huduma hizi ni muhimu sana na zinatakiwa sana ila hawa wenzetu wamegeuza kuwa mtaji wa kujitajirisha na kupiga mahela kibwanyenye tatizo liko apoNdio hapo sasa na mtu anakuambia Serikali ipongezwe. Trumph alikua sahihi sana kuwa tunapaswa kutawaliwa tena. Kama wasomi wetu ndio wenye mawazo kama haya.
Kabla hujaandika kwanza jitahidi kuelewa mada. Ulichoandika kinaonesha huwezi kudigest hoja.Hizi hospitali zilikuwa zinatupiga bei za kibwanyenye.
Kidonge cha shilingi 50 unauziwa shilingi 1000 hata zaidi, kutegemea wewe mwenyewe umekujaje.
Huo ndo ulikuwa utaratibu wa siku zote wa hizi hospitali.
Zinatia faida kwenye shida ya kiafya ya mtu!
Sasa Serikali imeshtuka na kuwashukia jumlajumla.
Sasa wamepewa bei halisi wanazostahili kuzipata.
Wanaanza kupiga mayowe.
Wanaona wamenyang'anywa tonge tamu mdomoni.
Maana walishazoea.
Tuwe nyuma ya Serikali tuitie moyo na kuipongeza Serikali kwa hatua hii.
Maana itaokoa wengi hasa huko vijijini maana hata kupata hiyo hela ya matibabu ni mtihani.
Tatizo lisemwe tu Serikali imefilisi mfuko huko, wanakuja kuwapa shida wachangiaji. Kama kuna hospitali zinafanya hujuma zifungiwe kwa nini wawape tabu wateja. Ukiangalia mfuko unachezewa tu, wanufaika walipunguzwa, huduma zilipunguzwa. Mtu unakatwa pesa halafu inakuja kuwa kama hisani.Hizi hospitali zilikuwa zinatupiga bei za kibwanyenye.
Kidonge cha shilingi 50 unauziwa shilingi 1000 hata zaidi, kutegemea wewe mwenyewe umekujaje.
Huo ndo ulikuwa utaratibu wa siku zote wa hizi hospitali.
Zinatia faida kwenye shida ya kiafya ya mtu!
Sasa Serikali imeshtuka na kuwashukia jumlajumla.
Sasa wamepewa bei halisi wanazostahili kuzipata.
Wanaanza kupiga mayowe.
Wanaona wamenyang'anywa tonge tamu mdomoni.
Maana walishazoea.
Tuwe nyuma ya Serikali tuitie moyo na kuipongeza Serikali kwa hatua hii.
Maana itaokoa wengi hasa huko vijijini maana hata kupata hiyo hela ya matibabu ni mtihani.
wew ndo huelewi kinachoendelea hapaKabla hujaandika kwanza jitahidi kuelewa mada. Ulichoandika kinaonesha huwezi kudigest hoja.
NHIF iliingia mikataba na hospitali binafsi ili wanachama wa-mfuko wawe na wigo moana wa kupata huduma za afya, oia iliwezesha mgonjwa kuchagua aende akatibiwe wapi ambapo arapata huduma bora.
Sasax kitendo cha hospitali binafsi kusitisha mkataba na NHIF maana yake utalazimika kutibiwa hospitali za serikali ambazo ulikuwa unazikimbia kwa sababu ya huduma mbovu. Hizo hosoitali binafsi zitaendelea kutoza gharama unazoziita kubwa kwa kulipwa cadh au kwa kutumia bima zingine kama Strategis ambazo viwango vya kulipia ni vya juu. Sasa hapo unafuu unaoshangilia uko wapi? Kwa nini zamani ulikuwa unakimbilia hospitali binafsi na kuacha za serikali?
