Serikali ipongezwe kwa hili la jambo la Bima

Serikali ipongezwe kwa hili la jambo la Bima

sasa mkuu The Panther unafikiri hiyo ndio hoja ya kuwekwa mezani muda huu kweli? seriously?
Hoja ya kuwekwa mezani ni kuwa NHIF na Waziri wa Afya wameshindwa kuwa wabunifu kuuendeleza mfuko wa NHIF badala yake wanatafuta cheap solutions na kuweka kwenye line maisha na afya za watanzania, alafu wanawatumia mamluki zero brain kama wewe kuja hapa kuleta unfound nonsense! nenda kajipange uje na hoja za maana!
 
mkuu hapo kwenye utt amis umegonga penyewe. Kwa serikali hii kuna siku watu wataamka na kilio!
Muwe mnajielimisha kuhusu UTT,siyo kuonyesha upumbavu hadharani.

Serikali ikiamua,inaweza kukwapua pesa popote,,hata kwenye mabenki. Ingeweza pia kukwapua pesa zinazo kusanywa na BOT kupitia minada ya Dhamana za serikali ambako pia UTT huwa wanashiriki hyo minada. Lakini BOT inawalipa pesa wote wanao weka pesa zao kwa wakati (kila baada ya miezi sita).
 
Hoja ya kuwekwa mezani ni kuwa NHIF na Waziri wa Afya wameshindwa kuwa wabunifu kuuendeleza mfuko wa NHIF badala yake wanatafuta cheap solutions na kuweka kwenye line maisha na afya za watanzania, alafu wanawatumia mamluki zero brain kama wewe kuja hapa kuleta unfound nonsense! nenda kajipange uje na hoja za maana!
Haaahaaa
unachekesha

ni hivi
  • mi ni raia huru
  • apa natumia bando langu
  • silipwi na mtu awaye yyte
  • sifungwi kusema kile nachoamini ni sahihi
  • sikulazimishi uamini nachokiamini
  • nawew baki na unachokiamini
 
sawa

twende ivoivo unavotaka wew

ni hivi

nhif imezitaka hizo hospitali unazozitetea kutoa bei kulingana na gharama halisi

sasa kuna ugumu gan kulifanya ilo kiongozi?

ama mna agenda zenu zingine ?
Kwanini tuwalizimishe kutumia / kuchukua Bima; Kwanini tusiboreshe za kwetu za UMMA na kuchukua BIMA ? Hizi ni Biashara za watu na wapo pale kutengeneza pesa kwao na wana Hisa wao Hiyo Mipango mizuri tupeleke kwenye Hospitali zetu za UMMA (Na kabla hatujakimbilia kwenye Kubinafsisha kila kitu hizi ndio impacts zake)
 
Hao Serikali si wajenge hosipitali zao zenye hadhi kama wao!
Wana haki ya kulalamika,wale ni wafanyabiashara kwenye kutoa huduma.
Hawatoi msaada!
 
Anaeumia hapa ni mgonjwa na si mtoa huduma; kumbuka mgonjwa haitwi hospitalini, bali anajipeleka mwenyewe hospitali fulani; muhimu hapa ni kutafuta namna yakuweka haya mambo sawa katika ngazi ya win/win situation.​
 
Hao Serikali si wajenge hosipitali zao zenye hadhi kama wao!
Wana haki ya kulalamika,wale ni wafanyabiashara kwenye kutoa huduma.
Hawatoi msaada!
unafanya biashara kwenye afya za watu? unakwama wapi kiongozi?
 
sasa kama hujui hao watoa huduma ndo wameufilisi mfuko kwa kuweka gharama ambazo hazipo na janjajanja nyingi.

unataka kusema serikali inachukua hela kwenye mfuko? hela zipi? na hlf izipeleke wapi? come on! grow up buddy
Wakati wanafilisi huko nhif hakukuwa na watu wenye akili?
Kwanini hospitali husika zisichukuliwe hatua?
Una ithibitisho Gani kuu ya hili!
Au wewe na nhif mlishirikoana na hizo hosp kifilisi mfumo??
 
Hizi hospitali zilikuwa zinatupiga bei za kibwanyenye.

Kidonge cha shilingi 50 unauziwa shilingi 1000 hata zaidi, kutegemea wewe mwenyewe umekujaje.

Huo ndo ulikuwa utaratibu wa siku zote wa hizi hospitali.

