Prof Chinchi
Member
- May 6, 2014
- 7
- 2
Mie natamani hali ya serikali, na wananchi izidi kuwa ngumu na mbaya [kwa nia njema] ili ifike mahali tujue umuhimu wa kutowachekea viongozi na watendaji wapuuzi. Kwa upuuzi unaofanywa sasa nhivi ni nguvu ya wananchi pekee ndo inayoweza kutoa ujumbe kwa viongozi kuwa tukiamua wao na familia zao hawabaki salama. Kitu kibaya, mijitu mingine hawajatambua hilo hivyo wacha tule shida wote mpaka akili itukae vizuri.
Very true, lazima watu waelewe kuwa mabadiliko ni lazima ili kuleta ufanisi wa serikali na maendeleo ya mmoja mmoja na taifa kwa jumla..... Na hakuna namna nyingine ambayo ni practical itakayowaelewesha watu ila ni kwa kuiface hali ngumu sana ambayi imezalishwa na serikali iliopo. Mi nadhani wacha maisha yawe taiti