Serikali hoi kifedha, Sasa kukopa...

Serikali hoi kifedha, Sasa kukopa...

Naamini hata Mh Rais ameshajua kuwa Watz wamemchoka,na yeye Bila shaka hii Hali inamnyima raha Ila Ndio afanye nini kwani mashambulizi toka kwa raia na msingi mbovu wa utawala aliouweka unamfanya ashindwe kujua pa kuanzia,ninachoomba Watz wezangu hata kama tunataka hii chama iparanganyike lkn tumuombee Mh Rais amalize salama na asije kufanya maamuzI ya ajabu zaidi na kuligharimu Taifa kwani hasara itakuwa yetu sote.......

Mkuu maombi hapa hayasaidii hasa unapomuombea mtu kama huyu kwani tyr ana tamaa na ni mtu asiyeeleweka anatoka wapi na kwenda wapi.
 
Kuna taarifa kutoka serkalini kuwa serikali ipo hoi kifedha na imewasimamisha wakandarasi wote waliokuwa wanangojea fedha ili waendelee na kazi na wale wote waliokuwa site wakiendelea na kazi ili kukwepa riba, hivyo serikali ipo kwenye mazungumzo na bank ya CRDB ili kukopa Bilioni 900 Tshs. Vile vile mishahara kwa watumishi wake imekuwa tabu sana hivyo serikali kulazimika kukopa pesa toka mabank mbali mbali nchini ikiwemo NMB ili kulipa mishahara.

Athari za Acc. ya Escrow ya TEGETA ni kubwa sana kuliko RAIS alivyolidanganya TAIFA kuwa athari zake si kubwa.

Uongo mtupu.
 
Ni kweli, haya Wabunge hawajalipwa mishahara yao na posho za Bunge lililopo ya nadhani. Kuna rafiki yangu kachukua tenda ya kuweka kifusi kwenye barabara maeneo Mbagala mpaka leo anapigwa Kiswahili tu.
Benno Ndulu alionya kuwa hutolewaji wa pesa zilizokuwa kwenye akaunti ya Escrow kunaweza kuyumbisha uchumi wetu, lakini majizi hayakutaka kumsikiliza yakalazimisha pesa zitoke na kugawana haraka haraka.
Hali mbaya kweli, kama hakutakuwa na chochote kuna hatari mishahara ya walimu na Polisi ikaanza kupigwa kalenda.
Ova

Wahaya bana, kwa kuwa mgao wa dada yako umekukosa basi unaona na wewe utolee machungu yako humu jf! duh!
 
Labda kama tuna matatizo mengine, fedha zilizozuiliwa na wafadhili, sio ile General Budget Support kupitia Busket Funding, ni development budget, hivyo zile sio fedha za kulipia mishahara!. Hata fedha za MCC pia sio fedha za kulipia mishahara!.
Kama ni kweli Watumishi wa umma wamekosa mishahara, then tuna tatizo kubwa kuliko tunavyo jidhania!.

Pasco.

PASCO

Una habari kuwa budget iliyopitishwa mwaka huu bungeni haijaanza kutekelezwa kwa asilimia 90?

kinachofanyika sasa ni kwamba, kila pesa inayopatikana kama ilikuwa ifund mradi huu, inapelekwa ikafund mradi ule...hii ina maana kwamba kuzuiwa kwa fedha za wafadhili kumeparanganyisha mipango yote ya awali hivo kuvuruga kila kitu.
 
Naamini hata Mh Rais ameshajua kuwa Watz wamemchoka,na yeye Bila shaka hii Hali inamnyima raha Ila Ndio afanye nini kwani mashambulizi toka kwa raia na msingi mbovu wa utawala aliouweka unamfanya ashindwe kujua pa kuanzia,ninachoomba Watz wezangu hata kama tunataka hii chama iparanganyike lkn tumuombee Mh Rais amalize salama na asije kufanya maamuzI ya ajabu zaidi na kuligharimu Taifa kwani hasara itakuwa yetu sote.......

Huu uongo wenu hauwasaidii kitu unazidi kuwaumiza roho zenu tu.

Watanzania leo hii tukipewa choice tunataka Kikwete aendelee kutuongoza kwa miaka mingine 10.

