Serikali hoi kifedha, Sasa kukopa...

Serikali hoi kifedha, Sasa kukopa...

Muda mwingine tumia akili zako kufikiri. Khali ya kifedha serikalini ni mbaya mno. Si majungu ni taarifa za ndani kabisa hazina. Wanafunzi wa mwaka wa pili na kuendelea asilimia kubwa hawajalipwa loan hadi leo.

Achana na Juha huyo hajui chochote kazi yake kushabikia upuuzi wowote wa unaofanywa na CCM, ukiacha wanafunzi kutokupata loan, huyo Juha aulize OC zimepelekwa lini kwenye wizara au idara za serikali?
 
Pole sana.

Poleni nyinyi mliokuwa mnadanganyana humu, tupo bado, tuliokuwepo wakati nchi haina fedha. Leo mna neema nyinyi, wacheni kukufuru kwa jina la nchi. Nyinyi endeleeni kukufuru kwa mambo mengine.
 
Kwa aibu aliyoipata jk ughaibuni harudi tena nje na bakuli lake, atakufa kisailensa maji yamemfika shingoni. Yetu macho
 
Muda mwingine tumia akili zako kufikiri. Khali ya kifedha serikalini ni mbaya mno. Si majungu ni taarifa za ndani kabisa hazina. Wanafunzi wa mwaka wa pili na kuendelea asilimia kubwa hawajalipwa loan hadi leo.

Hiyo hali mbaya ya kifedha wewe imekuathiri nini? ulikosa mchele dukani? ulikosa unga dukani? ulikosa maharage dukani?

Wacha porojo. Ngoja siku ukose vyote hivyo ndiyo uje humu kubwabwaja. Hamjakuwepo wakati hii nchi imefilisika tuulizeni sisi tuliokuwepo wakati wa Nyerere.
 
Uhoi kifedha unaujuwa wewe? muulize Mzee Ali Hassan Mwinyi, au ziwachieni hotuba zake za awali alivyolalamika kwenye hotuba yake ya mikuki miwili, jinsi alivyoachiwa hii nchi na Nyerere.

Senti mbovu ya nje hakuna benki. Mafuta hakuna. Magari hayatembei. Cha kukila hakuna, frame za maduka panya tu na mende wanakimbizana, huko ndiyo ilikuwa kufilisika.

Leo mna neema, mnakwenda kuchaguwa mnunuwe unga gani wa kupika, mchele gani wa kula Krismasi, Beer gani ya kunywa.

Ilipokuwa nchi hii imefilisika wakati wa Nyerere mngeweza hayo?

Wacheni uongo.
Binti kipenzi cha Waarabu, hiki Kiswahili chako kibovu ndiyo matunda ya shule za kata?
 
"Kama serikali haina hela za kutosha kwa nini wasiagize makampuni ya kutengeneza pesa watuchapie noti za elfu 10, 10 nyingi na kwa haraka ili kuziba fedheha hii........."

Wewe unachekesha kwelikweli.watuchapishie pesa!hiyo itaishusha thamani ya pesa yetu tsh na kusababisha mfumuko wa bei kwa ujumla(inflation)!unalitaka hilo?unataka kubeba kiroba cha tsh kwenda kununua mkate au daftari la mtt wako?..serikali hii haifai..inatupeleka pabaya jamani..tuiondoe..shime watz..2015 uu karibu ndugu zangu!
 
Binti kipenzi cha Waarabu, hiki Kiswahili chako kibovu ndiyo matunda ya shule za kata?

Kiswahili wewe hukijuwi.

Tena hao Waarabu ndiyo wenye asilimia zaidi ya 60 kwa sasa kwenye Kiswahili, zamani ilikuwa zaidi ya 70.

Wacheni uongo kuhusu nchi kuwa imefilisika, ingefilisika mngekwenda kula krismassi na bibi na babu zenu? thubutu.
 
wahisani endeleeni kushikilia hapo hapo mpaka warudishe pesa zetu za escrow
 
Huu uongo wenu hauwasaidii kitu unazidi kuwaumiza roho zenu tu.

Watanzania leo hii tukipewa choice tunataka Kikwete aendelee kutuongoza kwa miaka mingine 10.

Hakuna Rais Tanzania hii wa kabla ya Kikwete aliyeyafanya hata nusu ya mema kwa Tanzania hii kama alivyofanya Kikwete.

Nioneshe ni yupi na lipi au changanya wote kwa pamoja.

Nikuambie kitu dada yangu..kuna masuala ambayo ccm na serikali yake haibebeki..ni mwendawazimu tu anaweza kuwatetea au kuitetetea..kila kitu kiko wazi..nakushauri ukiona thread kama hizi wewe sepa..usi comment ..watu hawatakuelewa na watakushukia kama mvua!utakufa kwa presure..mafisadi wenyewe wanafaidi..lbd na wewe ni moja wao!
 