Zinatia faida kwenye shida ya kiafya ya mtu!

Sasa Serikali imeshtuka na kuwashukia jumlajumla.

Sasa wamepewa bei halisi wanazostahili kuzipata.

Wanaanza kupiga mayowe.

Wanaona wamenyang'anywa tonge tamu mdomoni.

Maana walishazoea.

Tuwe nyuma ya Serikali tuitie moyo na kuipongeza Serikali kwa hatua hii.

Maana itaokoa wengi hasa huko vijijini maana hata kupata hiyo hela ya matibabu ni mtihani.
Hizi hospitali zilikuwa zinatupiga bei za kibwanyenye.
Zilijipangia au ilikuwa ni deal ya watu wachache?
Kidonge cha shilingi 50 unauziwa shilingi 1000 hata zaidi, kutegemea wewe mwenyewe umekujaje
Bei ilikuwa exaggrated kwa faida ya wachache, waziri mwenye dhamana kwa nini asiwajibishwe?
 
Hizi hospitali zilikuwa zinatupiga bei za kibwanyenye.

Kidonge cha shilingi 50 unauziwa shilingi 1000 hata zaidi, kutegemea wewe mwenyewe umekujaje.

Huo ndo ulikuwa utaratibu wa siku zote wa hizi hospitali.

Zinatia faida kwenye shida ya kiafya ya mtu!

Sasa Serikali imeshtuka na kuwashukia jumlajumla.

Sasa wamepewa bei halisi wanazostahili kuzipata.

Wanaanza kupiga mayowe.

Wanaona wamenyang'anywa tonge tamu mdomoni.

Maana walishazoea.

Tuwe nyuma ya Serikali tuitie moyo na kuipongeza Serikali kwa hatua hii.

Maana itaokoa wengi hasa huko vijijini maana hata kupata hiyo hela ya matibabu ni mtihani.
labda tujiulize, ile faida wanayopata, anapata mtanzania au mtu wa nchi za nje, na akiiipata si atakuwa amepata kipato kikubwa zaidi kuboresha hospitali yake? kuna nchi zingine hadi serikali huwa una bailout baadhi ya taasisi zinazohudumia wananchi, ukweli uliopo ni kwamba hao waliojitolea kufungua hospitali binafsi wamesacrifice sana hadi kufikia hatua hiyo, ilitakiwa iwe kazi ya serikali tuliyoiweka na hatutakiwi kulichukulia hili kama vita kati ya serikali na hospitali binafsi, wasababu hata hivyo bima wanazopokea sio za NHIF tu, na zingine pia, kwanini wao tu NHIF ndio waonekane na mgogoro, bima zingine za binafsi huko hawana shida? kuna uwezekano mkubwa shida ni serikali na sio hospitali binafsi.

hivi mashirika binafsi ya bima yanaweza kukubali kuendelea kuibiwa (kama kuibiwa kupo) kuliko serikali? kwanini bima za mashiriak binafsi hazina shida, hawalalamiki kuibiwa, ni hizi tu za serikali? serikali ina hospitali za kutosha? kwanini msikae mezani mkakubaliana kuliko kupigana wakati ninyi mlioko serikalini wenye kutoa maamuzi mnatibiwa south africa? mna uwezo, wale wasio na uwezo mnawatoa kafara?
 
unafanya biashara kwenye afya za watu? unakwama wapi kiongozi?
Kuna haki, na vibali vya sekta binafsi kutoa huduma na vinadhibitiwa na mamlaka za serikali.
Iwe usafiri,afya,ulinzi,maji,umeme etc zote zinahusu WATU.
Afya za watu.
Ulinzi wa watu.
Mali za watu.
Uhai wa watu.
 
Miongoni mwa vitu wanavyokosea Serikali hususani NHIF ni huduma za ki dgitali.
Mtu unakwenda Hospitali unaambiwa saini hapa unasaini wakati huo wewe unachosaini haukioni. Anaona anaye operate mfumo (computer) unamaliza matibabu unasaini unaondoka.
Ilipaswa ukishasaini kile chote kilichojazwa kuwa ni huduma uliyopewa kije kwenye simu yako (msg) au upewe ripoti ili ujue umesaini nini.
Nje ya hapo watapigwa sana maana inabaki kiwa siri ya hospitali tu mgonjwa hajui chochote.
Muhimu sana hili wazo. Inawezekana ukapewa dawa 1, wao wakaorodhesha hata 10
 
Burudani ya nchi hii ni kua siasa Inaingizwa kwenye vitu vya kitaalamu.Naona waziri anafoka tu, kwani aliyeifilisi NHIF ni nani? Aliyelazimisha afya kwa wote bila kujibu swali la affordability kwa kila raia ni nani?

