jamii watu kama hawa wapo) utasema kuwa dini yao ndio yenye matatizo au waumini wenyewe ndio wenye matatizo?

Ikiwa ni kuupiga vita na kuupaka matope Uislamu, walishafanya haya waliotangulia lakini hawakufanikiwa. So ikiwa mtu yoyote mwenye fikra kama hiyo ajue wazi kuwa ndoto yake haitatimia. Waliokuwa na mali zao wakaupiga vita uislamu kwa nguvu zao zote na hawakufanikiwa,itakuwa nyinyi mnaosemasema maneno tu?

Endeleeni kukejeli dini za wenzenu mwisho wa siku hakuna impact yoyote. Lakini nataka kusema kuwa Western Media & America wamefanikiwa kwa kupiga propaganda za hali ya juu na kuhalalisha vita katika nchi za Kiislamu. Lakini ukiangalia impact yake katika dini is almost wakufanya chochote despite kupoteza resources nyingi ambazo zingeweza kutumika katika mambo mengine yenye manufaa kwa umma.

Once Iran alisema kuwa wao hawana tatizo na ukristo kama dini ila wana tatizo na Zionist (Jewish) ambao wako mstara wa mbele kuupiga vita Uislamu kwa sura ya Ukristo. Mambo yote yanayooendelea sasa kama vita vya Syria Zionist are behind it!!



Wewe danganya wasioujua uislam, uislam unasema kill non muslim or convert them. Mfano soma historia ya jinsi ulivyoenezwa na mtume wenu mohammad. Uislam ulienezwa kwa umwagaji damu mkubwa sana ikiwepo kuoa wake wa mateka. Mmoja wa mateka alieolewa na mtume kwa nguvu ni Saffiyya ambae alikuwa mwisrael. Sasa wewe mtoa uzi usirudie kudanganya watu la sivyo nitakuwekea evidence za kuran zinazoonesha mauaji yaliyofanywa na mtume wenu katika vita ya uenezaji wa uislam.
Wachambuzi wengi wamesema kama ingekuwa enzi hizi mtume wenu angepelekwa the ergue.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom