Serikali ibadili tozo za miamala kuwa walau Tshs. 500 kwa muamala

Halafu inawezekana kweli kama gharama za miamala zikiwa chini sana watu watatumia sana hizi huduma za mobile money na hivyo lengo la hayo matrion kutimia bila kuwakamua wadanganyika
 
Kuweka tozo 7,250/- kwenye mwamala wa elf 50 ni uzwazwa uliopita kiwango chenyewe cha uzwazwa...
 
Back
Top Bottom