Serikali hoi kifedha, Sasa kukopa...

Serikali hoi kifedha, Sasa kukopa...

Kiswahili wewe hukijuwi.

Tena hao Waarabu ndiyo wenye asilimia zaidi ya 60 kwa sasa kwenye Kiswahili, zamani ilikuwa zaidi ya 70.

Wacheni uongo kuhusu nchi kuwa imefilisika, ingefilisika mngekwenda kula krismassi na bibi na babu zenu? thubutu.

Huyu dada tunaambiwa ndio msomi maana MADARASA zote Kapitia na Pia Kaswida.Ni msomi wa Mlengo fulani anayekiri kuwahi kuikosoa serikali ya JK kwa mambo mawili tu na mengine yote anasema ni safi;

Kwa nini walimtia nguvuni Shehe Issa Ponda baada ya kuvamia viwanja vile na kuamasisha fujo???;

na Pili aliilaumu serikali ya JK kwa nini Shehe aliyefanya makosa Zanzibar aliletwa bara mahabusu na kujibu mashitaka yake kwenye mahakama za bara??

Hapo utaona huyu bibi ni mtu wa aina gani hapa kwenye Jukwaa nhili.....Kwa ujumla wengi wa wasomaji tunapata shida sana kumwelewa huyu bibi.
 
  • Thanks
Reactions: OR7
Kuna taarifa kutoka serkalini kuwa serikali ipo hoi kifedha na imewasimamisha wakandarasi wote waliokuwa wanangojea fedha ili waendelee na kazi na wale wote waliokuwa site wakiendelea na kazi ili kukwepa riba, hivyo serikali ipo kwenye mazungumzo na bank ya CRDB ili kukopa Bilioni 900 Tshs. Vile vile mishahara kwa watumishi wake imekuwa tabu sana hivyo serikali kulazimika kukopa pesa toka mabank mbali mbali nchini ikiwemo NMB ili kulipa mishahara.

Athari za Acc. ya Escrow ya TEGETA ni kubwa sana kuliko RAIS alivyolidanganya TAIFA kuwa athari zake si kubwa.
Asante kwa taarifa mkuu , wito wangu kwa watumishi wa umma ni wakati sasa wa kila mmoja wetu kuwa na kijibustani cha mboga mto msimbazi ili kupunguza ukali wa maisha , maana iko siku hata hizo benki zitakufa tu kama walivyoua mifuko ya wafanyakazi .
 
kikwete ama kwa hakika ni janga la taifa,analiumiza taifa akitafuta fedha za kutumia marekani '-utawala'wake ukikoma
 
Wawache na wawaache ni vitu viwili tofauti. Fikiri.

Ngoja nikupe darsa kidogo:

Wawache = uko peke yako, wako wengi nakwambia wawache.
Waache = wao wako wengi unawaambia waache wanachokifanya.
Wawaache = wao wako wengi unawaambia wawaache wengine (zaidi ya mmoja).

Ndugu endelea kutetea huyo jk wako... unajua anachokupa huku kwenye lugha hapakufai usichezee fani za watu.
 
Hapo hata wewe umepata darsa ya hayo maneno matatu tofauti ambayo nna uhakika hata wewe ulikuwa hujuwi yanavyotumika, kama yule mwenzio aliyekuwa anabishana hovyo.
 
Huyu dada tunaambiwa ndio msomi maana MADARASA zote Kapitia na Pia Kaswida.Ni msomi wa Mlengo fulani anayekiri kuwahi kuikosoa serikali ya JK kwa mambo mawili tu na mengine yote anasema ni safi;

Kwa nini walimtia nguvuni Shehe Issa Ponda baada ya kuvamia viwanja vile na kuamasisha fujo???;

na Pili aliilaumu serikali ya JK kwa nini Shehe aliyefanya makosa Zanzibar aliletwa bara mahabusu na kujibu mashitaka yake kwenye mahakama za bara??

Hapo utaona huyu bibi ni mtu wa aina gani hapa kwenye Jukwaa nhili.....Kwa ujumla wengi wa wasomaji tunapata shida sana kumwelewa huyu bibi.

Wala usipate shida kunielewa, mapenzi yangu kwanza kwa Uislam.

Mengine yote yanafatia hilo.
 
Kwa hiyo hata kama Muislamu (Kikwete) anafilisi nchi wewe utatetea tu kwa sababu ya Uislamu. Sasa nimekuelewa.
 
Al-shabaab & Boko Haram;Dizain, we'need not to waste our valuable time everything is clear, yeye yupo hapa kutetea dini yake na udini. Hapo Javini wengine hatuangalii ni Mkristo au Islam kakosea, si ni kupinga na kukemea uozo wote regardless umefanywa na nani.
 
Sijaona wapi Kikwete amefilisi, naona Kikwete kaipaisha hii nchi kwenye uchumi kuliko Rais yeyote wa kabla yake. Na mi gas aliyoipigania mpaka wakakubali wawekezaji wakubwa kuja kuwekeza kwenye utafiti itazidi kuipaisha Tanzania kuliko wakati wowote ule.

Tutamkumbuka daima kwa kuifunguwa Tanzania hii kwa kuivunjavunja misingi mibovu ya ujamaa aliyoiweka Nyerere. Na kuweka misingi mipya ya uchumi ambayo kupaa kiuchumi ni lazima tena kama rocket.
 
Uozo zaidi ya ule wa ufipa?
 
Very poor and a lyman arguement.Kuna Sababu gani ya Kuwatafuta wawekezaji mwisho wa siku unashindwa kumanage resources zako na kutoa kama Sadaka,na kubakia kuhemea misaada ya wafadhili kwa lengo la kuja Kujichotea. Kuna haja gani kama utawaleta wawekezaji matapeli na mwisho wa siku system yako inashirikiana nao Kukwapua hata kidogo walichokirudisha. Shame on you lady for not properly reasoning...
 
civil servants mmelipwa mishahara?au X-mas ilikuwa bila bila?
 
Hukopeshwi kama huwezi kulipa. Hili kumbuka. Ukiona unakopesheka sana ujuwe na uchumi wako ni mzuri sana.

Hata USA wanakopa.

Hicho ki.ne.mb mama kinapunguza sana ufahamu wako! Fanya hara hara uende Tarime hata ukubwani inawezekana!
 
Uhoi kifedha unaujuwa wewe? muulize Mzee Ali Hassan Mwinyi, au ziwachieni hotuba zake za awali alivyolalamika kwenye hotuba yake ya mikuki miwili, jinsi alivyoachiwa hii nchi na Nyerere.

Senti mbovu ya nje hakuna benki. Mafuta hakuna. Magari hayatembei. Cha kukila hakuna, frame za maduka panya tu na mende wanakimbizana, huko ndiyo ilikuwa kufilisika.

Leo mna neema, mnakwenda kuchaguwa mnunuwe unga gani wa kupika, mchele gani wa kula Krismasi, Beer gani ya kunywa.

Ilipokuwa nchi hii imefilisika wakati wa Nyerere mngeweza hayo?

Wacheni uongo.
Tatizo lako unatulinganishe sie na kizazi chako cha ukoloni na kile cha ujamaa na kujitegemea. Sie sio kizazi hicho bibi FaizaFoxy, sie ni kizazi tofauti, hatuwazi kula na kulala tu kama mlivyokuwa mnawaza enzi zenu, sie tunawaza maendeleo ya jumla ya Tz, tunawaza future ya nchi ndio maana tunaona serikali iko hoi kwasasa maana kila development project kwa sasa tunaona zimesimama, hatuwezi kukaa kimya kama nyie ambao hata nchi ilipokuwa hoi bado mlikuwa mnaimba zidumu fikra za mwenyekiti.
 
Future tuliwawazia sisi na wazee wetu wakamchaguwa Nyerere kuwa ndiye msomi wa kutumainiwa na sisi tukashangilia sana tukajuwa huyu msomi atatukomboa kiukweli, kumbe ni msomi lakini hajaelimika, akatutowa kwenye neema akatutumbukiza kwenye lindi la umasikini duniani, tukawa masikini wa mwisho.

Awamu hii tukapata kijana mtanashati, mwenye haiba na tabasamu na tukasema aah, haya si ndiyo yale yale ya Nyerere! dah! kumbe tulikuwa wrong, kijana huyu wa sasa kafanya mema kweli kweli bila kuchoka, kwa miaka 9 katutowa kwenye umasikini wa kutupwa, katuongezea umri wa kutegemea kuishi, katufunguwa macho na masikio katufanya tuweze kuongea bila uoga, katuonesha nini demokrasia, kafunga mpaka mawaziri wasio waaminifu.

Huyu ndiye ilikuwa tumpate mwanzoni. Lakini ni mipango ya Mwenyeezi Mungu.
 
Kuna taarifa kutoka serkalini kuwa serikali ipo hoi kifedha na imewasimamisha wakandarasi wote waliokuwa wanangojea fedha ili waendelee na kazi na wale wote waliokuwa site wakiendelea na kazi ili kukwepa riba, hivyo serikali ipo kwenye mazungumzo na bank ya CRDB ili kukopa Bilioni 900 Tshs. Vile vile mishahara kwa watumishi wake imekuwa tabu sana hivyo serikali kulazimika kukopa pesa toka mabank mbali mbali nchini ikiwemo NMB ili kulipa mishahara.

Athari za Acc. ya Escrow ya TEGETA ni kubwa sana kuliko RAIS alivyolidanganya TAIFA kuwa athari zake si kubwa.

