Serikali iingilie kati Wizi unaofanyika kwenye Kumbi za Sherehe. Ni Wizi Mkubwa sana.....

AC,, free internet...full parking n security..

Unataka nini tena!?. Mavinywaji hayo utakunywa kwenu.
 
Hizi bei na kulazimisha ukichukua Ukumbi wao lazima utumie chakula,vinywaji na mapambo yao.

Huu ni wizi. Bei wanazoweka kwa mambo hayo ni kubwa sana kwa makusudi kwa kujua huna namna isipokuwa kufuata wanachotaka. Wanatengeneza faida kubwa sana kiwizi.

Huu ni Ukumbi mmoja upo Tabata nmekutana nao wakati nikitafuta Ukumbi kwa ajili ya sherehe ya ndoa.

View attachment 2026073
Hivi nani kaweka Sheria za kwenda kwenye kumbi?
 
Hizi bei na kulazimisha ukichukua Ukumbi wao lazima utumie chakula,vinywaji na mapambo yao.

Huu ni wizi. Bei wanazoweka kwa mambo hayo ni kubwa sana kwa makusudi kwa kujua huna namna isipokuwa kufuata wanachotaka. Wanatengeneza faida kubwa sana kiwizi.

Huu ni Ukumbi mmoja upo Tabata nmekutana nao wakati nikitafuta Ukumbi kwa ajili ya sherehe ya ndoa.

View attachment 2026073
kwani umelazimishwa kuchukua huu ukumbi mkuu?? jikune pale mkono wako unapofikia tafuta ukumbi wa size ya bajeti yako kama huu una maumivu katika bajeti yako..
 
Regulations zipo kwenye mazingira/usafi na usalama wa ukumbi. Bei kila mtu apange atakavyoona inafaa, ukiona huwezi tafuta ukumbi mwingine au fanyia sherehe nyumbani kwako.Kwenye soko huria nguvu za soko"market forces" ndizo zinaamua bei.
Sasa soko ka ni huria kwanini unilazimishe kunipangia, Mimi nataka ukumbi tu misosi na mapambo yangu why uforce, huo ukumbi wa tabata nimewahi hudhuria wanataka wafanye kila kitu, Hadi vyakula vyao vibaya watu wanaugua so usitetee kitu ka hicho, Matokeo sisi waalikwa hatujui tunadhurika huko.
 
Tafuta ukumbi ambao wanakodisha ila unaweza kuja na misosi na mapambo yako, kama haipo kabisa fanyia sherehe nyumbani au shambani kwako.
Wewe ndo unalazimisha mtu aliye plan biashara yake itakavyoendeshwa afanye kama unavyotaka.

Shida nimealikwa Mimi mgeni sijui a, b,c, ya maujinga Yao hayo ndio haki nipate mateso haya, the matter is not finding a certain ukumbi, issue ni service ya kuoleweka regardless ya kumbi nyingi maana huwezi.
N. B naona napoteza mda kwa mjinga asiye jua service
 
Huyo mtu wa tabata ningemshauri ajiongeze, faida anayopata kwa vyakula na mapambo ahamishie kwenye bei ya kukodi ukumbi pale ambapo watu wanataka ukumbi tu ila vyakula na mapambo ni vyao.

Siendi shughuli za tabata kamwe, huko kuko kushoto na Bora mleta mada yalimkuta huko.
 
Wewe unaonyesha ni mtu unayejua na kupenda service nzuri ila mjinga usiyejua biashara na kanuni za uchumi wa soko huria.
Shida nimealikwa Mimi mgeni sijui a, b,c, ya maujinga Yao hayo ndio haki nipate mateso haya, the matter is not finding a certain ukumbi, issue ni service ya kuoleweka regardless ya kumbi nyingi maana huwezi.
N. B naona napoteza mda kwa mjinga asiye jua service
 
Wewe unaonyesha ni mtu unayejua na kupenda service nzuri ila mjinga usiyejua biashara na kanuni za uchumi wa soko huria.
Wewe ndio huelewi kwa walio humu nawashauri kumbi za tabata hazifai huduma, hafu kuko mbali plus foleni upambaji zero kabisa sijui Kwa vile ni pembezoni huko
 
Sasa soko ka ni huria kwanini unilazimishe kunipangia, Mimi nataka ukumbi tu misosi na mapambo yangu why uforce, huo ukumbi wa tabata nimewahi hudhuria wanataka wafanye kila kitu, Hadi vyakula vyao vibaya watu wanaugua so usitetee kitu ka hicho, Matokeo sisi waalikwa hatujui tunadhurika huko.

Ni lazima ukodi huo ukumbi unaousema wa tabata? Why usiende kumbi zingine?

Huo ukumbi umeweka masharti yake. Kama mtu yanakukwaza. Unaachana nao unaenda kodi kwingine..
 
Sijakodi nimehudhiria ka mwalikwa and I noticed it, mie nimezoea kumbi classic ka akemi, primerose, na nyinginezo nzuri tofauti na huko tabata na athari za vitu vyao ku force kufanya kila kitu na madhara yake.
N. B mbona point yangu Iko clear na watu mna force sijui Kodi kumbi nyingine why force eeh
 
Back
Top Bottom