Serikali iyashughulikie madai ya Waislamu

Serikali iyashughulikie madai ya Waislamu

Status
Not open for further replies.
NATAMANI NIKUPE JINA ila....,tunaomba U-orodheshe hayo madai ya msingi mbona hakuna alie wahi kuya orodhesha,anza na ya
* * * *1/ U-AMSHO,
* * * *2/ BAKWATA,
* * * *3/JUMUIYA YA WAISLAM *
alafu uone sheshe litakalo tokea hapo wenyewe kwa wenyewe ndo utajua kuwa TUKUFU ni JANGA.

HILI ni zao la DHAIFU na GENGE lake
.hawakujua kama walikuwa wanafanya biashara HARAMU?,Sasa wataweka mashine za ukaguzi/scanner MPAKA masokoni.
 
wakati unadai so called haki at the same unawanyanganya wengine haki yao ya kuswali kwa kuwachomea motto makanisa yao. sasa sijui unafanya nini wakati ukidai haki huku unawanyanga wengine haki ya kuabudu kwa amani.secondly, ukishaua uchumi utakuwa
unawasaidiaje hao unaodai wananyanganywa haki zao ??
naam politiki.
 
Tunachodai Waislamu si Serikali kutuletea jua au mwezi mkononi! ni madai ya haki na ya kimsingi ambayo yanatekelezeka na yoyote yule anayependa uadilifu, vinginevyo subirini nchi kufilisika kabla ya kwenda hatua nyingine.

Madai gani hayo yaseme hapa. Pili nchi haiwezi kufilisika kwa sababu ya kutoa matangazo watu wasifanye fujo. Tunaweza kufilisika kutokana na wachache wachovu wa kufikiri wanaotaka kulazimisha agenda zao binafsi za kidini kuwa za kitaifa wanaoweza kuvamia mali za watu na makanisa na kuyachoma; mali ambazo zimewagharimu watanzania wengi kuzikusanya. Aidha tutazidi filisika tukikubali kugawanywa toka katika mbegu mbaya inayopandwa ya chuki kati ya Waislam na Wakristo.

Vyombo vya kulalamikia vipo na vinajulikana. File kesi umshtaki yeyote anayekudhulumu hata kama ni Bakwata kama unaona inakudhulumu ilimradi uwe na uthibitisho mahakamani vinginevyo Serikali haiwezi kutekeleza madai tu ya watu wachache mitaani ambao hawataki kufuata sheria na taratibu za nchi.

In the actual fact wengine tunaanza kufikiri kuwa huenda huu ndio mwanzo wa kuingia kwa mtandao wa kigaidi nchini polepole kupitia hayo madai yako kujustify upuuzi mbaotaka kuuleta. Waache Waislam safi wamwambudu Mungu wao na waendelee kuwa na mahusiano mema na Wakristo kama zamani tukiheshimiana na kuvumiliana juu ya utofauti wa dini zetu na hata wasio na dini.
 
Acheni upuuzi nyinyi, kila siku mnabadilisha maana. kanisa lilichomwa ilikudai haki au kwasababu ya mtoto moja kukojolea kitabu cha dini. sasa hili linaingiaje katika kudai haki na uchomwaji wa makanisa. udini na ushabiki wenu wa kikristo na kujiona wasomi na welevu kwakua mnapendelewa ndo kutalifanya hilo taifa kuwa boko halam namba mbili. keep on waiting
 
Usiwe zuzu wewe, kwa akili yako wewe umeona hela ni ya bia tuu sio. Sasa sie tunajua kuna hela zingine na sio za bia peke yake. Na tutaendelea kudai hata kama mtaleta maneno yenu ya shombo humu.
Endeleeni kudai, sijui mliikopesha lini serikali? uzuri tu ni kua serikali yetu tukufu na sikivu inaongozwa kwa kufuata sheria na taratibu na pia hakuna anayewaogopa na mikwara yenu mbuzi..
 
Sasa hivi inatosha tu kwa Waislamu kutangaza kuandamana na serikali itatuma Polisi, FFU, Mgambo au hata JWTZ! kwa wasioona mbali wanaona kuwa hili ni suluhisho sahihi.

Wasichokijua hapa ni kuwa kama Waislamu wataamua kucheza gemu la kutangaza maandamano kila ijumaa na serikali kupeleka vyombo vya usalama misikitini kila ijumaa ukijumlisha na upelekaji wa hivi vyombo kwenye kesi za kina Sheikh Ponda basi ni gharama kubwa sana kiuchumi ambayo serikali inaingia kila Ijumaa.
Vilevile bajeti ya ulinzi nayo inaongezeka, kwa nchi changa kama Tanzania serikali haitaweza kufanya hivi kila ijumaa bila ya nchi kuyumba kiuchumi.

