Series (Special thread)

Series (Special thread)

better call saul mnadownloadia wapi wakuu?

Nilikuwa naishusha seriesway.com ila kuanzia s01e06 miyeyusho haikubali
Tumia hii app, ipo playsore kama unatumia android inaitwa Onstream
Screenshot_20230903-114414_OnStream.jpg
 
Nilikua naichukulia poa series ya Vampire diaries ila kuna character wamenifanya niipende sana hii series. Kuna Darmon, hafu kuna Ellijah jamaa yupo very serious hafu anaongea kwa kutulia. Hafu kuna mwamba Klaus... Akisema amesema. Anakupa plan yake nzima ya atakachokufanyia na lazima itokee hata upambane vipi😅
 
Kwa wanaopenda series za mkono watafute series ya Warrior. Imetengenezwa na mtoto wa Bruce, Shannon Lee kutoka kwenye story aliyotunga baba yake.. Bruce lee.
Ia mkono balaa, ila kuna kiwango kikubwa cha Sex and Nudity content
 
wababe wa chinatown...Ah Sam anatembeza kipondo cha Karne
 
Kwa wanaopenda series za mkono watafute series ya Warrior. Imetengenezwa na mtoto wa Bruce, Shannon Lee kutoka kwenye story aliyotunga baba yake.. Bruce lee.
Ia mkono balaa, ila kuna kiwango kikubwa cha Sex and Nudity content
Yule jamaa wa the warrior huo mkono anaotembeza sio wa kitoto
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom