Series (Special thread)

Series (Special thread)

Hii nayo si ya kukosa!
images%20(7).jpg
 
Nimeangalia Special Ops:Lioness ni nzuri sana nina shauku ya kujua love story ya Cruz na Aaliyah itakuaje maana wote wamebaki na vidonda visivyotibika,

Nilisikitika pale Cruz alivyokua anamlaumu Joe kwa kuharibu maisha yake na kumtengeneza awe mtu wa ajabu, "i can't sleep because of you..." iliumiza sana.

I hope next season itakua fireee

Rate: 7/10.
 
Nilivyoona tuu ndani yupo Zoe saldana nikajua tuu huu mzigo utakua mkali muigizaji mkubwa kama yule hawezi kuchukua scripts za kiboya
 
Nimeangalia Special Ops:Lioness ni nzuri sana nina shauku ya kujua love story ya Cruz na Aaliyah itakuaje maana wote wamebaki na vidonda visivyotibika,

Nilisikitika pale Cruz alivyokua anamlaumu Joe kwa kuharibu maisha yake na kumtengeneza awe mtu wa ajabu, "i can't sleep because of you..." iliumiza sana.

I hope next season itakua fireee

Rate: 7/10.
Kale ka cruz kazuri sana
 
Kwamba season 1 ishaisha?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom