Serikali hoi kifedha, Sasa kukopa...

"Kama serikali haina hela za kutosha kwa nini wasiagize makampuni ya kutengeneza pesa watuchapie noti za elfu 10, 10 nyingi na kwa haraka ili kuziba fedheha hii........."

hahahaha unadhazi hizo hela zinachapwa bure...............
 

Unaumwa na ugonjwa wa mazombie yaani nahisi umebeba dafu badala ya ubongo
 
Faiza foxy sikujuwa kuwa ni kilaza kiasi hiki dah POLE sana

Anadhani kwa kumtetea jk kwa nguvu hivi anaweza kuwa PMd na watu wa usalama ajitambulishe ili mkulu amteue mbunge wa kuteuliwa, lina akili mbaya sana hili limama
 
sasa Pasco ongeza ufahamu wako kidogo nchi siyo kama familia yako ili nchi iende lazima uwe na hela ya maendeleo na matumizi vinginevyo lazima utayumba km taifa kwa sababu lazima utachota tu hiyo ya matumizi ufanye maendeleo mfano bara bara, mdaraja lazima yapitike wakati wote.
 

Bado nguvu zangu zote hujaziona, hapa natetea ukweli siitetei Serikali, wala Kikwete, Kikwete akikosea nampa za uso na wewe ukisema uongo nakupa za uso.

Nilikutukana wapi ewe punguani?

Chuki zako kwa CCM na Serikali sababu ni FF? huo kama si ujuha ni nini?
 

Mbona hurudi basi ukashuhudia uzuri wa huyo jamaa yako we uko nje tu.
 

Wewe wacha kuhororoja na kubwabwaja dua ya kuku hampati mwewe. Usitake niseme mengi hapa kuhusu Nyerere, si jukwaa lake hili.

Leta ya yeyote umtakae katika marais waliopita tulinganishe na ya Kikwete, tena nakwambia, wachanganye wote pamoja.

Anza, la kwanza. Usije na kuhorororja na kuparaganyosha mambo, anza na moja tulijadili kisha tuhamie la pili mpaka utakapokimbia. Nnakuhakikishia hautokuwa hata na moja.
 
mwanzo nilijua wewe ni dada laaa aisee kumbe ni bibi

Mimi nimezaliwa kabla hii nchi haijapata Uhuru. Kumbuka hilo, Nyerere bado alikuwa anavaa kaptura na mimi mwenyewe nimeshamuuzia Nyerere sigereti dukani kwetu, nakumbuka zilikuwa sigara karata, ubavu na ubavu na ilipo sasa Makao Makuu ya Mkoa ya CCM.
 
Akiri huna mfanyakazi wa serikali ni robot yaani hana likizo wala mapumziko au haumwi muda wote dakika zoteee anafanya kazi even kahaba anayejiuza anapata muda wa kuingia jf sio muda wotee anachezea tuuuu. Mwone kwanza
 
Sasa ndo umeandika nini?badala ya kujibu nilichokuuliza unanitukana.hapo kwenye red ndiyo lugha yetu huko ccm?
 
Kwa kweli kuna tatizo kubwa sana. Watumishi wachache walipoona udhaifu wa uongozi wa nchi hii, fedha ya Serikali inayokusanywa kwa asilimia kubwa zinaingia mifukoni mwao na hivyo fedha zinazoingia Hazina ni kidogo sana. Pili, hakuna priority kwenye fedha zinazoingia Hazina. Bajeti ya Serikali haifuatwi kabisa. Kuna dharura za kila leo na hivyo bajeti haitekelezeki. Sasa hivi ukienda kwenye ngazi za chini ambako ndiyo kuna watu hakuna kinachofanyika. Miradi yote iliyopangiwa fedha na kupitishwa hakuna utekelezaji hata kidogo. Nimeenda kwenye Halmashauri fulani, watumishi waliofika kazini ni asilimia ishirini tu nikawauliza kulikoni na wakaeleza kuwa wanakuja kufanya nini kama hakuna nyenzo za kufanyia kazi. Mfano hakuna mafuta ya kwenda vijijini, hakuna vifaa vya ofisinin vya kufanyia kazi kama makaratasi, wino, hakuna hata fedha za kununulila luku. Everything is in shambles. Mhe. Kikwete tulikupenda sana lakini kwa kweli umetuangusha.
 
Basi ulipaswa kusema "wawaache" na si wawache.

Acha ubishi!

Wawache na wawaache ni vitu viwili tofauti. Fikiri.

Ngoja nikupe darsa kidogo:

Wawache = uko peke yako, wako wengi nakwambia wawache.
Waache = wao wako wengi unawaambia waache wanachokifanya.
Wawaache = wao wako wengi unawaambia wawaache wengine (zaidi ya mmoja).
 
Mimi nimezaliwa kabla hii nchi haijapata Uhuru. Kumbuka hilo, Nyerere bado alikuwa anavaa kaptura na mimi mwenyewe nimeshamuuzia Nyerere sigereti dukani kwetu, nakumbuka zilikuwa sigara karata, ubavu na ubavu na ilipo sasa Makao Makuu ya Mkoa ya CCM.

hapo hapana, kwenye unga wa yanga naweza kukubali ingawa ulipewa story na mama au bibi yako kwamba miaka ya 70 kuna uhaba wa chakula ulijitokeza hadi kuletwa huo unga, pia kulitokea uhaba mkubwa sana wa nguo zikaletwa nguo flani kwa ajili ya kina mama ziliitwa kamanyora huku kwetu yaani zina muonekano kama mawingu flani hivi, zijui huko kwenu mliziitaje. Faiza
 
Sasa ndo umeandika nini?badala ya kujibu nilichokuuliza unanitukana.hapo kwenye red ndiyo lugha yetu huko ccm?

Hayo si matusi, hizo ni sifa.

Matusi ungeuliza? jaribu kuyaandika matusi, hayaandikiki humu.
 

Nilijiapiza nikae kimya ila kwa upumbavu navunja kiapo changu. Wakati wa Nyerere tulikuwa na shida lakini nchi haikuwahi kuwa na madeni makubwa kiasi hiki. Deni lilikuwepo wakati wa nyerere lilitokana na vita vya kagera. Mwinyi alipooingia aliingiza nchi kwenye madeni makubwa sana kama mdogo JK alivyofanya aliuza nchi kwa matapeli, Loliondo, Chavda nk. Mkapa alipoingia madaraka aliujenga uchumi ambao huyu prof wa kichina kausambaratisha. Mkapa alijitahidi sana kulipa madeni. Huyu jamaa ni kukopa na kutalii. Lakini waswahili wanavyoishi.
 
unafundisha shule gani nje ya JF maana kwa kiswahili uko vizuri
 
Achana na Juha huyo hajui chochote kazi yake kushabikia upuuzi wowote wa unaofanywa na CCM, ukiacha wanafunzi kutokupata loan, huyo Juha aulize OC zimepelekwa lini kwenye wizara au idara za serikali?

Unadhani anajua OCs ni nini huyo. Anachojua ni 20,000/= wanayolipwa ili kutetea mafisadi mtandaoni.
 
Professionalism is your biggest problem-Ndiyo maana unachanganya mambo yenu ya kitandani na utawala wa nchi.Hivyo ni vitu viwili tofauti sana Shemeji yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…