Serikali imeiuza Kariakoo kwa Wachina

Serikali imeiuza Kariakoo kwa Wachina

Tuwape nchi kabisa
Umeshahama, unataka tujadili siasa? si unajua sisi wenye akili ndogo tupo idle, Ok, twende kwenye unalolipendekeza.

Unadhani wachina wanaweza endesha hii nchi kuzidi viongozi wetu tuliowachagua?
 
Nyie mliweza kuiendesha
Kujenga yenyewe walijenga wao
Acha waichukue tu
Nyie jikotwni tu kwenye burudani
Biashara

Ova
Wewe kama dereva hao Wachina hawaji Kariakoo tu, wanaendesha na wanaimiliki TAZARA wao pekee. Watafunga mizigo China, washushe bandarini wabebe wenyewe kupeleka Zambia na Congo. Copper wabebe wenyewe na magogo ya miti wabebe wenyewe. Ushinde njaa ushangilie Wachina wameikomoa Kariakoo.
 
Umeshahama, unataka tujadili siasa? si unajua sisi wenye akili ndogo tupo idle, Ok, twende kwenye unalolipendekeza.

Unadhani wachina wanaweza endesha hii nchi kuzidi viongozi wetu tuliowachagua?
Wewe siunawatuhumu watanzania ni mawinga, maizi na matapeli tuwape wachina nchi
 
Haiwezekani Kariakoo wachina wanaishi kama kwao.

Mbaya zaidi hawalipi kodi ipasavyo. TRA haina kanuni za asiye raia kulipa kodi kama mzawa

Hii ni sawa tu na kusema Kariakoo imeuzwa
Hizo ni porojo tu na bado mpaka mnyooke, mmezoea kuwaibia watanzania wenzenu. Ondoeni hiyo misukule yenu mnayoyafuga. We unajuaje km hawalipi kodi inavyostahili? Unafanya kazi TRA? Nyie makanjanja ndio hamlipi kodi. Km huwezi ushindani rudi mkoani kwenu
 
Wachina wako kwenye Cartels😁 yani ukimtingisha ana Godfather wake ambaye ana connection ubalozini.

Kesi ikifika ubalozini kama sio ya msingi inazimwa chap. Mtu anatoka kidogo akirudi anaendelea na mambo yake. Wachina wako smart sana na flexible kwenye ku adopt mazingira halafu pia ni wepesi wa kuhonga kuliko kufata sheria. Hapo ndipo wanapoenda sawa na mamlaka zenu za kimchongo.
Ngoja SS nimtafute tu mchina hakuna namna😅
 
Na hii ndio legacy ya ujamaa, kitu pekee mtanzania anaweza ni propaganda. Kwasasa ni muache ulanguzi au mkubali kufa kifo cha mende

Nyuzi nyingi sana humu Jf zipo tangu kitambo mkionywa upumbavu wa kutaka mpaka faida zaidi ya 100% mkapofusha macho na kuziba masikio.

Wakati umewadia kushare kile kikombe mlichokuwa mnatunywesha nacho maji, serikali wasikilizie hata miaka mitano ijayo then wawapige ban wachina maana mpaka wakati huo vichwa vyenu vitakuwa vimerudi kwenye default settings
Wawapige ban ya nini, asiyeweza biashara atafute shughuli nyingine ya kufanya.
 
Kwanini wa waafrika walio wengi wanakuwa dhaifu kwa wageni wasio waafrika. Sheria za nchi zinawapendelea /wananyenyekewa so what?
Lack of exposure Ndiyo tatizo letu. Mfano mdogo nenda East London mitaa ya Barking, Hackney, Newham nk nk. Biashara zote ndogo ndogo zinamilikiwa na wageni, iwe ni corner shop, vigenge vya mboga mboga. Huwezi mkuta Mwingereza a napiga kelele kuwa Eti wageni wanafanya kazi zetu. Wachache wanajichanganya na kupambana nao katika biashara ambazo nyingi ni za wageni. Utakuta mzungu anauza mihogo kwenye ki store chake. Ukimuuliza unatoa wapi atakwambia na agiza toka Nigeria, Mexico au South Asia. Wabongo wa Kariakoo kaza msuli. China Town haizuiliki ipo Dunia nzima. Jifunze namna ya kuishi nayo hiyo system inga mbinu zao ama sivyo jiunge nao mshirikiane kibiashara. Hii ya mwisho nadhani ni ngumu kwani sisi Watanzania ni wavivu na wezi kwa ufupi si waaminifu..
 
Wachina ni janga kubwa sana Serikali inabidi ichukue hatua haraka sana hasa kokote kule kwenye wachina Kariakoo, pale Ubungo jengo kubwa jipya, hawa wachina ni watu hatari sana na wataua uchumi wa nchi yetu na wananchi kupoteza biashara zao..!! Kuna wachina pia walitoka Mombasa wako Dar, wanajenga majengo, ni hatari sana, pia TIC waangalie wawekezaji wa kichina ni wahuni kwani anakuja mmoja ana dollar say $100,000 anajisajili mmoja kama investor kumbe wako wachina 100 ndio wamejichangisha..

Wachina wachukuliwe ni hatari kubwa kama Corona kwa uchumi wa nchi yetu, wachina wote Serikali iwafuatilie, iwe kama janga la Taifa, hasa Kkoo itapotea kabisa na wananchi wetu watapoteza biashara zote.
Wachina ni wakombozi hao wanaojiita wazawa ndio majanga. Ili mradi wanalipa kodi na wanauza bidhaa kwa bei nafuu ni ukombozi kwa mtanzania.
 
Lack of exposure Ndiyo tatizo letu. Mfano mdogo nenda East London mitaa ya Barking, Hackney, Newham nk nk. Biashara zote ndogo ndogo zinamilikiwa na na wageni, iwe ni corner shop, vigenge vya mboga mboga. Huwezi mkuta Mwingereza a napiga kelele kuwa Eti wageni wanafanya kazi zetu. Wachache wanajichanganya na kupambana nao katika biashara ambazo nyingi ni za wageni. Utakuta mzungu anauza mihogo kwenye ki store chake. Ukimuuliza unatoa wapi atakwambia na agiza toka Nigeria, Mexico au South Asia. Wabongo wa Kariakoo kaza msuli. China Town haizuiliki ipo Dunia nzima. Jifunze namna ya kuishi nayo hiyo system inga mbinu zao ama sivyo jiunge nao mshirikiane kibiashara. Hii ya mwisho nadhani ni ngumu kwani sisi Watanzania ni wavivu na wezi kwa ufupi si waaminifu..
Huko wapi kuna movement kubwa England ya kupinga wageni na waamiaji haramu

Marekani taifa lenye uchumi mkubwa wanalalamikia wageni nenda ujerumani afd chama cha mrengo wa kulia kinapinga wageni

Kama hizo nchi kubwa duniani zinapinga wageni kwanini ni kosa kwa Tanzania
 
Back
Top Bottom