Serikali ipongezwe kwa hili la jambo la Bima

Ila tuache unafiki hospitali binafsi hasa hizi zinazojiita polyclinic na zile kubwa zinaibia sana mfuko wa bima ( NHIF) hili nimelishuhudia mwenyewe kwa macho yangu, yaani unakuta mtu anapewa maelezo kabisa jinsi ya kuchakata form sijui hata NHIF wafanye vipi kukabiliana na hili suala maana ishakuwa kama fashion sasa.
Eleza wanavyoiba
 
usituchoshe siku moja fanya zoezi nenda uko mahospitalini serikalini na uko binafsi waambie wakupe dawa halaf ukitoka apo nenda duka kubwa la jumla la dawa waulize bei ya dawa izoizo ulizopewa kule mahospitalini hlf utuletee majibu apa
Private hospital wapo hapo kwaajili ya kupata faida. Mbona huko serikalini hakuna huduma bora
 
Ila kwenye bei za dawa hawa jamaa wanatupiga sana, tofauti ya bei ya jumla kule kkoo na namna dawa zinauzwa pharmacy au hospitali utabaki umeduwaa, kwenye hilo nasimama na serikali! Habari ya kuuza dawa mpka mara 5 au 10 ya bei ya kununulia ni wizi wa mchana kweupe!
 
[emoji736]️
 
Hizi hospitali zilikuwa zinatupiga bei za kibwanyenye.

Kidonge cha shilingi 50 unauziwa shilingi 1000 hata zaidi, kutegemea wewe mwenyewe umekujaje.

Huo ndo ulikuwa utaratibu wa siku zote wa hizi hospitali.

Zinatia faida kwenye shida ya kiafya ya mtu!

Sasa Serikali imeshtuka na kuwashukia jumlajumla.

Sasa wamepewa bei halisi wanazostahili kuzipata.

Wanaanza kupiga mayowe.

Wanaona wamenyang'anywa tonge tamu mdomoni.

Maana walishazoea.

Tuwe nyuma ya Serikali tuitie moyo na kuipongeza Serikali kwa hatua hii.

Maana itaokoa wengi hasa huko vijijini maana hata kupata hiyo hela ya matibabu ni mtihani.
Wewe una tatizo la afya ya akili

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Naona umetumwa kutoka kuzimu ili uitetee serikali kwenye huu ujinga.
Watu waendelee kufa ndo mnachokitaka
 
Kumbukeni serikali inatoa subsidy kwenye hospitali zake, lakini charges za NHIF kwa hospitali za umma na serikali ni zile zile. Huyu wa hospitali binafsi ana mikopo, analipa serikali, ana wafanyakazi wengi, anamudu vipi gharama za uendeshaji? Wakati huo NHIF haijawahi kulipa kwa wakati, yaani mtu anatibiwa mwezi huu, malipo yanafanyika mwezi May.
..hakuna fair ground kati ya hospitali binafsi na za serikali.
Mnaokoteza vinistori vya kwenye vijiwe vya Kahawa mnaleta kwenye mijadala serious.

Serikali inatoa Ruzuku gani kwenye hospital, una ushahidi wowote?
 
1. Mishahara ya wafanyakazi hospitali za Serikali inalipwa na Serikali
2. Bajeti ya madawa pamoja na vifaa tiba inatoka Serikali kuu,mapato ya hospitali hutumika kuongezea. Hivyo hata wasipoingiza faida bado hospitali itaendelea kufanya kazi.
3. Hospitali za Serikali hazidaiwi kodi.
 
Mishahara ya serikali inalipwa na serikali. Hospitali binafsi analipa mumeo?

Hiyo budget unajua inapangwa vipi?

Una ushahidi wowote kiwa serikali inatoa pesa Kununua dawa huko vituoni?

Wewe jamaa ni kiazi
 
uelewa wako mdogo sana. rudia kusoma alaf ufananishe na majibu uliyotoa
 
Bima ndo wamekuja kukaza hapo, wanataka wote mlipiwe 1M, watoa huduma hawataki
kama wanataka wote walipwe 1m basi nawao walipe cash kama mwenzao anavyolipa cash. mbona jambo rahisi tu.
 
Kwenye hospital za private gharama za matibabu za cash na bima ni tofauti. Tar 17 nililazwa kwa operation ya apendex ambayo ilifanya siku hio hio nikatoka hosp tar 21. Bill yangu ilikuja 1,044,000.

Nilikua natumia cash. Mwenzangu ambae tumefanyiwa same operation tofauti yeye alilazwa siku Moja kabla Mimi, wamem bill 1,960,000 alitumia bima.
tofauti kubwa mheshimiwa ni kua wewe umelipa cash. hivyo mtu anaweza kuitumia iyo cash kurejesha vifaa tiba na madawa aliokua ameyatumia kukuhudumia wewe na kuyatumia kutoa huduma kwa wagonjwa wengine. Waambia kua unataka hiyo huduma kwa mkopo uone kama watakubali na ata wakikubali uone bei utakayopewa. "japo asilimia kubwa hawawezi kukubali kwasababu ni hasara kwao, ila kwa bima wanatoa kwa mkopo"

Mfano.
Mteja 1: kalipa cash, iyo cash ndani ya miezi sita inaweza kua imezungushwa imehudumia wateja ata 100.kila mteja kama kakuachia kifaida kidogokidogo unajikuta wateja 100 faida ni kubwa.

