FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,814
- 46,937
Hahahah, eti analegeza nini..?, anyway…, penye nia pana njia.., wazawa watatafuta tu njia ya kucoexist naoAcha kulegeza makalio dogo. Pambana ufanye biashara, hizo longolongo hutoboi popote.
Angalia Mchina anafanya nini nawe iga