Watu mna vitukoAcha kulegeza makalio dogo. Pambana ufanye biashara, hizo longolongo hutoboi popote.
Angalia Mchina anafanya nini nawe iga
Nionyeshe permanent settlement ya mwaarabu na mhindi hapa bongo tofauti na kupanga? Wote wakipata hela wanahamia ulaya bongo hawajengi.Hao wabishi achana nao, na wanadhani hawatofikiwa.
Aya sasa Mchina ananunua ardhi yenye madini uko Chunya na maeneo mengine, Mchina ana makarasha na miundombinu ya kuchimba anabeba dhahabu ya wazawa ambayo ina soko regulated duniani na bei ni soko la dunia. Napo utaambiwa wachimbaji wa Kitanzania wanataka faida kubwa.
Ukienda mikoa kama Katavi unakuta Wachina wanamiliki ardhi ya kilimo, wamepataje hujui. Wanavijiji wanambulia kuwa watumwa kwenye ardhi zao.
Nina jamaa yangu aliajiriwa nao mradi fulani, wakampeleka short course, sasahivi wamesajili kampuni kupitia wabongo wawili na terms ngumu wamewapa. Yupo front kama geresha operations ni wao wanashusha makontena.
Ubaya wa Wachina wanakomba hela kwenye mzunguko na hawana settlement ya kudumu hapa. Bora hata Wahindi na Waarabu kwa kiasi fulani tunao makumi elfu mitaani, Wachina wakipata hela yote wanatuma kwao na miaka kadhaa wanarudi kwahiyo hatupati re-investment ya ile faida yao.
Wanachojuwa ni umbea kukatika mauno,kushindaa barWachina pigeni kazi, msiogope majungu ya Watanzania wavivu. Wao wamejaa maneno tu, bei kubwa na kustarehe baada ya kuuza kidogo tu
Na bado lile soko la ubungo jipya lazima wachina wamiliki lote, ni wakati sasa mawinga wa kariakoo kwenda veta au kuweka majembe mabegani muelekee shamba..mmeumiza watu Kwa bei zenu za ajabu ajabu Kwa muda mrefu.Haiwezekani Kariakoo wachina wanaishi kama kwao.
Mbaya zaidi hawalipi kodi ipasavyo. TRA haina kanuni za asiye raia kulipa kodi kama mzawa
Hii ni sawa tu na kusema Kariakoo imeuzwa
Nenda na wewe kanunueeeHao wabishi achana nao, na wanadhani hawatofikiwa.
Aya sasa Mchina ananunua ardhi yenye madini uko Chunya na maeneo mengine, Mchina ana makarasha na miundombinu ya kuchimba anabeba dhahabu ya wazawa ambayo ina soko regulated duniani na bei ni soko la dunia. Napo utaambiwa wachimbaji wa Kitanzania wanataka faida kubwa.
Ukienda mikoa kama Katavi unakuta Wachina wanamiliki ardhi ya kilimo, wamepataje hujui. Wanavijiji wanambulia kuwa watumwa kwenye ardhi zao.
Nina jamaa yangu aliajiriwa nao mradi fulani, wakampeleka short course, sasahivi wamesajili kampuni kupitia wabongo wawili na terms ngumu wamewapa. Yupo front kama geresha operations ni wao wanashusha makontena.
Ubaya wa Wachina wanakomba hela kwenye mzunguko na hawana settlement ya kudumu hapa. Bora hata Wahindi na Waarabu kwa kiasi fulani tunao makumi elfu mitaani, Wachina wakipata hela yote wanatuma kwao na miaka kadhaa wanarudi kwahiyo hatupati re-investment ya ile faida yao.
Nyie mliweza kuiendeshaKama TAZARA imeuzwa mnashangaa kariakoo?
Hawa jamaa WA huku jf wengi chadema kila kitu wabishi.yaani hawapendi mafanikio ya watu halafu hawajui hata kitu.ushabiki TuHao wabishi achana nao, na wanadhani hawatofikiwa.
