Serikali ipongezwe kwa hili la jambo la Bima

Hizi hospitali zilikuwa zinatupiga bei za kibwanyenye.

Kidonge cha shilingi 50 unauziwa shilingi 1000 hata zaidi, kutegemea wewe mwenyewe umekujaje.

Huo ndo ulikuwa utaratibu wa siku zote wa hizi hospitali.

Zinatia faida kwenye shida ya kiafya ya mtu!

Sasa Serikali imeshtuka na kuwashukia jumlajumla.

Sasa wamepewa bei halisi wanazostahili kuzipata.

Wanaanza kupiga mayowe.

Wanaona wamenyang'anywa tonge tamu mdomoni.

Maana walishazoea.

Tuwe nyuma ya Serikali tuitie moyo na kuipongeza Serikali kwa hatua hii.

Maana itaokoa wengi hasa huko vijijini maana hata kupata hiyo hela ya matibabu ni mtihani.
Haya
 
Kwenye hospital za private gharama za matibabu za cash na bima ni tofauti. Tar 17 nililazwa kwa operation ya apendex ambayo ilifanya siku hio hio nikatoka hosp tar 21. Bill yangu ilikuja 1,044,000.

Nilikua natumia cash. Mwenzangu ambae tumefanyiwa same operation tofauti yeye alilazwa siku Moja kabla Mimi, wamem bill 1,960,000 alitumia bima.
 
Kuwa mwelewa,
Serikali haijashusha bei za dawa.
Kama huamini nenda Leo kanunue dawa kama utakuta bei imeshuka.
Kilichoshushwa ni gharama ambayo nhif yatakiwa kulipa hospitali baada ya mteja wake kupata huduma ya matibabu.
 
sasa nawew nikuulize serikali inahusikaje hapo kwenye kushusha bei ya dawa?

serikali ndo inayouza dawa?

kajielimishe vema kiongozi kabla hujarudi tena apa

karibu
 
Kwenye hospital za private gharama za matibabu za cash na bima ni tofauti. Tar 17 nililazwa kwa operation ya apendex ambayo ilifanya siku hio hio nikatoka hosp tar 21. Bill yangu ilikuja 1,044,000.

Nilikua natumia cash. Mwenzangu ambae tumefanyiwa same operation tofauti yeye alilazwa siku Moja kabla Mimi, wamem bill 1,960,000 alitumia bima.
wewe sasa umeleta mfano hai kabisa

sasa waelekeze hawa kenge wengine wanaojifanya kujitoa ufahamu apa na kurukaruka na hoja nyepesinyepesi
 
Hizi hospitali zilikuwa zinatupiga bei za kibwanyenye.

Kidonge cha shilingi 50 unauziwa shilingi 1000 hata zaidi, kutegemea wewe mwenyewe umekujaje.

Huo ndo ulikuwa utaratibu wa siku zote wa hizi hospitali.

Zinatia faida kwenye shida ya kiafya ya mtu!

Sasa Serikali imeshtuka na kuwashukia jumlajumla.

Sasa wamepewa bei halisi wanazostahili kuzipata.

Wanaanza kupiga mayowe.

Wanaona wamenyang'anywa tonge tamu mdomoni.

Maana walishazoea.

Tuwe nyuma ya Serikali tuitie moyo na kuipongeza Serikali kwa hatua hii.

Maana itaokoa wengi hasa huko vijijini maana hata kupata hiyo hela ya matibabu ni mtihani.
Zilezile roho mbaya. Tufanane.
 
Blaza "Kende" aka korodani kwanza huko vijijini watu wangapi wana bima ya NHIF? huu mfuko unatumika kuchakua hela za wafanyakazi wa Serikali, mashirika yaliyolazimishwa kujiunga na NHIF bila hiari kisha kutoa huduma duni za afya na pesa kutumika vibaya kwa wafanyakazi wa NHIF kujikopesha mikopo isiyo fuata taratibu na kufanyia kampeni za uchaguzi. Shilingi Trilioni moja point 5 ilichotwa NHIF kipindi cha uchaguzi uliopita mpaka sasa haijarudishwa alafu mfuko usife?
 
Kumbukeni serikali inatoa subsidy kwenye hospitali zake, lakini charges za NHIF kwa hospitali za umma na serikali ni zile zile. Huyu wa hospitali binafsi ana mikopo, analipa serikali, ana wafanyakazi wengi, anamudu vipi gharama za uendeshaji? Wakati huo NHIF haijawahi kulipa kwa wakati, yaani mtu anatibiwa mwezi huu, malipo yanafanyika mwezi May.
..hakuna fair ground kati ya hospitali binafsi na za serikali.
 
NHIF ni kama DEDs huko kwenye Halmashauri kwenye kulipa wazabuni.

Wanaatamia pesa za watu hata miezi nane na ukilipwa hawaongezi hata riba.