Hakuna Rais Tanzania hii wa kabla ya Kikwete aliyeyafanya hata nusu ya mema kwa Tanzania hii kama alivyofanya Kikwete.

Nioneshe ni yupi na lipi au changanya wote kwa pamoja.
 
Wewe unaumwa akilo...mwehu mkubwa wewe...utakuwa ulizaliwa kwenye mikesha ya mbio za mwenge
 
"Kama serikali haina hela za kutosha kwa nini wasiagize makampuni ya kutengeneza pesa watuchapie noti za elfu 10, 10 nyingi na kwa haraka ili kuziba fedheha hii........."
 
Kwa CCM kule natamàni Mwigulu agombee japo najua JK hatathubutu kufanya kosa hilo la kumpa nafasi Mwigulu aukwae urais.Haki ya mungu Mwigulu atawapeleka wengi magerezani akiwemo huyu Mk.were,najua namna Mwigulu anavyoumizwa na uonevu wa mafisadi dhidi ya Watanzania.Kwa Upinzani ni Dr Slaa tu ndiye atakayewanyoosha hawa mahayawani.
 
Siyo tatizo lako, hata Tumbili ilikuwa hivi hivi lakini alimwangusha Mwizi.

kifupi ni kuwa, Tuna aina nyingi za watanzania...

Nyinyi mmekalia kuzuwa tu kila kukicha, nchi iliyofilisika mnaijuwa nyinyi? tuulizeni sisi tuliokuwepo wakati wa Nyerere.
 
Huu uongo wenu hauwasaidii kitu unazidi kuwaumiza roho zenu tu.

Watanzania leo hii tukipewa choice tunataka Kikwete aendelee kutuongoza kwa miaka mingine 10.

Hakuna Rais Tanzania hii wa kabla ya Kikwete aliyeyafanya hata nusu ya mema kwa Tanzania hii kama alivyofanya Kikwete.

Nioneshe ni yupi na lipi au changanya wote kwa pamoja.

Natamani nikuone kwa sura tu angalau nikufahamu, yawezekani wewe siyo mtu wa kawaida! labda wewe ni "Mzimu au Tambiko la hapo Lumumba" sasa uwezo wako umefika mwisho hivo unaona aibu kwa waliokuchimbia ardhini hapo Lumumba kuwa sasa nguvu zako kwishney.
 
Huu uongo wenu hauwasaidii kitu unazidi kuwaumiza roho zenu tu.

Watanzania leo hii tukipewa choice tunataka Kikwete aendelee kutuongoza kwa miaka mingine 10.

Hakuna Rais Tanzania hii wa kabla ya Kikwete aliyeyafanya hata nusu ya mema kwa Tanzania hii kama alivyofanya Kikwete.

Nioneshe ni yupi na lipi au changanya wote kwa pamoja.

Muda mwingine tumia akili zako kufikiri. Khali ya kifedha serikalini ni mbaya mno. Si majungu ni taarifa za ndani kabisa hazina. Wanafunzi wa mwaka wa pili na kuendelea asilimia kubwa hawajalipwa loan hadi leo.
 
Nyinyi mmekalia kuzuwa tu kila kukicha, nchi iliyofilisika mnaijuwa nyinyi? tuulizeni sisi tuliokuwepo wakati wa Nyerere.

Nani kasema nchi imefilisika? nchi kuwa hoi kifedha haina maana ya moja kwa moja kuwa imefilisika ingawa trend ni hiyo.

FAIZAFOX una matatizo gani ndugu? Nakushauri utafute kile kitabu cha RIWAYA cha A-LEVEL nimekisahau jina ila kinaelezea yule jamaa aliyekuwa anawataka wananchi waamini kuwa "Usiku ni mchana na mchana ni usiku" au nyeupe ni nyeusi na nyeusi ni nyeupe. SOMA labda unaweza kupata afueni kidogo.
 
Wewe unaumwa akilo...mwehu mkubwa wewe...utakuwa ulizaliwa kwenye mikesha ya mbio za mwenge

Nilizaliwa kabla ya huo uchawi wa Nyerere.

Na nimeishi wakati nchi hii ilipofilisika, najuwa kufisika nchi ni nini.

