Series (Special thread)

Jamani nani anaiangalia Fatal Seduction japo story yake ni common as nimeona kwenye movies nyingi ila nimewapenda kwa kua ni wa South Africa,

Usiangalie na watoto, mtu mnayeheshimiana pia kama upo single sikushauri uangalie peke yako
 
Nimeiangalia story yake haina tofauti na DARK DESIRE nasubil episode zingine zinatoka tareh 28 tuone professor alifanyeje
 
Hiyo.nimefunga yote mpaka season 5 nikacheki na better call Saul yote mpaka season 6
 
Jamani nani anaiangalia Fatal Seduction japo story yake ni common as nimeona kwenye movies nyingi ila nimewapenda kwa kua ni wa South Africa,

Usiangalie na watoto, mtu mnayeheshimiana pia kama upo single sikushauri uangalie peke yako
Vipi ni nzuri story ikoje?
 
Yes kila mtu na taste yake kuna movie ukiangalia dakk 10 za mwanzo unajua kabisa hii haikufai, mimi nimeangalia episode moja nikaona hapana , napenda movie za narcotic lakin ile hapana
Kama unapenda Narcotic series, Iangalie vzr unless una allergy na wamama. Kuna Narcotic women in real life ni smart sana na wako vzr sana in bness even than men!
 
Wakuu mnatia mabando ipi maana toka vpn yangu imebuma inaishia mb 89 naanza kuteseka na kusaga meno nakosa utamu aisee😭😭😭😭😭😭😭
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…