Serikali ipi imehamia Dodoma?

Kijana Jamaa amesababishanyumba kupanda bei tofauti na mkoa wenyewe ulivyo, Dodoma haina hadhi ya chumba kukodishwa 70,000/ hadi 100,000/ kwa mwezi.

system error occurred
Kwani kinachofanya nyumba zipande bei ni nini? Wewe ukikaa kule Sinza kulikosongamana kama mabanda ya mbuzi, kuna hadhi ya kulipa sh hata 30,000 kwa mwezi? You are being so unfair. Naona Dar inawalemaza sana akili. Waulize waliohama kutoka Dar na sasa wanaishi Dodoma. Watakwambia real experience.
 
Tatizo dodoma ndio kunahayo mabanda yambuzi kibao alafu yanabei utazani unapanga oysterbay.

system error occurred
 
Wafanyakazi wa serikali ndio wametupwa huko Dom lkn serikali haijahamia huko bado iko dar.

Dar kuchereeeee.

dodge
Unajua maana ya Serikali? Nimeuliza serikali ipi imehamia Dodoma! Uwe unaelewa swali kabla ya kujibu meku
Wafanyakazi wa serikali ndio wametupwa huko Dom lkn serikali haijahamia huko bado iko dar.

Dar kuchereeeee.

dodge
Nawaangalia Halafu Nasema Hii Bhaghoshaa


Ukweli Mchungu!!๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ™„๐Ÿ™„๐Ÿ˜‘๐Ÿ˜‘๐Ÿ˜‘๐Ÿคจ๐Ÿคจ๐Ÿ˜ถ๐Ÿ˜ถ๐Ÿ˜ถ๐Ÿ˜ถ
 
Back
Top Bottom