Kiswahili wewe hukijuwi.

Tena hao Waarabu ndiyo wenye asilimia zaidi ya 60 kwa sasa kwenye Kiswahili, zamani ilikuwa zaidi ya 70.

Wacheni uongo kuhusu nchi kuwa imefilisika, ingefilisika mngekwenda kula krismassi na bibi na babu zenu? thubutu.

dada vipi mbona umepanic sana tulia dawa ikuingie vizuri serikali ya ccm imefilisika kuanzia kwenye pesa mpaka kiakili
 
dada vipi mbona umepanic sana tulia dawa ikuingie vizuri serikali ya ccm imefilisika kuanzia kwenye pesa mpaka kiakili

Ilifilisika wakati wa Nyerere. Wakati hatuna hata cha kukila.

Leo mambo swaaafi kabisa, na wala hamumstui mtu humu, Serikali iliyofilisika unaijuwa wewe ulikuwepo wakati wa Nyerere au unausikia tu?
 
Hiyo hali mbaya ya kifedha wewe imekuathiri nini? ulikosa mchele dukani? ulikosa unga dukani? ulikosa maharage dukani?

Wacha porojo. Ngoja siku ukose vyote hivyo ndiyo uje humu kubwabwaja. Hamjakuwepo wakati hii nchi imefilisika tuulizeni sisi tuliokuwepo wakati wa Nyerere.

nimekosa mshahara wangu mpaka leo sijalipwa.kushindana na kichaa kama wewe yataka moyo
 
Nikuambie kitu dada yangu..kuna masuala ambayo ccm na serikali yake haibebeki..ni mwendawazimu tu anaweza kuwatetea au kuitetetea..kila kitu kiko wazi..nakushauri ukiona thread kama hizi wewe sepa..usi comment ..watu hawatakuelewa na watakushukia kama mvua!utakufa kwa presure..mafisadi wenyewe wanafaidi..lbd na wewe ni moja wao!

Naona sasa umekosa hoja. Watanzania 80% juzi wameichaguwa CCM.

Nyinyi hasira zenu za kubwagwa mnakuja hapa kubwabwaja, kwanza muelewe Serikali siku hizi si ya ujamaa, uchumi upo mikononi mwa raia, au wewe ndiyo umefilisika? unaanza kubwabwaja na kulalama bila mpango?

Hasira za kipigo kitakatifu mtabwabwaja sana, lakini tupo hapa, uongo wenu hauna nafasi.
 
Eti "tetesi" kwanini usianze na "Uongo" badala ya tetesi kwenye hilo jikichwa la habari?

Unaleta uongo unasema tetesi?
 
Kiswahili wewe hukijuwi.

Tena hao Waarabu ndiyo wenye asilimia zaidi ya 60 kwa sasa kwenye Kiswahili, zamani ilikuwa zaidi ya 70.

Wacheni uongo kuhusu nchi kuwa imefilisika, ingefilisika mngekwenda kula krismassi na bibi na babu zenu? thubutu.
Mapenzi uliyo nayo kwa Kikwete ni zaidi hata ya Salma. Au wewe ni nyumba yake ndogo nini?!
 
nimekosa mshahara wangu mpaka leo sijalipwa.kushindana na kichaa kama wewe yataka moyo

Umekosa mshahara ungekuwepo JF saa hizi? wakati wa kazi huu wewe unaiibia serikali kuingia mtandaoni halafu unaweza kuwa na kauli ya kusema umekosa mshahara?

Ni wapi unapofanyia kazi tukuumbuwe uongo wako sasa hivi.
 
Ilifilisika wakati wa Nyerere. Wakati hatuna hata cha kukila.

Leo mambo swaaafi kabisa, na wala hamumstui mtu humu, Serikali iliyofilisika unaijuwa wewe ulikuwepo wakati wa Nyerere au unausikia tu?

wakati wa nyerere hatuhusu sisi tupo kwenye huu utawala wa shetani wa JK pesa escrow mmekula zote halafu dhaifu anakuja kusema pesa za escrow siyo za umma ni za IPPTL inahuzunisha raisi kutetea wezi wakati nchi ina hali mbaya kifedha acha kutumika kama toilet paper kutetea uovu wa ccm.
 
Umekosa mshahara ungekuwepo JF saa hizi? wakati wa kazi huu wewe unaiibia serikali kuingi mtandaoni halafu unaweza kuwa na kauli ya kusema umekosa mshahara? Ni wapi unapofanyia kazi tukuumbuwe uongo wako sasa hivi.

hata mkikuambia huwezi kunisaidia serikali ya ccm imefilisika kabisa pesa zimeliwa na wezi wenzako ccm
 
Back
Top Bottom