Serikali imeiuza Kariakoo kwa Wachina

Serikali imeiuza Kariakoo kwa Wachina

Wengi wao wanaozungumzia kuhusu Wachina ni sawa kuwa machinga Tanzania ni kwamba hawajawahi kutaka au kufanya shughuli yeyote nje ya mipaka ya Tanzania wangeona Nchi nyingine zinavyosimamia ishu ya vibali kwa wenye maduka wasingeweza kuandika hayo ndio maana inabidi tubaki kuwasoma tu.
 
Huwezi halalisha tatizo kwa hoja ya ubangaizaji, vibaka na wakabaji ni wabangaizaji pia.

Mawinga wengi wanajichafua wenyewe sababu ya tamaa ya kuwaibia wanaoitwa washamba. Kariakoo si salama kwa wateja wasiopaelewa sababu ya mawinga, vibaka na wezi.
Unaakili ndogo sio kosa lako kama viongozi wako hawawezi kutengeneza fursa unalaumuje watu ambao wameamua kujikwamua hapa siongelei waizi au vibaka

Hata hawa wachina wanaokuja huku Tanzani ni mawinga huko China wenye mafanikio matajiri wa kichina hawawezi kuja huku
 
Wengi wao wanaozungumzia kuhusu Wachina ni sawa kuwa machinga Tanzania ni kwamba hawajawahi kutaka au kufanya shughuli yeyote nje ya mipaka ya Tanzania wangeona Nchi nyingine zinavyosimamia ishu ya vibali kwa wenye maduka wasingeweza kuandika hayo ndio maana inabidi tubaki kuwasoma tu.
Exposure ndogo
Watanzania wengi sana wana-exposure ndogo
 
Malawi mwaka juzi iliwatimua Warundi walioshika soko la Karanga Duniani na matajiri kweli kisa wenyeji walikua wanataabika kwa bei za Warundi kila ikikaa nao wakawa wanajiona wazawa kisa walipewa vibali vya kuishi kilichotokea ikafuta vile vibali kisheria na kuwatimua sasa hivi Wazawa wengi wapo na hiyo biashara ingawaje ilishuka sana bei kwa mwaka wa kwanza..
 
Unaakili ndogo sio kosa lako kama viongozi wako hawawezi kutengeneza fursa unalaumuje watu ambao wameamua kujikwamua hapa siongelei waizi au vibaka

Hata hawa wachina wanaokuja huku Tanzani ni mawinga huko China wenye mafanikio matajiri wa kichina hawawezi kuja huku
Wenye akili kubwa wapo huko wanapambana na energy na tech, muda wa kazi upo hapa kijiweni ukijadili mawinga haupo kwenye kundi la wenye akili kubwa.

Hoja yako ya viongozi haina mashiko. Upigaji ni tamaa. Unipe huduma ya Tsh 200,000 kwa Tsh 500,000 sababu sina uelewa halafu useme ni viongozi hawajakutengenezea fursa? Hahahaha, we jamaa bana.

Swali la kujiuliza, kwanini watanzania wanawakwepa mawinga na kuwakimbilia wachina?
 
Endelea kuwaombea mabaya mawinga maombi yako yatafanikiwa
 
Maombi hayafanyi kazi, matendo ndo yanafanya kazi na watendaji ni mawinga wenyewe, wao ndo wa kufanikisha anguko lao au la. Mchina kawasukumia kete, sio ombi hilo ni tendo.
 
