ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 15,774
- 35,994
Serikali mmetufanyia dharau wakulima wa kahawa
Mwaka Jana tuliuza kahawa bei ya 7000+ Kwa kilo
Mwaka huu mmetoa bei elekezi ya kuanzia angalau sh 5500
Ila ajabu bei imeshuka
Jana mnada bei imetoka sh 3000 na inasemekana bei utashuka zaidi
Wanunuzi wengi wamesusa kununua kahawa, ikisemekana ni kutoiunga serikali iliyopo madarakani mkono,
Hakuna ushindani AMCOS hazipati ushirikiano
Hapa jirani Uganda bei ni 14000 Kwa pesa ya Tanganyika
Serikali mtatunyanyasa wakulima wa kahawa hadi lini?