Russia is not your enemy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2023
- 373
- 629
Ninahisi Kuna waliopata promotionNaona kimya kama hakuna lilolo tokea vile
Mikwala ya kulipa mshahara tarehe 19 Leo hadi 23 kimya tu
USSR
Ninahisi Kuna waliopata promotionNaona kimya kama hakuna lilolo tokea vile
Mikwala ya kulipa mshahara tarehe 19 Leo hadi 23 kimya tu
USSR
Huyo Mzaramo kwao hamna "M" ni "N" kwenda mbele.Nshahara sahihi mshahara huko vyuoni mlijifunza ujinga?
[emoji23]Njaa za wapi Hizi,
Mbona tar 30 bado sn mkuu?[emoji4]
Promotions hazina uhusiano wowote na kuchelewa kwa mishahara,maana payroll Mwisho wa ku run ni tarehe 15 ya kila mweziNinahisi Kuna waliopata promotion
Kuna koona mitaani. Ndugu wataanza kuzipigania kama mpira wa konaHuu ndio itakuwa mshahara wangu wa Mwisho kutumia,from next months mshahara utaakaa kwenye account mpaka nitakapo staafu
Mkopeshaji huyo,Yuko kazini anachunguza Kama mshahara umetoka kweli aanze kuwakaba wadeni wake!!Mkuu unaipondaga serikali na bado unaivizia ikupe mshahara
Kwako pekee?Mshahara tayari
Kwani mwezi umeisha? Mshahara ni tarehe 25. Kulipwa kabla ni kimbelembele cha wanasiasa.Naona kimya kama hakuna lilolo tokea vile
Mikwala ya kulipa mshahara tarehe 19 Leo hadi 23 kimya tu
USSR
Yeah this mouth Kuna areas zimelipwa nyingi tu na wale wa madaraja baadhi wamepanda kwa wingi tuNinahisi Kuna waliopata promotion
Hujitambui na huna kumbukumbu.Magu kwa miaka mitano na nusu hakuwahi kuchelewesha mishahara ya wafanyakazi hata siku moja. Baniani mbaya kiatu chake dawa
Upate 2M+ per month uje ulielie humu JF? Watu wa zigo kama hizo hata hatujuagi salary imeingia lini?Milioni mbili + unasave nini kichaa wewe
USSR
Kweli jomba?Salary ooooo, where are you?[emoji44][emoji44][emoji44]