The real Daniel
JF-Expert Member
- Jan 5, 2017
- 2,145
- 8,028
Crdb naskia tayari
Watoto wa shule hao, hawajui maisha 🤣🤣Matajiri wa Jf ukiulizia mshahara, wanakushangaa😜😜😜
Sio sababu hiyoYeah this mouth Kuna areas zimelipwa nyingi tu na wale wa madaraja baadhi wamepanda kwa wingi tu
Umejuaje ni walinu?Hapa Bagamoyo nimeona Walimu wamepanga foleni ndefu sana pale NMB
😂😂Crdb naskia tayari
Naona uzi unakimbia kweli kweli! Akitakea mtu akasema tu mshahara tayari..!! Watu wanatokwa na macho kama Kaabudi!! [emoji2]
Watumishi wa serikali kujiongeza ni muhimu sana. Maisha ya kuishi kwa kutegemea mshahara kwa 100% siyo poa hata kidogo.
Crdb naskia tayari
Kuchelewa kulipa mwezi mmoja tu tena siku. Jamaa una majungu sanaHakika sio kawaida naona mwigulu kazi imemshinda
USSR
2M unaita zigo?🤣🤣🤣🤣Upate 2M+ per month uje ulielie humu JF? Watu wa zigo kama hizo hata hatujuagi salary imeingia lini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aisee hii ndiyo home of great thinkers2M unaita zigo?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbona mi bado?Mshahara tayari