Serikali hoi kifedha, Sasa kukopa...

Serikali hoi kifedha, Sasa kukopa...

kuwa na Rais kama huyu asiye fikiri wala kuwaza ni mzigo mzito sanasana kwa nchi,kuna wale wapumbavu wote wanashabikia ccm wafumbua macho waone ccm ilipotufikisha.kikwete ana mambo ya kijingajinga,mzahamzaha,utotoutoto tu,haiwezekani hali ya nchi iko hiv yy anachekecheka tu kama bulicheka,Rais gani anakuwa hana nia njema kwa TAIFA,huyu Rais ni mtunza wezi,Wahisani waendelee hivyo hivyo na wasilete fedha ili Majinga,mazoba na mazuzu yote yapate akili.Alafu eti ndani ya ccm kuna watu kama akina Lowasa wanataka urais na wanadhani wananchi ni wajinga kama wao.wakati wa CCM KUZIKWA UMEFIKA NA LAZIMA IZIKWE.Watatutambua Mbwa washenzi hawa.
 
Naamini hata Mh Rais ameshajua kuwa Watz wamemchoka,na yeye Bila shaka hii Hali inamnyima raha Ila Ndio afanye nini kwani mashambulizi toka kwa raia na msingi mbovu wa utawala aliouweka unamfanya ashindwe kujua pa kuanzia,ninachoomba Watz wezangu hata kama tunataka hii chama iparanganyike lkn tumuombee Mh Rais amalize salama na asije kufanya maamuzI ya ajabu zaidi na kuligharimu Taifa kwani hasara itakuwa yetu sote.......

mkuu sifongo nimekuelewa sana.. hii ndio akili.. hata kama hatumpendi tumuombee amalize arudi msoga ili tuanze upya vzur..
 
eeh life liwe tight hadi wale ambao bado wanaichekea ccm wastuke....yan kuna raia wanaudhi aisee na uozo woooote bado anaenda kuipigia kura
 
Back
Top Bottom