Leo mko nyuma ya keyboard zenu, umeme mnao, mmeshiba mnajambajamaba hivyo.

Hii nchi wakati wa Nyerere ilipokuwa imefilisika kiukweli, saa hizi mngekuwa kwenye foleni ya unga wa Yanga.

Mmekula unga wa Yanga nyinyi?
 
Nani kasema nchi imefilisika? nchi kuwa hoi kifedha haina maana ya moja kwa moja kuwa imefilisika ingawa trend ni hiyo.

FAIZAFOX una matatizo gani ndugu? Nakushauri utafute kile kitabu cha RIWAYA cha A-LEVEL nimekisahau jina ila kinaelezea yule jamaa aliyekuwa anawataka wananchi waamini kuwa "Usiku ni mchana na mchana ni usiku" au nyeupe ni nyeusi na nyeusi ni nyeupe. SOMA labda unaweza kupata afueni kidogo.

Uhoi kifedha unaujuwa wewe? muulize Mzee Ali Hassan Mwinyi, au ziwachieni hotuba zake za awali alivyolalamika kwenye hotuba yake ya mikuki miwili, jinsi alivyoachiwa hii nchi na Nyerere.

Senti mbovu ya nje hakuna benki. Mafuta hakuna. Magari hayatembei. Cha kukila hakuna, frame za maduka panya tu na mende wanakimbizana, huko ndiyo ilikuwa kufilisika.

Leo mna neema, mnakwenda kuchaguwa mnunuwe unga gani wa kupika, mchele gani wa kula Krismasi, Beer gani ya kunywa.

Ilipokuwa nchi hii imefilisika wakati wa Nyerere mngeweza hayo?

Wacheni uongo.
 
Pole sana.
 
Labda kama tuna matatizo mengine, fedha zilizozuiliwa na wafadhili, sio ile General Budget Support kupitia Busket Funding, ni development budget, hivyo zile sio fedha za kulipia mishahara!. Hata fedha za MCC pia sio fedha za kulipia mishahara!.
Kama ni kweli Watumishi wa umma wamekosa mishahara, then tuna tatizo kubwa kuliko tunavyo jidhania!.

Pasco.

Wewe ni mwandishi fanyeni uchunguzi muone ukweli ulivyo, ila ukweli ni kwamba serikali iko hoi kifedha ina madeni kuanzia kwa wafanyakazi kwa kudai ama posho wanazostahili mfano umeme, maji na simu na watoa huduma nao wanaidai serikali fedha kibao na wengine wametishia kusitisha huduma, magari nayo mengi yamepaki kwa kukosa mafuta.
 
Uhoi kifedha unaujuwa wewe? muulize Mzee Ali Hassan Mwinyi, au ziwachieni hotuba zake za awali alivyolalamika kwenye hotuba yake ya mikuki miwili, jinsi alivyoachiwa hii nchi na Nyerere.

Duuu kweli elimu ni muhimu sikujuwa kuwa faiza foxy upstairs uko mweupe peee .wewe ni kilaza sijapata kuona..dah pole sana
Senti mbovu ya nje hakuna benki. Mafuta hakuna. Magari hayatembei. Cha kukila hakuna, frame za maduka panya tu na mende wanakimbizana, huko ndiyo ilikuwa kufilisika.

Leo mna neema, mnakwenda kuchaguwa mnunuwe unga gani wa kupika, mchele gani wa kula Krismasi, Beer gani ya kunywa.

Ilipokuwa nchi hii imefilisika wakati wa Nyerere mngeweza hayo?

Wacheni uongo.

Faiza foxy sikujuwa kuwa ni kilaza kiasi hiki dah POLE sana
 
Wewe unaumwa akilo...mwehu mkubwa wewe...utakuwa ulizaliwa kwenye mikesha ya mbio za mwenge

Kuna watu humu hautakiwi kuwajibu lolote kama unauthamini muda wako,wana akili timamu lakini wameamua kujichetua ili kuendesha maisha yao wangekuwa hawana mabwana wanao watumikia usinge waona ktk kila uzi,asubuhi,mchana,jioni na usiku wapo tu kutetea mabosi wao wanao waweka mjini kupinga kila jambo ndio ajira yao nashangaa wanaoshindana nao
 
Back
Top Bottom