Aya sasa Mchina ananunua ardhi yenye madini uko Chunya na maeneo mengine, Mchina ana makarasha na miundombinu ya kuchimba anabeba dhahabu ya wazawa ambayo ina soko regulated duniani na bei ni soko la dunia. Napo utaambiwa wachimbaji wa Kitanzania wanataka faida kubwa.
Ukienda mikoa kama Katavi unakuta Wachina wanamiliki ardhi ya kilimo, wamepataje hujui. Wanavijiji wanambulia kuwa watumwa kwenye ardhi zao.
Nina jamaa yangu aliajiriwa nao mradi fulani, wakampeleka short course, sasahivi wamesajili kampuni kupitia wabongo wawili na terms ngumu wamewapa. Yupo front kama geresha operations ni wao wanashusha makontena.
Ubaya wa Wachina wanakomba hela kwenye mzunguko na hawana settlement ya kudumu hapa. Bora hata Wahindi na Waarabu kwa kiasi fulani tunao makumi elfu mitaani, Wachina wakipata hela yote wanatuma kwao na miaka kadhaa wanarudi kwahiyo hatupati re-investment ya ile faida yao.
Aisee mrangi wewe ni akili kubwa kaka.sikutegemea kama na wewe ni WA kuchukulia vitu kirahisi hiviNenda na wewe kanunueee
Au nyie ndiyo mnaishia kufungua bar tu alafu mnasema nna big investment
Ova
Kuna supamaketi ipo Maili Moja Kibaha pale ni ya wachina, walikuwa wanauza bulb za Wat 5 na 7 kwa Tshs. 1,100 wakati madukani kwa Mangi tunauziwa Tshs. 2,500 mpaka 3,000. Wananchi tukawa tunanunua zile unit 3 nk Sasa bwana wenye maduka wakaenda kuzivamia zooote na wakazirudisha madukani kwao ili watuuzie kwa Tshs. 3,000/= 😄😄Hapo ndipo walanguaji wa kibongo wanapoumia,mfano citi store pale,ukiingia kila utakachokikuta ndani elfu 3
Na wewe si uchukueSikatai bali wachina wanachukua kila kitu
Cc: MahondawInasikitisha sana
Au timu ya taifa ya soka ya ufaransaThibitisha kauli zako kuwa wameinunua na hawalipi kodi?
vipi na wakinga wanataka kuinunua Guangzhou? Maana wanajazana China kama kwao! We bakiaga hivyo hivyo.chelsea inawachezaji wengi weusi kuliko wazungu na wala hawana shida!
Matajiri njaa wa kariakoo wengi hawalipi Kodi biashara za ujanja ujanja hata Samia kasema walichoma soko ili kuunguza nyaraka wasilipe kodiMkuu kitu kama hujui ungenyamaza Tu
Hivi bakhresa anaezalisha ngano alianza kuuza chapati nyumba kwa nyumba huoni kuna madhara kwa watu maelfu wanakouza chapati
Mchina ana kiwanda yeye auze kwa agent .agent auze kwa mtu wa jumla .yaani kinachotakiwa ni biashara ifate mkondo wake.wala winga hausiki hapa
Tatizo huku mna wivu na matajiri WA kariakoo
Wacha wivu, shughulisha akili yako ufanye biashara. Kwani kuna kosa gani wachina kumi kuchangia mtaji wa USD 100,000 unaotakiwa na TIC?
Sisi tunachoangalia ni ingizo la USD 100,000 tu, wawe mmoja au wawili au 20 ni immaterial.
Wewe uko mmoja na pumbu zako tu umawachamba wachina 10 walieta USD 100,000
Fikiria mtu amevuka mito bahari na milima kutoa China hadi Tanzania 🇹🇿 hapo kuna jamboKwani lazima wote mkae kufanya umachinga Kariakoo? Kwanini msiende kulima mabonde na misitu yenye rutuba yako ya kumwaga.
Ila mumeona kukaa Kariakoo na kufanya uwinga ndiyo jambo la maana