Naona vituo na hospitali binafsi ndio vinashikwa uchawi wakati waliovuruga NHIF wapo tu wanadunda.

Issue ya msingi ni kuimarisha NHIF lakini pia watu wajue unapoenda hospitali binafsi ukakuta huduma nzuri na dawa za kutosha ni uwekezaji umefanywa, kuna cost associated so usitegemee kutoa matamko tu ukadhani private providers watatekeleza, sidhani kama ndio dhana ya PPP. Wanasiasa eleweni hii...hata kama hampendi kuambiwa ukweli.
 
Haaahaaa
unachekesha

ni hivi
  • mi ni raia huru
  • apa natumia bando langu
  • silipwi na mtu awaye yyte
  • sifungwi kusema kile nachoamini ni sahihi
  • sikulazimishi uamini nachokiamini
  • nawew baki na unachokiamini
Ndio hivo sasa ukitumia bando lako kuongea upupu kwa mabo serious kama afya za watu tutakutwanga tu na hakuna kitu utafanya! Tumia bando lako kustawisha jamii sio kuendekeza njaa!
 
Hospital binafsi wanatumia gharama zao kutoa huduma, kununua madawa, kodi kibao wanatoa, kulipa wafanyakazi.

Kwa mfano, wamesitisha huduma nani anapata madhara? Hii mifuko mnachota pesa za wachungiaji mpaka inakuwa empty kabisa, then mnaleta siasa za hovyo.

Kila mfumo, mnataka kupata pesa very soon mtaenda kule Utt amis, mchote pesa mkafanye kampeni, mwishoe watu wakitaka kutoa pesa zao muanze kuwazungusha.
Mkuu unatutisha japo ni kweli bongo lolote lile linawezekana
 
Muhimu sana hili wazo. Inawezekana ukapewa dawa 1, wao wakaorodhesha hata 10
Hivi unadhani NHIF inalipa kila claim ya dawa inayotolewa. Hujui kwamba NHIF wanafuata Standard treatment Guidelines (STG) za Tanzania na wana madaktari wao wanaopitia kila dawa mgonjwa aliyoandikiwa?

Hospitali nyingi zinapata hasara kubwa na NHIF kabla hata mabadiliko hayajafanyika. Unaishia kulipwa 40 - 50% ya huduma ulizotoa tena baada ya miezi mingi kupita.

Kichefuchefu cha NHIF hakijaanza leo, na usidhani NHIF hana fraud control
 
Wakati wanafilisi huko nhif hakukuwa na watu wenye akili?
Kwanini hospitali husika zisichukuliwe hatua?
Una ithibitisho Gani kuu ya hili!
Au wewe na nhif mlishirikoana na hizo hosp kifilisi mfumo??
hapa umedandia gari kwa mbele kiongozi anzia kule mwanzoni utatoka na kitu

usikurupuke
 
Hivi unadhani NHIF inalipa kila claim ya dawa inayotolewa. Hujui kwamba NHIF wanafuata Standard treatment Guidelines (STG) za Tanzania na wana madaktari wao wanaopitia kila dawa mgonjwa aliyoandikiwa?

Hospitali nyingi zinapata hasara kubwa na NHIF kabla hata mabadiliko hayajafanyika. Unaishia kulipwa 40 - 50% ya huduma ulizotoa tena baada ya miezi mingi kupita.

Kichefuchefu cha NHIF hakijaanza leo, na usidhani NHIF hana fraud control
Very true, tena wana restriction hata dawa zingine za kawaida ila hawataki wakisingizia bei..utaambiwa tu hii haipo hapa.

Ukidodosa sana daktari anakuambia hii ipo ila bima yako ya kimaskini haiwezi kuilipia imekataza chukua hii fulani ya shelys hii ya india au Uk siwezi kukupa.

Haya yote tunayajua tuna wa- zoom tu NHIF huku wao wanajichotea mikopo na kutoilipa mfuko una collapse wanatufokea fokea na press release zao.
20240301_173050.jpg
 
Back
Top Bottom