Mbona tangu juzi tar 21 watu hadi wamesha sahau hiyo habar.Naona kimya kama hakuna lilolo tokea vile
Mikwala ya kulipa mshahara tarehe 19 Leo hadi 23 kimya tu
USSR
Hapa Bagamoyo nimeona Walimu wamepanga foleni ndefu sana pale NMBSioni kitu kabisa ,tatizo nini au makusanyo au mwigulu kazi imemshinda
USSR
Labda foleni ya madumuHapa Bagamoyo nimeona Walimu wamepanga foleni ndefu sana pale NMB
Hakika sio kawaida naona mwigulu kazi imemshindaMpunga hamna kwa kweli but naiamini serikali leo itarusba sms kutujuza ili wadeni wetu watuvumilie
Sent from my SM-G977B using JamiiForums mobile app
normally wanalipaga tarehe 22 , sasa iliangukia jtatu. Subiri leo au kesho. This week utapata to be on the safe sideNaona kimya kama hakuna lilolo tokea vile
Mikwala ya kulipa mshahara tarehe 19 Leo hadi 23 kimya tu
USSR
Kwani mwisho wa Mwezi ni liniNaona kimya kama hakuna lilolo tokea vile
Mikwala ya kulipa mshahara tarehe 19 Leo hadi 23 kimya tu
USSR