Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 35,319
- 103,575
Dah watatuua au kesho mzee?Badooooooooooooo
Dah watatuua au kesho mzee?Badooooooooooooo
Bado mzee. Kesho hii?
Bado mzeeVipi tayari au?
Kama unataka kulipwa kabla hata ya tarehe 15 jiajiri hizo habari za kusubiria mshahara kama malaya wa bar anasubiri tip alooo yashapitwa na wakati waachie wanawake waajiriwe mwanaume simamia miradi yako kuajiriwa ni umamaNaona kimya kama hakuna lilolo tokea vile
Mikwala ya kulipa mshahara tarehe 19 Leo hadi 23 kimya tu
USSR
Nimecheka kwa sauti kubwa mpaka jirani kauliza kwani leo kuna nini?Eeehehhhe Bado dakika mbili Mpira uishe watumishi wa uma wamepokea kichapo kikali sana hata hawaamini kipi kimetokea pale, ngoja tuone kama hizi dakika zilizobaki kama watumishi watafanya comeback, maana wanaonekana wako dhohofu lihali.....
Dakika ya 89 serikali 6 watumishi 0
Dogo Jifunze heshima basi. Matusi ya nini, mbona jamaa kandika bila kutukana.Kama unataka kulipwa kabla hata ya tarehe 15 jiajiri hizo habari za kusubiria mshahara kama malaya wa bar anasubiri tip alooo yashapitwa na wakati waachie wanawake waajiriwe mwanaume simamia miradi yako kuajiriwa ni umama
HahahaTunaoteseka ni sisi tuliotoa ahad lukuki kwa watu kua mzigo leo uhakika
AahaaaaaaaMe nimekwishamaliza mshahara wa mwez Mei nasubiria mwez june
Hahahah...basi tukutane tena kesho.Bado mzee. Kesho hii?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eeehehhhe Bado dakika mbili Mpira uishe watumishi wa uma wamepokea kichapo kikali sana hata hawaamini kipi kimetokea pale, ngoja tuone kama hizi dakika zilizobaki kama watumishi watafanya comeback, maana wanaonekana wako dhohofu lihali.....
Dakika ya 89 serikali 6 watumishi 0
Kutakucha tu mzee
Subirini wataweka saa 6 usiku!
Walale wakiamka watakuta acc. zinasoma!usije ukawafanya watu wakakesha bure
Akili matope sasa bila wao hizo chupi mnazouza kariakoo mtamuzia nanHela zetu huku kkoo za biashara tumegoma kuwapa tra tumefunga maduka,unafikiri Hela watatoa wap za kuwalipa..nyie watumwa bila sis wafanyabiashara mtakufa njaaa!!!