Serikali imechelewa kulipa mshahara wa mwezi Mei

Serikali imechelewa kulipa mshahara wa mwezi Mei

Nimetoka kuangalia salio [emoji763] naona hora dah! noma sana

Kesho nitaamka kweli maana nimechoka sana kwa kweli
Mleta mada anasema mgodi umeshatema, labda wengine bado wanaendelea kuwekewa.
 
Mnadaiwa huku mitaani serikali lipen hawa na sisi tunashida[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Kila la heri katika 'cheo' kipya Kilimbatzz
Nina kumbukumbu za mabadiliko ya mishahara kwa wapandao 'vyeo' kuanza 01 Juni na sio 01 Mei, kwahio haya itakuwa ni mabadiliko.
Miye ni mojawapo nimepanda mwaka huu, na barua yangu inasema nimeshapanda kuanzia 1/5/2023

Ninachosubiri ni mabadiliko hayo ya reflect kwenye mshahara wangu
 
Nimetoka kuangalia salio [emoji763] naona hora dah! noma sana

Kesho nitaamka kweli maana nimechoka sana kwa kweli
Kale ka msg ka INSUFICIENT BALLANCE huwa kanaudhi sana.

Lakini vilevile unapojaribu kutoa huku hujui kama imeingia au haijaingia mara unasikia mlio wa ATM inahesabu ankra kriiiiiiiiiiiiiii aise kale kamlio huwa kanaleta matumaini sana.
 
Kwani unaliopwa ni Mshahara wa nwezi gani?

Kwa akili hizo zako za kudhani kila mmoja ni muongo ndiyo zinakuoelekea unajidanganya kuwa mwisho wa mwezi umefika.

Kulipwa nshahara kabla ya mwezi kukamilika ni kuenziwa tu lakini si lazima. Msijidanganye.
Umenena ukweli kabisa,Mtu hawezi kusema kuwa mshahara umechelewa au serikali imechelewa kulipa mishahara wakati hata mwezi tu haujaisha, serikali yetu chini ya uongozi shupavu na madhubuti Ni lazima ipongezwe Sana kwa namna ambavyo imekuwa ikiwahisha mishahara kwa watumishi wa umma.

Ni Tanzania pekee chini ya mama yetu shupavu na mchapa kazi ambapo watumishi wa umma wanapata na kupokea mishahara Yao kabla ya mwezi kuisha,Ni Tanzania pekee chini ya uongozi wa mama yetu na Rais wetu ambapo huwezi ukaona mwezi ukiisha pasipo kuwalipa mishahara ya watumishi wa umma.

Watumishi wa umma Wana kila sababu ya kumshukuru na kumpongeza Sana mh Rais wetu kwa namna anavyowajali ,ikiwepo kuwalipa mishahara kwa wakati,kuwapandishia mishahara,kuwa pandisha madaraja na kuwalipa kulingana na madaraja,kuwalipa malimbikizo Yao yote,kuwalipa posho mbalimbali n.k

Kwa hakika mama yupo kazini, serikali ipo macho na inamtazama kila mtu na kila sehemu.

Watumishi Wa umma waendelee kuchapa kazi na kujituma, waendelee kufanya kazi kwa uadilifu na Nidhamu,watangulize mbele maslahi ya Taifa na kuwa wanyenyekevu kwa watanzania wafuatapo huduma katika ofisi za umma. Mama ana mipango mizuri na watumishi wa umma ,anawapenda na kuwajali sana ndio maana amewaahidi mengi mazuri na makubwa.kila Mtumishi wa umma anakwenda kucheka na kutabasamu mwaka huu na kila mmoja ataandika jina la Rais wetu mama Samia kwa machozi ya furaha katika moyo wake.
 
Mwezi una siku 30, kwahiyo ukilipwa tarehe 22 kwa mfano, count down thirty days kuanzia 23, inapoangukia hiyo ndiyo inakuwa siku ya kutegemea mshahara katika mwezi unaofuata, japo hutokea si mara moja wala mara mbili mzunguko kutofika 30 au kuvuka 30.
 
Mwezi una siku 30, kwahiyo ukilipwa tarehe 22 kwa mfano, count down thirty days kuanzia 23, inapoangukia hiyo ndiyo inakuwa siku ya kutegemea mshahara katika mwezi unaofuata, japo hutokea si mara moja wala mara mbili mzunguko kutofika 30 au kuvuka 30.
Hapo umenena vyema kabisa.

Kwa hiyo mleta mada ilibidi atuoneshe mwezi uliopita alilipwa tarehe ngapi ili tuone kama amecheleweshewa nshahara wake.
 
Back
Top Bottom