Kwa kitendo hicho cha hospitali binafsi kusitisha huduma kwa wanachama wa NHIF maana yake sasa wale wanachama wanaotaka huduma bora katika hospitali binafsi wataingia gharama zaidi kwa sababu licha ya kukatwa pesa na NHIF kila nwezi kwa wale wafanyakazi na kulipia kila mwaka kwa wale wanaojilipia bado wataenda hospitali binafsi na kulipa cash ili watibiwe. Mgonjwa hawexi kukubali aende kwenye huduma mbovu katika hospitali ya serikali.
sasa kama hujui hao watoa huduma ndo wameufilisi mfuko kwa kuweka gharama ambazo hazipo na janjajanja nyingi.Tatizo lisemwe tu Serikali imefilisi mfuko huko, wanakuja kuwapa shida wachangiaji. Kama kuna hospitali zinafanya hujuma zifungiwe kwa nini wawape tabu wateja. Ukiangalia mfuko unachezewa tu, wanufaika walipunguzwa, huduma zilipunguzwa. Mtu unakatwa pesa halafu inakuja kuwa kama hisani.
Mbona unaandika mambo usiyoyajua mkuu? Hujui NHIF ndio wanatoa bei elekezzi ya dawa?Hizi hospitali zilikuwa zinatupiga bei za kibwanyenye.
Kidonge cha shilingi 50 unauziwa shilingi 1000 hata zaidi, kutegemea wewe mwenyewe umekujaje.
Huo ndo ulikuwa utaratibu wa siku zote wa hizi hospitali.
Zinatia faida kwenye shida ya kiafya ya mtu!
Sasa Serikali imeshtuka na kuwashukia jumlajumla.
Sasa wamepewa bei halisi wanazostahili kuzipata.
Wanaanza kupiga mayowe.
Wanaona wamenyang'anywa tonge tamu mdomoni.
Maana walishazoea.
Tuwe nyuma ya Serikali tuitie moyo na kuipongeza Serikali kwa hatua hii.
Maana itaokoa wengi hasa huko vijijini maana hata kupata hiyo hela ya matibabu ni mtihani.
Leta hoja mkuuMbona unaandika mambo usiyoyajua mkuu? Hujui NHIF ndio wanatoa bei elekezzi ya dawa?
Tatizo sanaHospital binafsi wanatumia gharama zao kutoa huduma, kununua madawa, kodi kibao wanatoa, kulipa wafanyakazi.
Kwa mfano, wamesitisha huduma nani anapata madhara? Hii mifuko mnachota pesa za wachungiaji mpaka inakuwa empty kabisa, then mnaleta siasa za hovyo.
Kila mfumo, mnataka kupata pesa very soon mtaenda kule Utt amis, mchote pesa mkafanye kampeni, mwishoe watu wakitaka kutoa pesa zao muanze kuwazungusha.
Kufanya biashara na hizi serikali zetu Ni changamoto Sanamkuu hapo kwenye utt amis umegonga penyewe. Kwa serikali hii kuna siku watu wataamka na kilio!
unazulumiwa vipi mkuu?Kufanya biashara na hizi serikali zetu Ni changamoto Sana
Hawachelewi kukudhulumu
Rudi darasani ukasome ili uwe na uwezo wa kuelewa maana nina mashaka hata la saba hukuhitimu vizuri.wew ndo huelewi kinachoendelea hapa
tunajua serekali ina madhaifu yake ila sio kwa hiki kinachoendelea kwenye eneo la afya kwanza naona imewavumilia sana hawa watoa huduma binafsi
tulia ule ushibe usome na kuelewa vizuri hoja
usilete uanaharakati apa sisi wengine sio wa ivyo
Yaan mtu wa dialysis saa nyingine Bora ufe tu kama huna uwezo wa kupata figo nyengineKuna wagonjwa wengi wako kwenye dialysis three times a week. Si watakufa tu!
daah apa kuna kazi aiseeRudi darasani ukasome ili uwe na uwezo wa kuelewa maana nina mashaka hata la saba hukuhitimu vizuri.
Hospitali binafsi zinaendelea kutoa huduma kwa gharama hizo unazoziita za juu aidha kwa kulipa taslimu au kwa kutumia bima zingine. Sasa hapo huo unafuu uko wapi zaidi ya mateso kwa wanachama wa NHIF ambao wanefungiwa huduma?
