Series (Special thread)

Twisted Metal
Naona iko poa sana. Ina Action nyingi na some comedy. Kama unapenda series za Action+ Comedy basi Twisted Metal inaweza kufaa.
Niko episode ya pili, this series is funny 😂😂
Wameminya kwenye dakika. Episode moja ina dakika chachee kama the bees ya Mr. Bean 😁😁
 
Unarikomendi series za Kikorea ambazo unaangalia jicho moja kwenye subtitles lingine kwenye picha?!!
Unarikomendi series za Kikorea ambazo unaangalia jicho moja kwenye subtitles lingine kwenye picha?!!
Ina dual audio kwa hiyo unaweza kuchagua English au Korean.
Ingawa mimi napenda kuangalia ikiwa katika Kikorea na kusoma subtitles
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…