Sicario poison
JF-Expert Member
- Jan 1, 2021
- 2,326
- 4,569
Nimeshindwa kuangalia zero zero zero mkuu kwasababu nimetafuta subtitles zake Google nzima nimekosaMf mie series za vionjo vya SILO yaani huwa nikiianza tu naona ni ya hovyo na kuitupilia mbali, ila ukiniwekea Series aina ya Zero Zero Zero au The Barbarians asee nakesha kabisaaa!
So nabaki kuamini kila mtu na mlo wake pendwa!
Kweli mkuu ni noma sanaNa uzuri wa narcos wameportray matukio mengi ambayo yalishai kutokea miaka ya nyuma
Unasemea narcos Mexico ama?Kuwa makini kwenye ule mtiririko kuna narcos moja ina ushoga balaa dume kwa dume wanakulana
Hv zipo tu netflix au na ma dj wanazo?Season 2 coming soon , Season 1 iliishia pazuri sana View attachment 2687137
Nimeisahau ipi ila kuna yule mwamba alikua ikulu pale alikua na shoga lake akitoka ikulu analipigia simu anaenda kulikulaUnasemea narcos Mexico ama?
Nenda netnaija utaikutaHv zipo tu netflix au na ma dj wanazo?
Labda season 3 hiyoNimeisahau ipi ila kuna yule mwamba alikua ikulu pale alikua na shoga lake akitoka ikulu analipigia simu anaenda kulikula
Huwa nawaambia watu, ukimaliza kuangalia Breaking Bad na ukaipenda.. basi endelea na Better Call Saul. Utanishukuru baadae!Umetaja narcos nimekumbuka kitu hebu niambie ni series gani ambayo itaniweka chini wkend hii nisitamani kutembea yenye ufanano na breaking bad?
Huwezi kufananisha BB na PB, ni sawa kufananisha Real Madrid na Arsenal.PB ipewe heshima yake, isifananishwe
Hivi hamna series yoyote ile kali ambayo ni animation ili na mimi nikaiangaliePB ipewe heshima yake, isifananishwe
Kwa series nimeangalia The Owl House pekee, zipo 3 seasons... naona wajapan ndio sana wana series ila hua sizipendiHivi hamna series yoyote ile kali ambayo ni animation ili na mimi nikaiangalie
Au animation huwa unaangalia single tu?
Nitatafuta za USAKwa series nimeangalia The Owl House pekee, zipo 3 seasons... naona wajapan ndio sana wana series ila hua sizipendi
Hiyo owl house ina kastory kazuri icheki, sio wajapan lakiniNitatafuta za USA
Hizo Anime za Wajapani hata mimi sizipendi. Kwanza hata graphics zake huwa hazinivutii machoni. Nitazijaribu ila sio leo
Owl house nitaichekiHiyo owl house ina kastory kazuri icheki, sio wajapan lakini
Umeangalia series nzima? Au umeangalia season moja?Bado haijatokea kama breaking bad, bwana Gilligan alituliza ubongo pale
Ozarks, WeedsUmetaja narcos nimekumbuka kitu hebu niambie ni series gani ambayo itaniweka chini wkend hii nisitamani kutembea yenye ufanano na breaking bad?
Narcos sijaiangalia itabidi niangalie.. Narcos na Queen of the South ipi kali?Na uzuri wa narcos wameportray matukio mengi ambayo yalishai kutokea miaka ya nyuma
Tafuta The BoondocksHivi hamna series yoyote ile kali ambayo ni animation ili na mimi nikaiangalie
Au animation huwa unaangalia single tu?
Queen of the South niliangalia episode ya kwanza tuu nikaikataa, siwez kumuamini mwanamke aendeshe cartel gangNarcos sijaiangalia itabidi niangalie.. Narcos na Queen of the South ipi kali?
Kheeeee!Queen of the South niliangalia episode ya kwanza tuu nikaikataa, siwez kumuamini mwanamke aendeshe cartel gang