Na gharama hizo walikubaliana na NHIF. Ambazo hawakukubaliana unaambiwa kwamba hazimo kwenye bima. Au kama wametafautiana bei unapata dawa pungufu na zilizobaki kukamilisha dozi unanunuwa kwa fedha taslimu.Rudi darasani ukasome ili uwe na uwezo wa kuelewa maana nina mashaka hata la saba hukuhitimu vizuri.
Hospitali binafsi zinaendelea kutoa huduma kwa gharama hizo unazoziita za juu aidha kwa kulipa taslimu au kwa kutumia bima zingine. Sasa hapo huo unafuu uko wapi zaidi ya mateso kwa wanachama wa NHIF ambao wanefungiwa huduma?
Huna akiliHizi hospitali zilikuwa zinatupiga bei za kibwanyenye.
Kidonge cha shilingi 50 unauziwa shilingi 1000 hata zaidi, kutegemea wewe mwenyewe umekujaje.
Huo ndo ulikuwa utaratibu wa siku zote wa hizi hospitali.
Zinatia faida kwenye shida ya kiafya ya mtu!
Sasa Serikali imeshtuka na kuwashukia jumlajumla.
Sasa wamepewa bei halisi wanazostahili kuzipata.
Wanaanza kupiga mayowe.
Wanaona wamenyang'anywa tonge tamu mdomoni.
Maana walishazoea.
Tuwe nyuma ya Serikali tuitie moyo na kuipongeza Serikali kwa hatua hii.
Maana itaokoa wengi hasa huko vijijini maana hata kupata hiyo hela ya matibabu ni mtihani.
Hii nchi imejaa misukule ,Hizi hospitali zilikuwa zinatupiga bei za kibwanyenye.
Kidonge cha shilingi 50 unauziwa shilingi 1000 hata zaidi, kutegemea wewe mwenyewe umekujaje.
Huo ndo ulikuwa utaratibu wa siku zote wa hizi hospitali.
Zinatia faida kwenye shida ya kiafya ya mtu!
Sasa Serikali imeshtuka na kuwashukia jumlajumla.
Sasa wamepewa bei halisi wanazostahili kuzipata.
Wanaanza kupiga mayowe.
Wanaona wamenyang'anywa tonge tamu mdomoni.
Maana walishazoea.
Tuwe nyuma ya Serikali tuitie moyo na kuipongeza Serikali kwa hatua hii.
Maana itaokoa wengi hasa huko vijijini maana hata kupata hiyo hela ya matibabu ni mtihani.
Hizi hospitali zilikuwa zinatupiga bei za kibwanyenye.
Kidonge cha shilingi 50 unauziwa shilingi 1000 hata zaidi, kutegemea wewe mwenyewe umekujaje.
Huo ndo ulikuwa utaratibu wa siku zote wa hizi hospitali.
Zinatia faida kwenye shida ya kiafya ya mtu!
Sasa Serikali imeshtuka na kuwashukia jumlajumla.
Sasa wamepewa bei halisi wanazostahili kuzipata.
Wanaanza kupiga mayowe.
Wanaona wamenyang'anywa tonge tamu mdomoni.
Maana walishazoea.
Tuwe nyuma ya Serikali tuitie moyo na kuipongeza Serikali kwa hatua hii.
Maana itaokoa wengi hasa huko vijijini maana hata kupata hiyo hela ya matibabu ni mtihani.
sawaSerikali ipongezwe kwa lipi hasa ? Matibabu ni Huduma na Kodi tunatoa; Wameshindwa kazi yao alafu wanataka kuwalazimisha watu na their Private Businesses (Watu binafsi hawatoi huduma ni Profit at all Costs)
Wakitaja waboreshe Hospitali zao za UMMA watu waweze kwenda kwao kwa Bei elekezi ila kama mfuko umejaa waende Private... (Choices) Wanaleta story za Soko Huria ikiwa na Benefit kwao ikiwa mambo magumu wanajifanya kurudi kwenye Social Welfare....
Hii Serikali inakwepa majukumu na always kulaumu wengine kwa incompetence zao...