Malawi mwaka juzi iliwatimua Warundi walioshika soko la Karanga Duniani na matajiri kweli kisa wenyeji walikua wanataabika kwa bei za Warundi kila ikikaa nao wakawa wanajiona wazawa kisa walipewa vibali vya kuishi kilichotokea ikafuta vile vibali kisheria na kuwatimua sasa hivi Wazawa wengi wapo na hiyo biashara ingawaje ilishuka sana bei kwa mwaka wa kwanza..
Mfano ukienda kununua bidhaa China
Ukinunua wewe unapewa bei kubwa kuliko mchina akinunua bidhaa hiyo hiyo sasa huyo mchina ukimuachia auze kama mchuuzi wa kitanzania lazima atauza bei ndogo sababu bei alivyonunua mtanzania alafu anaibuka mtu anawalaumu wafanyabiashara wa kitanzania
 
Maombi hayafanyi kazi, matendo ndo yanafanya kazi na watendaji ni mawinga wenyewe, wao ndo wa kufanikisha anguko lao au la. Mchina kawasukumia kete, sio ombi hilo ni tendo.
Fanya mpango ukawaondoe hao mawinga sasa na maombi yako na matamanio yako mchina kukamata biashara zote Tanzania yatafanikiwa
 
Wachina wako sahihi sana! Ni lazima wasake fursa kokote duniani Kwa ajili kulijenga taifa lao la china ili liwe super power, na kurithisha vizazi vyao uchumi wa uhakika! Watanzania mnapoambiwa chagueni visionary leaders na wenye wivu na taifa lao mmekalia uchawa na mapambio, ktk zama hizi ambazo vita ya kiuchumi inapiganwa Kwa ustadi na werevu wa hali ya juu tunapaswa tuwe na viongozi smart sana! Wenye upeo wa juu, maono na wivu Kwa taifa! Madhara ndio haya sasa watu kubaki kulia lia na hata viongozi wenu hawana namna ya kuwafukuza maana hao wanaabudiwa kama wawekezaji. Kimewaramba!
Sawa Mchina wa Kazuramimba
 
Fanya mpango ukawaondoe hao mawinga sasa na maombi yako mchina kukamata biashara zote Tanzania yatafanikiwa
Maombi ni nadharia yako na haifanyi kazi. Kinachofanya kazi ni demand and Supply. Na kwa sasa demand ya wachina ipo juu kwa watanganyika kulinganisha na mawinga na sababu unaijua.

Kwanini ukimbiwe na wanunuzi ambao ni watanzania wenzako?
 
Tuwape nchi kabisa
 
Nionyeshe permanent settlement ya mwaarabu na mhindi hapa bongo tofauti na kupanga? Wote wakipata hela wanahamia ulaya bongo hawajengi.
Hapa Tanzania kuna Waarabu na Wahindi wenye lineage kubwa kukuzidi wewe hapo. Utakuta hata baba yake babu yako humjui.

Mansoor Daya mwaka 1962 kaanzisha kiwanda cha kwanza cha kutengeneza madawa ya binadamu hapa Tanzania. Kabla na baada ya hapo alikuwa Mtanzania hadi umauti unamfika 2024.

Kina GSM baba yao kaanza biashara mwaka 1955 na bado wapo.

Mzee Dewji kaanzisha METL miaka ya 1970s na bado yupo.

Mchina gani ana ukoo Tanzania vizazi vinne hata vitatu?
 
Wengi wao wanaozungumzia kuhusu Wachina ni sawa kuwa machinga Tanzania ni kwamba hawajawahi kutaka au kufanya shughuli yeyote nje ya mipaka ya Tanzania wangeona Nchi nyingine zinavyosimamia ishu ya vibali kwa wenye maduka wasingeweza kuandika hayo ndio maana inabidi tubaki kuwasoma tu.
Kwanza hawa wachina vibali vyao sio vya maduka na wakija huku kwa Gia ya uwekezaji kuna ruzuku wanapewa na Kodi kibao hapa wanafutiwa.wanaishi kama mbinguni yaani.
Halafu wanakuja kuharibu biashara za wazawa .
Mchina analeta bidhaa hapa. Anapeleka madukani Hadi katavi yaani.
Wafanyabiashara WA Tanzania wanauza wapi ? Wafanye nini?
Hyo ni kazi ya mchina kweli?
 
Back
Top Bottom