Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 5,168
- 8,977
- Thread starter
- #141
Tatizo mnashinda tiktok na Instagram kutazama miziki na makalio ambayo hata dadazenu wanayo. mtajuaje hbr hiz? Huo mchakato sio wa jana wala juzi fuatilia mambo ya msingi yanayoendelea ndani ya taifa lako kijana uimarishe maarifa yako.Kwa Hili la"NHIF"tuombe tupate maelezo ambayo ni researched na yenye takwimu sahihi.Haya ni maisha ya wadau.