Mteja 2: kalipa na bima, iyo bima wakati mwingine inachukua hadi miezi kumi ndo ulipwe na ata wakati wa kulipwa kuna uwezekano ukaanza kumbiwa sahihi flani haijakaa vizuri au huduma flani haikua na ulazima wa kutoa ukaishiwa kukatwa mpaka robo ya deni ulilopeleka. pamoja na unakuta umetumia nguvu kubwa sana kufuatilia madeni wakati mwingine unajikuta mpaka hongo umetoa.

Kama mfanyabiashara, je utawewachaji gharama sawa hawa wateja wawili?
 
Popoma mwingine huyu

Kwahiyo suluhisho la hayo uliyoyasema ni kupandisha gharama za huduma?
 
Hizi hospitali zilikuwa zinatupiga bei za kibwanyenye.

Kidonge cha shilingi 50 unauziwa shilingi 1000 hata zaidi, kutegemea wewe mwenyewe umekujaje.

Huo ndo ulikuwa utaratibu wa siku zote wa hizi hospitali.

Zinatia faida kwenye shida ya kiafya ya mtu!

Sasa Serikali imeshtuka na kuwashukia jumlajumla.

Sasa wamepewa bei halisi wanazostahili kuzipata.

Wanaanza kupiga mayowe.

Wanaona wamenyang'anywa tonge tamu mdomoni.

Maana walishazoea.

Tuwe nyuma ya Serikali tuitie moyo na kuipongeza Serikali kwa hatua hii.

Maana itaokoa wengi hasa huko vijijini maana hata kupata hiyo hela ya matibabu ni mtihani.

Hapa ni vita vya malaghai au matapeli wawili.
Serikali ni laghai. Inawalghai wananchi ili wawe na bima huku lengo lake kubwa ikiwa ni kuzipiga pesa za bima.
Mahospitali nayo yapo kifaida zaidi, nayo yanaingiza ulaghai kwenye gharama matibabu.

Unfortunately, wagonjwa ndio wanaoumia.
 
Bima iko kwenye hospitali za serikali na za binafsi. Kuna sababu wagonjwa wanakimbilia kwenye hospitali binafsi kuliko za serikali. Kama ambavyo viongozi wanakimbilia kutibiwa nje, saa nyingine anaenda kutibiwa nje kupitia bima ambayo ata apa ndani ya nchi angepata huduma.

Sema ndo ivyo ukweli halisi ni kua anakimbilia nje kwasababu japo ni gharama lakini anaamini atapata huduma bora,. sasa kwanini mwananchi asikimbilie hospital binafsi kwa kua anajua atapata huduma bora? na hiyo huduma bora haina gharama ya ziada?
 
Hizi hospitali zilikuwa zinatupiga bei za kibwanyenye.

Kidonge cha shilingi 50 unauziwa shilingi 1000 hata zaidi, kutegemea wewe mwenyewe umekujaje.

Huo ndo ulikuwa utaratibu wa siku zote wa hizi hospitali.

Zinatia faida kwenye shida ya kiafya ya mtu!

Sasa Serikali imeshtuka na kuwashukia jumlajumla.

Sasa wamepewa bei halisi wanazostahili kuzipata.

Wanaanza kupiga mayowe.

Wanaona wamenyang'anywa tonge tamu mdomoni.

Maana walishazoea.

Tuwe nyuma ya Serikali tuitie moyo na kuipongeza Serikali kwa hatua hii.

Maana itaokoa wengi hasa huko vijijini maana hata kupata hiyo hela ya matibabu ni mtihani.
Kwa Hili la"NHIF"tuombe tupate maelezo ambayo ni researched na yenye takwimu sahihi.Haya ni maisha ya wadau.
 
Mishahara ya serikali inalipwa na serikali. Hospitali binafsi analipa mumeo?

Hiyo budget unajua inapangwa vipi?

Una ushahidi wowote kiwa serikali inatoa pesa Kununua dawa huko vituoni?

Wewe jamaa ni kiazi
Kiazi mama yako aliyebakwa akakuzaa
 
Mishahara ya serikali inalipwa na serikali. Hospitali binafsi analipa mumeo?

Hiyo budget unajua inapangwa vipi?

Una ushahidi wowote kiwa serikali inatoa pesa Kununua dawa huko vituoni?

Wewe jamaa ni kiazi
Kuwa na adabu kijana kwa mpenzi wa mama yako nimkande mama yako then usiniheshimu ?
 
Back
Top Bottom