Bobwe1
JF-Expert Member
- Apr 8, 2014
- 396
- 95
Wala usipate shida kunielewa, mapenzi yangu kwanza kwa Uislam.
Mengine yote yanafatia hilo.
Vipi ile crusade (mavamizi)aliyoifanya nyerere mwaka 64 zidi ya wazanzibar je unaikubali?
Wala usipate shida kunielewa, mapenzi yangu kwanza kwa Uislam.
Mengine yote yanafatia hilo.
Warioba alibwagwa na Mwinyi uwaziri mkuu kwa maslahi ya Taifa.
Huyo mzee kigeugeu, nna mashaka anatumia bangi kwa wingi sana kupita kiasi.
huna adabu wewe
Vipi ile crusade (mavamizi)aliyoifanya nyerere mwaka 64 zidi ya wazanzibar je unaikubali?
Soma hii hapa Bibie:
Nimesoma, kipi cha ajabu hapo?
Kafungaje mawaziri wakati mpaka sasa ugomvi tulionao na yeye ni kuwakingia kifua hao mawaziri wake? Mpaka sasa sijaona waziri aliyefungwa zaidi kesi ya Mramba na Yona ambayo kwasasa nimeanza kuhisi ni siasa tu maana hawa waliochukua pesa za umma hadharani yupo tayari kufa nao. Nakubaliana na wewe kwa kiasi suala la demokrasia japo bado kuna baadhi ya watu wameng'olewa kucha na wengine kuuwawa.Future tuliwawazia sisi na wazee wetu wakamchaguwa Nyerere kuwa ndiye msomi wa kutumainiwa na sisi tukashangilia sana tukajuwa huyu msomi atatukomboa kiukweli, kumbe ni msomi lakini hajaelimika, akatutowa kwenye neema akatutumbukiza kwenye lindi la umasikini duniani, tukawa masikini wa mwisho.
Awamu hii tukapata kijana mtanashati, mwenye haiba na tabasamu na tukasema aah, haya si ndiyo yale yale ya Nyerere! dah! kumbe tulikuwa wrong, kijana huyu wa sasa kafanya mema kweli kweli bila kuchoka, kwa miaka 9 katutowa kwenye umasikini wa kutupwa, katuongezea umri wa kutegemea kuishi, katufunguwa macho na masikio katufanya tuweze kuongea bila uoga, katuonesha nini demokrasia, kafunga mpaka mawaziri wasio waaminifu.
Huyu ndiye ilikuwa tumpate mwanzoni. Lakini ni mipango ya Mwenyeezi Mungu.
una mawazo mgando kama akili yako.Nikusaidie kwenye uongo, huko kweli siwezi kukusaidia. kama ni mfanyakazi na saa hizi upo JF ina maana wewe ni mwizi wa mali ya umma, hufai hata chembe.
Nchi ilifilisika wakati wa Nyerere, umeshawahi kula ugali wa Yanga wa msaada kutoka watu wa Merekani?
shetani anakuwaga na adabuAdabu nnayo tena sana tu labda sijaishika tu.
Jee wewe umeishika adabu yako?
shetani anakuwaga na adabu
una mawazo mgando kama akili yako.
ninayo adabu kwa watu wenye adabu siyo kwa shetani kama weweWewe unayo adabu?
mawazo mgando kama akili zakoKama mawazo yangu mgando, yako myeyuko. Nani zaidi?
"Kama serikali haina hela za kutosha kwa nini wasiagize makampuni ya kutengeneza pesa watuchapie noti za elfu 10, 10 nyingi na kwa haraka ili kuziba fedheha hii........."
Future tuliwawazia sisi na wazee wetu wakamchaguwa Nyerere kuwa ndiye msomi wa kutumainiwa na sisi tukashangilia sana tukajuwa huyu msomi atatukomboa kiukweli, kumbe ni msomi lakini hajaelimika, akatutowa kwenye neema akatutumbukiza kwenye lindi la umasikini duniani, tukawa masikini wa mwisho.