Serikali imechelewa kulipa mshahara wa mwezi Mei

Serikali imechelewa kulipa mshahara wa mwezi Mei

Nondo za siku ya leo:-
  • Fuga kuku upate mayai na nyama, usifuge ndevu hazina tija​
  • Weka bustani ya mchicha ikusaidie pale mshahara utakapochelewa, usiweke bustani ya maua au ukoka kwa sababu hutokula hivyo vitu​
  • Wekeza fedha kwa wajasiriamali wadogo ili iwe rahisi pale utakapokwama, na usiwekeze fedha bar au kwa walimbwende​
  • Buni njia mbadala ya kuongeza kipato nje ya mshahara, ili pale utakapochelewa usitetereke.​
  • Jitengenezee mazingira ya kujiajiri, ili uweze kutunza utu wako na heshima uliyonayo.​
 
Mnawasagia mno waajiriwa kunguni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mnawasagia mno waajiriwa kunguni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Chochote kinachotokea katika hii dunia ni ishara ya kukumbusha kitu fulani, usiposhtuka mapema ndio hivyo tena, utajikuta unakuwa omba omba.
 
Mshahara MADARAJA mapya si huwa Julai?
Kuna Afisa wa Kitengo kaniambia Kuna mishahara inabadilika mwezi huu,madaraja haya pesa ilikuwepo kwenye bajeti ya 2022/2023

Mfano hapa Tanganyika kati ya majina ya ule mkeka,watu 20 mishahara inabadilika mwezi huu
 
Naona kimya kama hakuna lilolo tokea vile

Mikwala ya kulipa mshahara tarehe 19 Leo hadi 23 kimya tu

USSR
Ule mgomo wa kkoo subiria kibubu kijae kwanza tumepoteza hela nyingi sana
 
A Father

Miye ni mojawapo nimepanda mwaka huu,na barua yangu inasema nimeshapanda kuanzia 1/5/2023

Ninachosubiri ni mabadiliko hayo ya reflect kwenye mshahara wangu
barua siku hizi zinatolewa baada ya kuingia mabadliko ya mshahara ili kutokuwepo kwa madai na inajulikana hvyo iweje wewe upewe barua kabla
 
Back
Top Bottom