Tathmini yangu inanionyesha na nadhani kuna watakaokubaliana nami kuwa Waislamu wa Tanzania sasa wana uwezo wa kuifyonza nchi kiuchumi! matokeao yake ni kuwa kama yale ya baada ya vita na Uganda, hata Wakristo wanaochekelea kupigwa kwa Waislamu sasa wajue kuwa hizo hela za MoU zitapungua sana kwenda kwao.

Tunachodai Waislamu si Serikali kutuletea jua au mwezi mkononi! ni madai ya haki na ya kimsingi ambayo yanatekelezeka na yoyote yule anayependa uadilifu, vinginevyo subirini nchi kufilisika kabla ya kwenda hatua nyingine.
Kama serikali inaingia gharama wewe kama muislam si utulie tu maana umesema ni advantage kwako. Sijui ni bahati mbaya au makusudi sioni hata dai moja mnalolielekeza kwa serikali. Ungetaja angalau mawili ingependeza sana. Au hamtaki wengine tufahamu?
 
hata Wakristo wanaochekelea kupigwa kwa Waislamu sasa wajue kuwa hizo hela za MoU zitapungua sana kwenda kwao.
hapa ndipo upunguani unapoanza, adui wa waislam hawezi kuwa Mkristo , Tumalize matatizo yetu na Government tusisukumizie wengine wasio husika, ni ushamba na fikra dhalili.
 
Jiangalie wewe sio una andika wakati umepakatwa
WHY WAISLAMU SI WATANZANIA......... Nyie mmerogwa au????????????
Au ni special group hapa tanzania....

SENSA MLIKIMBIA LEO MNATAKA HAKI, itoke wapi wakati hamkuhesabiwa
 
Hawa wanaoshangilia waislamu kupigwa mbona ni wakristo pitia maoni ya wenzako jiangalie wewe tatizo hamjijui mnachoshangilia ndo maana makanisa yanachomwa
hapa ndipo upunguani unapoanza, adui wa waislam hawezi kuwa Mkristo , Tumalize matatizo yetu na Government tusisukumizie wengine wasio husika, ni ushamba na fikra dhalili.
 
Hawa wanaoshangilia waislamu kupigwa mbona ni wakristo pitia maoni ya wenzako jiangalie wewe tatizo hamjijui mnachoshangilia ndo maana makanisa yanachomwa

sasA ulitaka walie, Mbona hata mimi na Uislam wangu nashangilia kupigwa kwa kina Ponda na wenzake, na wale magaidi wa ZNZ...
TUSIDANGANYANE uISLAMU HAUTUUMI KUCHOMA MAKANISA, uISLAMU HAUTUTUMI KUTOTII SHERIA
.
 
Hakuna muislam mwenye jeuri ya kuandamana kila ijumaa!
Si lazima waandamane kila ijumaa, inatosha kutoa vipeperushi viwili vitatu kuwa tutaandamana na serikali italeta yombo vyake.
Mzito Kabwela said:
Eti bajeti ya Polisi na JWTZ ita burst! We ulidhan wanapopitisha budget ya polisi huwa hawajui kuna machizi husumbua kipindi cha mwezi mchanga kama Ponda?
Ndio! nilipiga hesabu pia kuwa kuna bajeti ya ziada kuhusu mambo kama haya, lakini yakiendelea itakula bajeti ya ziada na bajeti yeneyewe ya kawaida!
Serikali ita-pump pesa nyingine na mchezo utaendelea namna hiyo kila baada ya muda ...kwa nini madai ya Waislamu yasishughulikiwe mpaka ifikie hatua hiyo? kuna nini nyuma ya pazia?
 
hivi we sideeq umeambiwa serikali ya jamhuri ni bakwata hadi unadai eti ishugulikie madai ya waisilamu ??watu kama wewe ndio mnasambaza mbegu hii ya udini na kuwajaza ujinga hao waialamu wwnzako ambao walikimbia shule matokeo yake kila kitu ati wanainewa. Serikali haijishugulishi hata kidogo na maswala ya waisilamu, badala yake inajishugulisha na kero za watanzania kwa ujumla. na hii kasumba inavyoripotiwa na vyombo vya habari ati waisolamu wameandaman,mara wamefunga barabara ni kuwajaza maasifa ya kijinga iwe inaripoti kwamba ni kundi la wahuni na watu wasiona shughuli za kufanya ndio wanavuruga amani badala ya kuwahukumu waislamu wote kwa ujinga wa wahuni wachache dizaini ya ponda isa
 
Ninali ignore swali la kwanza na kwenda kwenye la pili moja kwa moja.

