Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 15,954
- 35,022
TZ fursa ni nyingi mnoTena jamaa wanaambiana michongo yote ya kuishi hapa.. ndomana hawaogopi kuja kwa wingi
TZ fursa ni nyingi mnoTena jamaa wanaambiana michongo yote ya kuishi hapa.. ndomana hawaogopi kuja kwa wingi
Wao ndio wanunue kwangu wasambaze..Wewe nunua kwa hao wachina kisha sambaza
Kama hujui wachina ndiyo mabingwa wa kutolipa ushuru ndugu, wamenunua Mahoteli kibao na kujaza shehena zao huko na wanauza kimaghumashi.Wafanya biashara wa kibongo ni wahuni bidhaa ya 12k unauziwa 35k. Risiti hawatoi na hata wakitoa ni za magumashi Acha wachina watupe unafuu ya maisha. Tumechoka na mawinga wa kariakoo
Sahihi mjumbe.Wachina wako kwenye Cartels😁 yani ukimtingisha ana Godfather wake ambaye ana connection ubalozini.
Kesi ikifika ubalozini kama sio ya msingi inazimwa chap. Mtu anatoka kidogo akirudi anaendelea na mambo yake. Wachina wako smart sana na flexible kwenye ku adopt mazingira halafu pia ni wepesi wa kuhonga kuliko kufata sheria. Hapo ndipo wanapoenda sawa na mamlaka zenu za kimchongo.
si kweli kwamba wanalipa 100% ni janja janja sana kwenye kodi sometimes anaweza hata asikuuzie mzigo ukidai full risiti ila kwenye bei wanaacha mbali sana wabongo.Mleta mada umeandika kishabiki na kibaguzi tu, lakini ulichoandika sio kweli.
Uhalisia ni huu.
1. Hakuna mchina anayeweza kuishi na kufanya biashara au kazi hapa Tanzania bila kibali. Wale jamaa ni smart kwa hilo maana wanajua msingi wa kuishi na kufanya chochote hapa Tz ni kuwa na hivyo vitu.
2. Hakuna mchina asiyelipa kodi TRA ambaye yuko hapo Kariakoo. Kulipa kodi kihalali ndio kinga ya hao wachina.
3. Kwa sababu ya kuongezeka idadi yao huku wakiwa makini, ujanja na uharaka wa kufanya biashara kumewatisha na kuwanyima fursa watanzania hapo Kariakoo hivyo kutaka upendeleo au udhibiti, jambo ambalo sio sahihi kisheria.
Ushauri.
Watanzania tuache kulalamika, tupambane.
Jamaa ni wazuri wa kuhonga balaaaWachina wako kwenye Cartels😁 yani ukimtingisha ana Godfather wake ambaye ana connection ubalozini.
Kesi ikifika ubalozini kama sio ya msingi inazimwa chap. Mtu anatoka kidogo akirudi anaendelea na mambo yake. Wachina wako smart sana na flexible kwenye ku adopt mazingira halafu pia ni wepesi wa kuhonga kuliko kufata sheria. Hapo ndipo wanapoenda sawa na mamlaka zenu za kimchongo.
Jay one muelekeze bila matusi atakuelewa vizuri tu mkuu wangu..
Namba tatu nikusahihishe kidogo kila taifa lina utaratibuwa furda kwa ajili ya wazawa ,sio sawa mchina kufungua duka kariako .Mleta mada umeandika kishabiki na kibaguzi tu, lakini ulichoandika sio kweli.
Uhalisia ni huu.
1. Hakuna mchina anayeweza kuishi na kufanya biashara au kazi hapa Tanzania bila kibali. Wale jamaa ni smart kwa hilo maana wanajua msingi wa kuishi na kufanya chochote hapa Tz ni kuwa na hivyo vitu.
2. Hakuna mchina asiyelipa kodi TRA ambaye yuko hapo Kariakoo. Kulipa kodi kihalali ndio kinga ya hao wachina.
3. Kwa sababu ya kuongezeka idadi yao huku wakiwa makini, ujanja na uharaka wa kufanya biashara kumewatisha na kuwanyima fursa watanzania hapo Kariakoo hivyo kutaka upendeleo au udhibiti, jambo ambalo sio sahihi kisheria.
Ushauri.
Watanzania tuache kulalamika, tupambane.
Kwa wenzetu gani una maanisha? Wachina wako New York, London, Zurich name any country. Wao wana ji-tune kadri ya mazingira ya nchi waliyoikuta yalivyo.Nenda kwa wenzetu, hakuna ujinga huu
😂😂😂😂😂😂😂 Wanaolalamika zaidi mawingaWinga haumii chochote mkuu .wanaoumia ni wafanyabiashara wenye mitaji mkubwa
Maana mchina kakuuzia vitu toka kiwandani kwake ili uje uuze nchini.na yeye anakuja nchini tena anakuja kuuza kwa bei ya chini tena Hadi mikoani kwa wateja wadogo.wewe utauza wapi?
Umemsikia winga analalamika? Mi nachojua winga anafaidi uwepo WA mchina.labda wewe uniambie winga anaathirika kivipi? Kwani mtu wa mwisho anauziwa vitu na mchina?😂😂😂😂😂😂😂 Wanaolalamika zaidi mawinga
Mkulima ni ngumu kuielewa Kariakoo.Acha kulegeza makalio dogo. Pambana ufanye biashara, hizo longolongo hutoboi popote.
Angalia Mchina anafanya nini nawe iga
Umemueleza kitu kigumu kwake. Mueleze kwa lugha ya ishara.Umemsikia winga analalamika? Mi nachojua winga anafaidi uwepo WA mchina.labda wewe uniambie winga anaathirika kivipi? Kwani mtu wa mwisho anauziwa vitu na mchina?