Ile kauli ya lukuvi kuwa jeshi litachukua nchi, iko njiani kutekelezeka kwa kukosa mishahara
 
Sijaona wapi Kikwete amefilisi, naona Kikwete kaipaisha hii nchi kwenye uchumi kuliko Rais yeyote wa kabla yake. Na mi gas aliyoipigania mpaka wakakubali wawekezaji wakubwa kuja kuwekeza kwenye utafiti itazidi kuipaisha Tanzania kuliko wakati wowote ule.

Tutamkumbuka daima kwa kuifunguwa Tanzania hii kwa kuivunjavunja misingi mibovu ya ujamaa aliyoiweka Nyerere. Na kuweka misingi mipya ya uchumi ambayo kupaa kiuchumi ni lazima tena kama rocket.
Aha! Hujaona kwa sababu unachoona ni Uislamu kwanza. Tanzania imefilisika. Serikali haina fedha za kulipa makandarasi, pekua pekua humu JF utakutana na taarifa hiyo. Serikali imo mbioni kukopa hela kutoka commercial banks ili kuendesha shughuli zake. Hata hiyo gesi unayosema itakuwa kama dhahabu tu. Tunaisikia kwenye mabuku lakini faida yake haionekani. Lakini umeshasema unachoona kwanza ni Uislamu kwa hiyo napoteza muda wangu bure kujibizana na wewe. Kikwete ni janga la taifa na Watanzania tusifanye tena kosa la kumpa uongozi wa nchi mtu mwenye tabia za Kiswahili swahili (samahani lakini ndio ukweli huo.)
 
Huna lolote wewe sio bibi usituzuge kwenda zako we fanya yako u just a fox
 
Future tuliwawazia sisi na wazee wetu wakamchaguwa Nyerere kuwa ndiye msomi wa kutumainiwa na sisi tukashangilia sana tukajuwa huyu msomi atatukomboa kiukweli, kumbe ni msomi lakini hajaelimika, akatutowa kwenye neema akatutumbukiza kwenye lindi la umasikini duniani, tukawa masikini wa mwisho.

Awamu hii tukapata kijana mtanashati, mwenye haiba na tabasamu na tukasema aah, haya si ndiyo yale yale ya Nyerere! dah! kumbe tulikuwa wrong, kijana huyu wa sasa kafanya mema kweli kweli bila kuchoka, kwa miaka 9 katutowa kwenye umasikini wa kutupwa, katuongezea umri wa kutegemea kuishi, katufunguwa macho na masikio katufanya tuweze kuongea bila uoga, katuonesha nini demokrasia, kafunga mpaka mawaziri wasio waaminifu.

Huyu ndiye ilikuwa tumpate mwanzoni. Lakini ni mipango ya Mwenyeezi Mungu.
Soma hii hapa Bibie:

  • Senior MemberArray

    Join Date : 30th October 2014
    Posts : 133
    Rep Power : 335
    Likes Received32
    Likes Given11

    [h=2]
    icon1.png
    Serikali hoi kifedha, Sasa kukopa...[/h]
    Kuna taarifa kutoka serkalini kuwa serikali ipo hoi kifedha na imewasimamisha wakandarasi wote waliokuwa wanangojea fedha ili waendelee na kazi na wale wote waliokuwa site wakiendelea na kazi ili kukwepa riba, hivyo serikali ipo kwenye mazungumzo na bank ya CRDB ili kukopa Bilioni 900 Tshs. Vile vile mishahara kwa watumishi wake imekuwa tabu sana hivyo serikali kulazimika kukopa pesa toka mabank mbali mbali nchini ikiwemo NMB ili kulipa mishahara.

    Athari za Acc. ya Escrow ya TEGETA ni kubwa sana kuliko RAIS alivyolidanganya TAIFA kuwa athari zake si kubwa.​

    Pasco, Kibona, afrodenzi and 7 others like this.

    Send PM

  • user-online.png
    Mdakuzi

    Yesterday 22:10
    #2
    JF Senior Expert MemberArray

    Join Date : 6th April 2012
    Location : Dar es Salaam
    Posts : 2,159
    Rep Power : 874
    Likes Received1201
    Likes Given1526

    [h=2]
    icon1.png
    Re: Serikali hoi kifedha, Sasa kukopa...[/h]
    Ni kweli, haya Wabunge hawajalipwa mishahara yao na posho za Bunge lililopo ya nadhani. Kuna rafiki yangu kachukua tenda ya kuweka kifusi kwenye barabara maeneo Mbagala mpaka leo anapigwa Kiswahili tu.
    Benno Ndulu alionya kuwa hutolewaji wa pesa zilizokuwa kwenye akaunti ya Escrow kunaweza kuyumbisha uchumi wetu, lakini majizi hayakutaka kumsikiliza yakalazimisha pesa zitoke na kugawana haraka haraka.
    Hali mbaya kweli, kama hakutakuwa na chochote kuna hatari mishahara ya walimu na Polisi ikaanza kupigwa kalenda.
    Ova​

Back
Top Bottom