Kwanza anayebebe responsibility ya kuua uchumi hapa atakuwa si Muislamu bali ni serikali kushindwa kwake kuyatatua matatizo ya Waislamu.
Pili, kama itatokea Waislamu kuisimamisha nchi kiuchumi itakuwa ni fursa nzuri ya kuanza upya ambayo ni advantage kwa Waislamu..........

Matatizo ya waislam ni yapi? Tukumbushane ili twende pamoja.
 
madai gani? Hao jamaa mambo ya kuigaiga yatawaponza!
 
Tunachodai Waislamu si Serikali kutuletea jua au mwezi mkononi! ni madai ya haki na ya kimsingi ambayo yanatekelezeka na yoyote yule anayependa uadilifu, vinginevyo subirini nchi kufilisika kabla ya kwenda hatua nyingine.

.........

Hivi MoU gharama yake ni shilingi ngapi? Pili ni nani analipwa? Na tatu kama kuna anayelipwa ni kwa nini analipwa?
 
Sasa mbona mnatuchanganya mara wanaoandamana ni wahuni.. Mara mnaondamana ni waislam, tuelewe lipi sasa?? Au ni waislam wa dhehebu la wahuni???[/QUOTE

Nimeipenda hii ya waislam wa dhehebu la WAHUNI
 
sasa hii tabia ya kuanza kuudhalilisha uislam inanichukiza sana kwakweli,
madai yetu waislam kwa serikali ni yapi?
mimi kama muislam uislam wangu ni kusali na kuwapenda wengine, sijafundishwa kufanya fujo.
mbona nikiugua napata matibabu sawa na wakristo?
mbona miundo mbinu kama barabara na umeme haziwanufaishi wakristo peke yao?
mbona elimu tunapata sawa?
mtu aje anifumbue macho, ni madai gani tunaidai serikali ambayo wakristo wao hawana haki ya kudai?
hivi kweli adui wa waislam anaweza akawa binadam kweli? nani atamhubiria dini huyu binadam (mkristo) ambaye tayari tunamuita adui???
amka muislam usidanganywe na genge la wahuni.
 
Madai gani hayo yaseme hapa. Pili nchi haiwezi kufilisika kwa sababu ya kutoa matangazo watu wasifanye fujo. Tunaweza kufilisika kutokana na wachache wachovu wa kufikiri wanaotaka kulazimisha agenda zao binafsi za kidini kuwa za kitaifa wanaoweza kuvamia mali za watu na makanisa na kuyachoma; mali ambazo zimewagharimu watanzania wengi kuzikusanya. Aidha tutazidi filisika tukikubali kugawanywa toka katika mbegu mbaya inayopandwa ya chuki kati ya Waislam na Wakristo.

Vyombo vya kulalamikia vipo na vinajulikana. File kesi umshtaki yeyote anayekudhulumu hata kama ni Bakwata kama unaona inakudhulumu ilimradi uwe na uthibitisho mahakamani vinginevyo Serikali haiwezi kutekeleza madai tu ya watu wachache mitaani ambao hawataki kufuata sheria na taratibu za nchi.

In the actual fact wengine tunaanza kufikiri kuwa huenda huu ndio mwanzo wa kuingia kwa mtandao wa kigaidi nchini polepole kupitia hayo madai yako kujustify upuuzi mbaotaka kuuleta. Waache Waislam safi wamwambudu Mungu wao na waendelee kuwa na mahusiano mema na Wakristo kama zamani tukiheshimiana na kuvumiliana juu ya utofauti wa dini zetu na hata wasio na dini.
Hivi vyombo vipo sijui kwanini maaskofu hawavitumii.Wakifinywa kidogo wanaita jeshi ambako ndiko iliko tume yao ya majeshi.Dini ya kweli huwa haienezwi kwa kutumia jeshi.
 
Tunachodai Waislamu si Serikali kutuletea jua au mwezi mkononi! ni madai ya haki na ya kimsingi ambayo yanatekelezeka na yoyote yule anayependa uadilifu, vinginevyo subirini nchi kufilisika kabla ya kwenda hatua nyingine.
Kuachiawa kwa Ponda na Farid hayo ndiyo ya muhimu kwenu???
Tutawaachia baadae, lakini kwa sasa tumewaweka ndani, tukiwafunda kuwa raia wema.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom