Serikali iyashughulikie madai ya Waislamu

Serikali iyashughulikie madai ya Waislamu

Status
Not open for further replies.
Madai ya waislamu ni
1. Mahakama ya kadhi ( serikali ishughulikie uendeshaji wake pamoja na kugharamia expendetures mbalimbali ikiwa na kuwalipa wafanyakazi wa mahakama ya kadhi eg: Mashehk, Pamoja serkali kugharamia majengo na facilities za uendeshaji wa mahakama ya kadhi.
2. Tanzania ijiunge na OIC ambayo lengo lake ni kueneza uislamu na kuislimisha Dunia ikiwemo Tz, Pia lengo la OIC ni kuipoteza Israel( Taifa teule la Mungu Mkuu ambalo wakristo ktk biblia takatifu wameamliwa kulibariki na kulipenda kwani kwenda kinyume ni laana) ambapo lengo la OIC ni kuikomboa mji wa Jerusalem.

3. Katibu wa baraza la mitihani awe muislamu.

4. Mgawanyo wa ajira uwe sawa kwa kufata dini.

5. Ijumaa iwe siku ya mapumziko kama jumapili.

Katibu wa baraza la mitihani awe muislamu: ndo mwanzo huo, baadaye mtadai Rais awe Muislamu, baadaye baraza late la Mawaziri wawe waislamu baadaye Viongozi wote wa Nchi hii tangu ngazi ya chini hadi juu wawe waislamu na mwisho Kila kilichopo tanzania kiwe Kiislamu Ina maana na Wananchi wote wa tanzania. Haikubaliki. Dini zote hizo za kikiristo na kiislamu za kuja tu, babu zetu walikuwa na Imani zao, Sasa sisi tumezichangamkia kuwazidi hata waliozileta. Ulimbukeni huo na dini za kuletwa.
 
Selling Samosas must be banned
Movie theaters, radio and tv stations must be closed down
Airing football games (esp. EPL) on tv must be banned
All bars and night clubs must be closed down or demolished
All women must wear bukra/burka/hijab
..........................just like what Al shabab jihadists are doing in Somalia.

Pakistan is a failed state and has been lagging behind my ancestral home(India) due to the fact that the Pakistanis decided to embrace madrasat education in favour of science and technology. India has kept the pace while Pakistan is becoming poorer and poorer. I'm afraid that muslims in Tanzania are trying to put this nation in the same predicament that the Pakistanis are suffering. Embracing Madrasat education or sharia will make Tanzania sinking further into poverty and anarchy. We must learn from Pakistan

naendelea kukusoma unavyofunguka ....
 
Mgawanyo wa Ajira uwe sawa kwa kufuata dini: Ni aibu mtu wa Karne hii ya sayansi na teknolojia kusema hivyo. Ina maana pilot wa ndege akiwa mkiristo awepo pilot muislamu hata Kama hakidhi vigezo. Tumekwisha. Mwishowe mtadai mme akiwa mkiristo lazima mke awe muislamu na mke akiwa mkiristo mme awe muislamu. E Bwana wee. Karne hii mtu anathubutu kusema mambo Kama haya mbele ya Dunia bila hata aibu.
 
Mkuu hebu tusaidie na sisi tuyajue hayo madai ya haki tuyajue.

Haya hapa.....

1. Ijumaa iwe siku ya Mapumziko
2. Ndalichako atolewe necta
3. MoU ifutwe
4. Alama ya kujumlisha itolewe
kwenye operations za hesabu iwe
replaced na nyota au mwezi au
vyote nyota na mwezi
5. Sheria ya ugaidi ifutwe
6. Uvaaji wa hijab uwe ni sheria
7. Mahakama ya kadhi huru sio hii
ya Bakwata
8. Seminari za kikristo zifelishwe na
NECTA
9. Kila ofisi ya serikali kuwepo na
wafanyakazi nusu kwa nusu baina
ya wakristo na waislam
10. Serikali iharamishe nguruwe
kama ilivyoharamisha gongo
11. Kigoma Malima(Rip) nae aitwe
baba wa taifa.
Hayo ni kwa uchache tu mkuu
wangu
 
Walikimbia kuhesabiwa ili waanzishe vurugu.. Hawapendi amani hawa

liliniuma sana kipindi cha sensa kuna msitu nilipita nikakakuta waislamu wenzangu wamejificha hili swala liliniuma sana kama mtanzania mpenda maendeleo.
 
Mgawanyo wa Ajira uwe sawa kwa kufuata dini: Ni aibu mtu wa Karne hii ya sayansi na teknolojia kusema hivyo. Ina maana pilot wa ndege akiwa mkiristo awepo pilot muislamu hata Kama hakidhi vigezo. Tumekwisha. Mwishowe mtadai mme akiwa mkiristo lazima mke awe muislamu na mke akiwa mkiristo mme awe muislamu. E Bwana wee. Karne hii mtu anathubutu kusema mambo Kama haya mbele ya Dunia bila hata aibu.
what about Tanzanian Hindus, Bahai, Mormons, Aethiests, Budhas, or Animists?
 
hakuna kitu kibaya kwenye maisha ya mwanadamu kama ujinga...ujinga ndio unaotusumbua. Haki inakwenda sambamba na wajibu. Haki gani inayodaiwa kwa kuwafanyia karaha na fujo watu wengine? Mtu mwenye weledi ana namna ya kutumia kuadai haki zake.matumizi ya nguvu yatazimwa na matumizi ya nguvu vile vile....na imeonyesha ni kweli dawa ya moto ni moto....mji kimyaaa.
 
Siku za mapumziko: navyofahamu Mimi Watz wanaabudu Ijumaa, jumamosi na Jumapili. Sasa ikiwa ndo Ijumaa inatakiwa iwe mapumziko. Basi jumamosi Nayo iwe mapumziko. Siku 3 za mapumziko. Akizuka mtu mwingine naye kaanzisha dhehebu lake la kusali jumatatu, mwingine Jumanne, mwingine jumatano na mwingine alhamis basi tutakuwa tumekwisha Kwani hii itakuwa Ni Nchi ya mapumziko wiki nzima. Hii inaweza kutusaidia labda wote Kwenda mbinguni lakini sidhani.
 
liliniuma sana kipindi cha sensa kuna msitu nilipita nikakakuta waislamu wenzangu wamejificha hili swala liliniuma sana kama mtanzania mpenda maendeleo.

Wanaogopa kuhesabiwa hao kwa MILA zao za kabilavlao na si uislamu huo
 
hakuna kitu kibaya kwenye maisha ya mwanadamu kama ujinga...ujinga ndio unaotusumbua. Haki inakwenda sambamba na wajibu. Haki gani inayodaiwa kwa kuwafanyia karaha na fujo watu wengine? Mtu mwenye weledi ana namna ya kutumia kuadai haki zake.matumizi ya nguvu yatazimwa na matumizi ya nguvu vile vile....na imeonyesha ni kweli dawa ya moto ni moto....mji kimyaaa.

Wakibondwa unawasikia wanalia mamaaaa. Maji ukiyavulia Nguo huna budi kuyaoga. Ukikubali kuandamana kubaki na kipigo unachopokea usilie
 
Haya hapa.....

1. Ijumaa iwe siku ya Mapumziko
2. Ndalichako atolewe necta
3. MoU ifutwe
4. Alama ya kujumlisha itolewe
kwenye operations za hesabu iwe
replaced na nyota au mwezi au
vyote nyota na mwezi
5. Sheria ya ugaidi ifutwe
6. Uvaaji wa hijab uwe ni sheria
7. Mahakama ya kadhi huru sio hii
ya Bakwata
8. Seminari za kikristo zifelishwe na
NECTA
9. Kila ofisi ya serikali kuwepo na
wafanyakazi nusu kwa nusu baina
ya wakristo na waislam
10. Serikali iharamishe nguruwe
kama ilivyoharamisha gongo
11. Kigoma Malima(Rip) nae aitwe
baba wa taifa.
Hayo ni kwa uchache tu mkuu
wangu
Nasikia kichefuchefu kwa madai Kama hayo nahamia mada nyingine
 
Waislamu anzisheni huduma za jamii kama hospitali, shule na vyuo kwa ajili ya jamii bila ubaguzi kisha muombe msaada kutoka serikalini nina hakika mtasaidiwa kwani mtakuwa mmeisaidia serikali kuboresha huduma za jamii bila ubaguzi. Siyo kudai OIC, mahakama ya kadhi na vituo vya redio halafu mnadai kusaidiwa na serikali huku mkijua huduma hiyo ni kwa waislamu tu. Acheni kupanda mbegu ya ubaguzi kwa Watanzania, picha ninayopata ninyi mna roho wivu kwa wakristo wanavyowahudumia Watanzania bila ubaguzi. Je mngebaguliwa katika huduma hizo ingekuwaje? Jaribuni kuondoa hiyo chuki mliyoijenga dhidi ya wakristo. Mungu yupi huyo anayewaelekeza kuwachukia binadamu walioumbwa kwa mfano wa Mungu?
 
Jamani waislamu (wachomamakanisa) tusaidieni jamani tujue madai yenu ni yapi, tunahitaji kuyachambua na kuyajadili.
 
Haya hapa.....

1. Ijumaa iwe siku ya Mapumziko
2. Ndalichako atolewe necta
3. MoU ifutwe
4. Alama ya kujumlisha itolewe
kwenye operations za hesabu iwe
replaced na nyota au mwezi au
vyote nyota na mwezi

5. Sheria ya ugaidi ifutwe
6. Uvaaji wa hijab uwe ni sheria
7. Mahakama ya kadhi huru sio hii
ya Bakwata
8. Seminari za kikristo zifelishwe na
NECTA

9. Kila ofisi ya serikali kuwepo na
wafanyakazi nusu kwa nusu baina
ya wakristo na waislam
10. Serikali iharamishe nguruwe
kama ilivyoharamisha gongo

11. Kigoma Malima(Rip) nae aitwe
baba wa taifa.

Hayo ni kwa uchache tu mkuu
wangu
Dude are you serious au unaongezea moto kwa petroli? lol
 
Sasa hivi inatosha tu kwa Waislamu kutangaza kuandamana na serikali itatuma Polisi, FFU, Mgambo au hata JWTZ! kwa wasioona mbali wanaona kuwa hili ni suluhisho sahihi.

Wasichokijua hapa ni kuwa kama Waislamu wataamua kucheza gemu la kutangaza maandamano kila ijumaa na serikali kupeleka vyombo vya usalama misikitini kila ijumaa ukijumlisha na upelekaji wa hivi vyombo kwenye kesi za kina Sheikh Ponda basi ni gharama kubwa sana kiuchumi ambayo serikali inaingia kila Ijumaa.
Vilevile bajeti ya ulinzi nayo inaongezeka, kwa nchi changa kama Tanzania serikali haitaweza kufanya hivi kila ijumaa bila ya nchi kuyumba kiuchumi.

Tathmini yangu inanionyesha na nadhani kuna watakaokubaliana nami kuwa Waislamu wa Tanzania sasa wana uwezo wa kuifyonza nchi kiuchumi! matokeao yake ni kuwa kama yale ya baada ya vita na Uganda, hata Wakristo wanaochekelea kupigwa kwa Waislamu sasa wajue kuwa hizo hela za MoU zitapungua sana kwenda kwao.

Tunachodai Waislamu si Serikali kutuletea jua au mwezi mkononi! ni madai ya haki na ya kimsingi ambayo yanatekelezeka na yoyote yule anayependa uadilifu, vinginevyo subirini nchi kufilisika kabla ya kwenda hatua nyingine.

Ifikie mahali muweke madai yenu wazi kuliko kujificha ndani ya HAKI, Ipi?. Semeni tu kwamba mnataka kupindua serikali iliyopo na kuingiza mfumo wa sharia au nchi kuongozwa kiislamu, acheni kuzunguka. Waislamu wa Zanzibar wanadai Muungano kuvungika, huku bara mara mnadai HAKI mliyodhulumiwa (je ni haki ya kiwanja cha BAKWATA au...) MBONA HAMUELEWEKI....?????
 
"[h=2]Serikali iyashughulikie madai ya Waislamu[/h]"
Mtoa mada anajua anachopigania?Ni vipi waikatae serikali kuingilia mambo ya waislam halafu waitake itatue matatizo yao?Mtoa mada kweli ana nia ya kutaka wakomboa waislam au anataka warudisha huko wanapodai kuwa wamepelekwa na serikali?Ni vipi utamwambai mtu asijihusishe na mambo ya familia yako halafu bado ukampelekea mke wako na wewe msuluhishwe?hapa anachoongea ni kwamba waislam hawawezi shughulikia mambo yao wenyewe ndio maana tunaona wanavyowapa shida wasio waislam.
 
Ndugu zangu waislam naomba mnisaidie kwa kuorozedha madai yenu, hususani yale ya msingi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom