Serikali hoi kifedha, Sasa kukopa...

Serikali hoi kifedha, Sasa kukopa...

Nashindwa kuelewa. Naomba wajuzi wa haya mambo wanieleweshe zaidi.

Hivi hizo pesa kenye akounti ya escrow zinasababishaje nchi kwenda mrama.?

je hata kama zisingechotwa...zingekuwepo bado, ingehalalisha kutolewa kwake ili zije kuziba haya mapungufu??



Mkuu, kwanza ujue kuwa Mwaka huu bili ya umeme ilipanda kwa mwezi hivyo Unit moja unajua ni sh. ngapi?

Pesa zilizoibwa ni za bili ya umeme tunazolipa kila mwezi na kodi zetu tunazokatwa kila sekunde unaponunua kitu chochote hizi kodi ndizo pesa ambazo serikali iliisadia TANESCO kama ruzuku ili iweze kulipa deni lake.

Athari kiuchumi ni kubwa mno.
 
Huyu Jakaya hajui kuwa Historia itamkumbuka kama Rais Bogus kuwahi kutokea Tanzania.
Anachojua ni kutetea mafisadi na kututangazia kuwa anaumwa Busha ili tumuonee Huruma.
Hataki kuwajibika wala kusimamia uwajibikaji wa walio chini yake, siku ziku zote hakosi visingizio.

8888Kabisa...!

Mwinyi na JK cjui nani ana uafadhali.
 
Sisi watanzania ndo tuna matatizo makubwa kiongozi mburula kama huyu ilibidi awe ameshaondolewa mapema sana mpaka sasa.

Rais mp.u.m.b.a.v.u kaa nini? Sijui watanzania tumelogwa na kitu gani inaumiza sana

Mtakuja na kila uongo, mamburula wako ufipa, na nyini misukule saa hizi mpo tu.

Hako kabandiko ka fesibuku ka mwaka juzi tunakajuwa na tunajuwa alichokaandika ni nani, hatudanganyiki.

Mmekosa nyimbo mnarudia zilipendwa? mwaka huu mmebanwa mbavu hamna pakutokea hata UKAWA imewapa pumzi tu lakini bado wote mahututi.
 
PASCO
Una habari kuwa budget iliyopitishwa mwaka huu bungeni haijaanza kutekelezwa kwa asilimia 90?
kinachofanyika sasa ni kwamba, kila pesa inayopatikana kama ilikuwa ifund mradi huu, inapelekwa ikafund mradi ule...hii ina maana kwamba kuzuiwa kwa fedha za wafadhili kumeparanganyisha mipango yote ya awali hivo kuvuruga kila kitu.
Kwenye kila budget zetu zote zina sehemu mbili, budget ya recurrent na budget ya development. Budget ya recurrent, ni budget ya matumizi ya kawaida, hii ni budget tunayojitegemea kutoka vyonzo vyetu vya ndani, na nakisi kwenye recurent, tunakopa!, fedha hizi hazijazuiliwa na wala hatujazuiwa na yeyote kukopa popote!. Umasikini wetu kwa kiasi kikubwa haswa deni la taifa kumetokana na hili, kutumia kuliko uwezo wetu wa kuzalisha!.

Kubwa zaidi ni pale sio tuu tunapotumia kuliko tulichozalisha bali ni pale tunapotumia kile ambacho hatukubudget kama dharura, alafu dharura yenyewe sio majanga kama natural disasters bali sherehe, kama yale maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru!, Tangu ile siku tunapata uhuru, ilijulikana kabisa miaka 50 itakuwa ni lini, lakini we did not budget!, tukaifanya ni dharura!, ni dharura kama hizi, ndizo zinaingilia recurrent na kuifanya kumegwa kwa matumaini itafidiwa baadae!. Hivyo kama ni kweli, wafanyakazi wamekosa mishahara this time, sababu inaweza kuwa ni ile dharura ya ugonjwa ambayo hii ni dharura kweli!.

Budget ya pili ndio ile development, hii ni fedha ambayo haipo, ila tunaibudget according to projections na commitments za nchi wafadhili kugharimia miradi ya maendeleo, na hii ndio tunawatemea zaidi nchi wahisani, wafadhili, mikopo na fedha za ndani. Kusitishwa kwa misaada kwa kiasi kikubwa kutaathiri hii miradi ya maendeleo!. Kwa vile na sisi tunachangia miradi hii kwa fedha zetu za ndani, in this case reallocation is inevitable na ni kitu cha kawaida, lakini siku zote fungu ambalo liko very safe serikalini, ni fedha za mishahara, fedha ambazo zinaweza zikakosekana ni zile za O/C (other charges) lakini sio mishahara!.

Bahati mbaya sina hata mtumishi mmoja wa umma, nimjuaye ambaye ningeweza kumuuliza!.

Pasco
 
Mtakuja na kila uongo, mamburula wako ufipa, na nyini misukule saa hizi mpo tu.

Hako kabandiko ka fesibuku ka mwaka juzi tunakajuwa na tunajuwa alichokaandika ni nani, hatudanganyiki.

Mmekosa nyimbo mnarudia zilipendwa? mwaka huu mmebanwa mbavu hamna pakutokea hata UKAWA imewapa pumzi tu lakini bado wote mahututi.

We bibi kizee mbona unatokwa na mapovu hivoo? Jamaa naona ana kugegeda sana hadi hujielewi upo wapi na utagegedwa sana na njaa zako hizo..
 
Nilizaliwa kabla ya huo uchawi wa Nyerere.

Na nimeishi wakati nchi hii ilipofilisika, najuwa kufisika nchi ni nini.

Leo mko nyuma ya keyboard zenu, umeme mnao, mmeshiba mnajambajamaba hivyo.

Hii nchi wakati wa Nyerere ilipokuwa imefilisika kiukweli, saa hizi mngekuwa kwenye foleni ya unga wa Yanga.

Mmekula unga wa Yanga nyinyi?
Pedagogist,hapo kwenye "wakati wa Nyerere ilipokuwa imefilisika kiukweli" ulikuwa unataka kusema nini maana hukumalizia.
 
Nashindwa kuelewa. Naomba wajuzi wa haya mambo wanieleweshe zaidi.

Hivi hizo pesa kenye akounti ya escrow zinasababishaje nchi kwenda mrama.?

je hata kama zisingechotwa...zingekuwepo bado, ingehalalisha kutolewa kwake ili zije kuziba haya mapungufu??

Zimesababisha kwa kuwa kwanza wahisani wamegoma kuchangia fedha za maendeleo ambazo huwa wanazitoa kwa us dollar au kwa fedha ya kigeni kwa hiyo so far kuna upungufu wa fedha za kigeni,pili ni kwamba zile fedha zilipotolewa escrow a/c seth alizibadilisha fasta kuwa dollar na kutokomea nazo nje ya nchi hivyo kusababisha upungufu wa dolari, na kingine cha mwisho ambacho hakihusiani na escrow ni kuwa tz tuna import sana kuliko ku export kwa hiyo hapo tuna exchange loss kubwa tu na pia tunatumia dola au foreign currency sana na ndiyo maana uchumi wetu kwa sasa umeyumba sana
 
Wewe pesa zilizowekwa escrow zilikuwa zako? kama una hamu nazo si weka mitambo ya kufuwa umeme na wewe uwe na zako. Unashindwa nini?

Wakati wa Nyerere ndiyo tulifilisika. Kwa hiyo tuliyokuwepo ukija na porojo za kijinga tunakukumbusha, kuwa sasa hivi upo kwenye neema. Unaweza hata kuingia JF ukabwabwaja kuhusu serikali uwezavyo hakuna hata kuulizwa.

Thubutu wakati wa Nyerere uyaweze hayo. huku una njaa ya kufa unaambiwa "kaza mkanda". Na huwezi kusema kwi.