BTW:Kwa nini hawana migogoro na bima zingine za afya kama issue ni hiyo tu?
 
Blaza "Kende" aka korodani kwanza huko vijijini watu wangapi wana bima ya NHIF? huu mfuko unatumika kuchakua hela za wafanyakazi wa Serikali, mashirika yaliyolazimishwa kujiunga na NHIF bila hiari kisha kutoa huduma duni za afya na pesa kutumika vibaya kwa wafanyakazi wa NHIF kujikopesha mikopo isiyo fuata taratibu na kufanyia kampeni za uchaguzi. Shilingi Trilioni moja point 5 ilichotwa NHIF kipindi cha uchaguzi uliopita mpaka sasa haijarudishwa alafu mfuko usife?
sasa mkuu The Panther unafikiri hiyo ndio hoja ya kuwekwa mezani muda huu kweli? seriously?
 
sasa kama hujui hao watoa huduma ndo wameufilisi mfuko kwa kuweka gharama ambazo hazipo na janjajanja nyingi.

unataka kusema serikali inachukua hela kwenye mfuko? hela zipi? na hlf izipeleke wapi? come on! grow up buddy
Wewe ni mpumbavu ,kwa hiyo hao watoa huduma waliamua kufilisi bima za NHIF. Tu na si bima za makampuni mengine kama AAR , Diamond NK ambazo clients wake bado wanapokea huduma vizuri tu mpaka leo ?
Unatumia akili wewe au tope ?

Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
 
Hizi hospitali zilikuwa zinatupiga bei za kibwanyenye.

Kidonge cha shilingi 50 unauziwa shilingi 1000 hata zaidi, kutegemea wewe mwenyewe umekujaje.

Huo ndo ulikuwa utaratibu wa siku zote wa hizi hospitali.

Zinatia faida kwenye shida ya kiafya ya mtu!

Sasa Serikali imeshtuka na kuwashukia jumlajumla.

Sasa wamepewa bei halisi wanazostahili kuzipata.

Wanaanza kupiga mayowe.

Wanaona wamenyang'anywa tonge tamu mdomoni.

Maana walishazoea.

Tuwe nyuma ya Serikali tuitie moyo na kuipongeza Serikali kwa hatua hii.

Maana itaokoa wengi hasa huko vijijini maana hata kupata hiyo hela ya matibabu ni mtihani.
Wewe ni Mpumbavuu narudia tena wewe ni Mpumbavuu
 
Kumbukeni serikali inatoa subsidy kwenye hospitali zake, lakini charges za NHIF kwa hospitali za umma na serikali ni zile zile. Huyu wa hospitali binafsi ana mikopo, analipa serikali, ana wafanyakazi wengi, anamudu vipi gharama za uendeshaji? Wakati huo NHIF haijawahi kulipa kwa wakati, yaani mtu anatibiwa mwezi huu, malipo yanafanyika mwezi May.
..hakuna fair ground kati ya hospitali binafsi na za serikali.
Kongole sana mkuu
wew una hoja japo na yenyewe inazungumzika kwa wahusika kukubaliana
 
daah apa kuna kazi aisee

Sasa ndo naelewa kwann waziri wa elimu anataka kuufumua huu mfumo wa elim uliopo maana mtu unashindwaje kuelewa vitu vyepesi tu vinavyozungumzwa apa au wew ni chekechea? nisije kuanza kukulaumu bure kumbe ni mtoto anayechezea simu ya dad yake , maana hatujuani apa

ni hiv kiongozi

wananchi hawajafungiwa huduma maana izo kadi ni za nhif na uyo pekee ndo anaweza kuzifungia. kilichotokea vituo ndo vimekataa kupokea izo kadi

Grow up
Na unafikiri ni kwanini watoa huduma wangomea bima ya NHIF na si za insurance agencies nyingine private ?
Zoba wewe

Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
 
Wewe ni mpumbavu ,kwa hiyo hao watoa huduma waliamua kufilisi bima za NHIF. Tu na si bima za makampuni mengine kama AAR , Diamond NK ambazo clients wake bado wanapokea huduma vizuri tu mpaka leo ?
Unatumia akili wewe au tope ?

Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
usipanic
kwan kipi kinashindikana chini ya jua? hasa uku dunia ya tatu?
 
Kwenye hospital za private gharama za matibabu za cash na bima ni tofauti. Tar 17 nililazwa kwa operation ya apendex ambayo ilifanya siku hio hio nikatoka hosp tar 21. Bill yangu ilikuja 1,044,000.

Nilikua natumia cash. Mwenzangu ambae tumefanyiwa same operation tofauti yeye alilazwa siku Moja kabla Mimi, wamem bill 1,960,000 alitumia bima.
Bima ndo wamekuja kukaza hapo, wanataka wote mlipiwe 1M, watoa huduma hawataki
 
Back
Top Bottom