Sirdirashy
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 3,252
- 3,074
Watumishi utawajua tu fanyeni biashara mjiongeze
Duniani kote, lazima kuna watu lazima.wawe watumishi wa serikali. Hivi unafikiri kila mtu akiwa mfanya biashara ukiugua utatibiwa na nani?Watumishi utawajua tu fanyeni biashara mjiongeze
Alitoa watumishi hewa nahakuajiri wapya wala kupandisha madaraja sasa angefeli wapMagu kwa miaka mitano na nusu hakuwahi kuchelewesha mishahara ya wafanyakazi hata siku moja. Baniani mbaya kiatu chake dawa
Bibi upo??Siyo kweli, mpaka uishe mwezi May kama mishara haijatolewa ndiyo itakuwa imechelewa.
Hao ndugu zetu wa wizara ya mambo ya ndani walivyo na mishahara kiduchu unataka wawe na uvumilivu gani?Nchi hii USALAMA WA TAIFA ndio watumishi wa mwisho kulipwa mshahara, hawa hulipwa kuanzia tar 25 hadi 26.
POLISI
JWTZ
MAGEREZA
UHAMIAJI
ZIMAMOTO
WAALIMU
WAHUDUMU WA AFYA
Hawa hutangulia kulipwa na hii ni kutokana na kuwa ni kada ambazo zimejaa watu wasiona na uvumilivu hasa wa kifedha.
Mtetezi mkuu ChoiceVariable hii imekaaje?Naona kimya kama hakuna lilolo tokea vile
Mikwala ya kulipa mshahara tarehe 19 Leo hadi 23 kimya tu
USSR
Wewe nenda kwenye majukwaa ya dini,hii mada iko juu ya uwezo wakoSiyo kweli, mpaka uishe mwezi May kama mishara haijatolewa ndiyo itakuwa imechelewa.
Uku ni pakupumzikia ukichukulia serious shaur yako😁[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aisee hii ndiyo home of great thinkers
Sijakuelewa mkuu! Una maanisha nini? [emoji23]Huyu ni maskin mkubwa sana
USSR
Vipi, bado akaunti haisomi?Wewe nenda kwenye majukwaa ya dini,hii mada iko juu ya uwezo wako
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Kuna watu wanapanda mwaka huu na majina yalishatoka kuwa wamepanda mwezi wa May tarehe mojaWalalamishi wote humu ni walimu.
Subirini, mshahara utatoka baada ya bajeti mpya na malimbikizo yote mliyokuwa mnadai.
Kumbe na wewe unategemea kodi zetu?Naona kimya kama hakuna lilolo tokea vile
Mikwala ya kulipa mshahara tarehe 19 Leo hadi 23 kimya tu
USSR
Bado mkuu,ila ninakatenda hapa nilikapata kanaweza nisukuma kwa miezi miwili mbele bila mshahara .Vipi, bado akaunti haisomi?
Mkubwa sana huo mkuuBado mkuu,ila ninakatenda hapa nilikapata kanaweza nisukuma kwa miezi miwili mbele bila mshahara .
By the way mshahara wenyewe ni sh 250,000
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app