Watu walikufa hovyo mahospitalini, vijijini ndiyo usiseme, vyakula hamna, mabarabara mabovu, kuhama huwezi. Elimu watu hawana, dhiki kila sehemu, halafu leo mtu yupo nyuma ya keyboard analeta ubi-show wa kusema ujinga humu.

Akili ndogo sana. Unalazimisha kulinganisha nyeupe na nyeusi. Kwa akili za Kikwete ndo angekuwa Rais wakati nchi inapata uhuru nadhani sasa tusingekuwa hata na nchi inayoitwa Tanzania.
 
sioni kama ni sahihi kufananisha kipindi cha mwl.nyerere na sasa. kipindi cha mwl. nyerere maliasili zetu zilikuwa hazijaanza tumika kwa kiasi kikubwa lkn sasa maliasili zina2mika mwanzo mwisho, kama serikali ya rais wako "KIWETE" ingekuwa makin na kuzisimamia hz mali za watz leo 2singekuwa dependant kwa kiac hiki kushindwa kulipa mishahara! ndo mana inafikia marais wengine wanataman wangepata bandar tu kila k2 kingeenda!

Mali asili ipi ilikuwa haijaanza kutumika?

Hiyo mali asili ungeichimba na njaa? ungeichimba wakati umehamishwa kwenu kwa nguvu na kutupwa porini, ukiliwa na simba haya, ukigongwa na nyoka haya.

Huko ndiyo ilikuwa kufilikisika, kweli kabisa hatulinganishi wakati huu wa neema na huo wa Nyerere. Lakini, mkija na uongo wa fedha hakuna mnatukumbusha dhiki tuliyokumbana nayo na inabidi tuwaambie.

Mumshukuru saa Mwenyeezi Mungu, leo mna Rais mwema hata ipotokea ukame alitangaza kuwa hafi mtu na njaa na kweli akafanya kila nia na njaa tukaisikia tu. Nyerere watu walipokuwa na njaa aliwaambia kazeni mikanda, hiyo ndiyo tofauti ya Nyerere na Kikwete.
 
Kwa speed hii tutawashinda Zibambwe.

Usisikie uongo wa hawa watu, Kikwete alipoamua apinge azimio la kutaifisha itambo ya IPTL ndiyo alikuwa ameepuka hilo lililowapata Zimbabwe.

Nyerere alitaifisha, matokeo? nchi ikawa masikini wa mwisho duniani, heri hata ya Zimbabwe.
 
Wewe ni mwandishi fanyeni uchunguzi muone ukweli ulivyo, ila ukweli ni kwamba serikali iko hoi kifedha ina madeni kuanzia kwa wafanyakazi kwa kudai ama posho wanazostahili mfano umeme, maji na simu na watoa huduma nao wanaidai serikali fedha kibao na wengine wametishia kusitisha huduma, magari nayo mengi yamepaki kwa kukosa mafuta.
Mkuu Suleym, kama tutafanya uchunguzi wa kila tuhuma zinazomwangwa humu, itabidi jf aiajiri kabisa investigative journalists 24/7.

Serikali kukopa ni jambo la kawaida, hata serikali tajiri kuliko zote duniani, serikali ya Marekani, huwa inakopa!, tena imekopa kutoka China!, wakati yenyewe ina mibenki mikubwa ajabu!. Sisi tunakopa kutoka benki zetu au mifuko ya hifadhi za jamii, hivyo we are better off than them.

Pasco.
 
Uhoi kifedha unaujuwa wewe? muulize Mzee Ali Hassan Mwinyi, au ziwachieni hotuba zake za awali alivyolalamika kwenye hotuba yake ya mikuki miwili, jinsi alivyoachiwa hii nchi na Nyerere.

Senti mbovu ya nje hakuna benki. Mafuta hakuna. Magari hayatembei. Cha kukila hakuna, frame za maduka panya tu na mende wanakimbizana, huko ndiyo ilikuwa kufilisika.

Leo mna neema, mnakwenda kuchaguwa mnunuwe unga gani wa kupika, mchele gani wa kula Krismasi, Beer gani ya kunywa.

Ilipokuwa nchi hii imefilisika wakati wa Nyerere mngeweza hayo?

Wacheni uongo.
wewe syo mzima! nchi ina hali mbaya wewe unasema kila kitu sawa tu,ngoja jk akiondoka madarakani tutakuona kama utakuwa na porojo gani tena humu jf
 
wewe syo mzima! nchi ina hali mbaya wewe unasema kila kitu sawa tu,ngoja jk akiondoka madarakani tutakuona kama utakuwa na porojo gani tena humu jf

Hiyo hali mbaya labda unayo wewe si nchi. Wakati hii nchi ilipokuwa na hali mbaya tulikuwepo. Wacha porojo.

Nchi ingekuwa na hali mbaya wewe ungeweza kuingia mtandaoni? hayo mafuta ya kukuwashia mitambo ya umeme ungeyatowa wapi? fikiri, wacha kulishwa uongo na wewe kama msukule unaamini tu.
 
kuiombea mabaya selikari ni kukata tawi ulilokalia. Ugumu wa maisha utarudi kwa wananchi ,pia chochote wanachofanya madhara yanarudi kwa wananchi,

*tujifunze na tutumie njia zote za kushinikiza mabadiliko, uwajibikaji ikiwezekana kuiondoa selikari ya ccm madarakani
'rejea kauli za viongozi ukawa'
#mafunzo na mazoezi ya ukakamavu na kujilinda, ambayo baadhi yetu tulishayapata jkt.
 
Akili ndogo sana. Unalazimisha kulinganisha nyeupe na nyeusi. Kwa akili za Kikwete ndo angekuwa Rais wakati nchi inapata uhuru nadhani sasa tusingekuwa hata na nchi inayoitwa Tanzania.

Nakwambia Kikwete angekuwa Rais wakati tunapata Uhuru, hii nchi saa hizi ingekuwa ni pepo aka mbinguni.

Yule mzee alitutoa toka nchi ya kwanza katika Afrika (alipopewa madaraka) kuuza mazao ya shambni nje mpaka kutufikisha nchi omba omba na masikini wa mwisho dunia. Alipotaifisha tu. Kwisha. Tukawa hohe hahe.

Leo mna neema ya uongozi wa Kikwete, mnaweza kuingia mtandaoni mkabwabwaja mnavyopenda , thubutu wakati wa Nyerere, TV yenyewe tulikuwa hatuna, wacha mtandao.
 
Pedagogist,hapo kwenye "wakati wa Nyerere ilipokuwa imefilisika kiukweli" ulikuwa unataka kusema nini maana hukumalizia.

Kumalizia nini tena na wewe? kama unaona sijamalizia utajaza mwenyewe.
 
Wewe unachekesha kwelikweli.watuchapishie pesa!hiyo itaishusha thamani ya pesa yetu tsh na kusababisha mfumuko wa bei kwa ujumla(inflation)!unalitaka hilo?unataka kubeba kiroba cha tsh kwenda kununua mkate au daftari la mtt wako?..serikali hii haifai..inatupeleka pabaya jamani..tuiondoe..shime watz..2015 uu karibu ndugu zangu!

Huyo sio kama hajui athari ya kuchapisha fedha ila anakejeli tu.
 
We bibi kizee mbona unatokwa na mapovu hivoo? Jamaa naona ana kugegeda sana hadi hujielewi upo wapi na utagegedwa sana na njaa zako hizo..

Ukiona mtu anaanza matusi ujuwe umemshinda kwa hoja.
 
Huu uongo wenu hauwasaidii kitu unazidi kuwaumiza roho zenu tu.

Watanzania leo hii tukipewa choice tunataka Kikwete aendelee kutuongoza kwa miaka mingine 10.

Hakuna Rais Tanzania hii wa kabla ya Kikwete aliyeyafanya hata nusu ya mema kwa Tanzania hii kama alivyofanya Kikwete.

Nioneshe ni yupi na lipi au changanya wote kwa pamoja.

Team lumumba @ it best pambana huku laki si pesa yupo anapambana kwenye uzi wa footage ya Stanib
 
Back
Top Bottom