Anakumbuka vizuri, alistaajabu kuambiwa ameokotwa na kundi la wapanda mlima, vimchubuko kidogo ilhali alisukumwa kutoka juu ya tower, na akawa na shauku ya kujua yupo wapi...From s2 imeishia patamu sana aseee,tabitha sijui atakumbuka kule kwenye twn akawaokoe wenzake.
Anakumbuka vizuri, alistaajabu kuambiwa ameokotwa na kundi la wapanda mlima, vimchubuko kidogo ilhali alisukumwa kutoka juu ya tower, na akawa na shauku ya kujua yupo wapi...
Labda Tabitha atakutana na Dada take Victor Kyle Town
Boyd ameweza kutuliza ile Hali ya wale wadudu, sasa cha kujiuliza ni je amesolve na ishu ya monsters..?? Na yule dogo wakati anamsukuma tabitha alimwambia "samahani, hii ndio njia pekee"
Ile puzzle aliyoitegua boyd ili kupata ile music box nahisi ataweza/wataweza ku solve puzzle nyingine,
but what exactly will happen to jade baada ya kuingia kule kwenye pango..??
Kwa ufupi S2 imeisha na maswali mengi mno
Hii ndio movie sasa ..wameshapakua episode mbili tayariJune 30 no zamu ya Jack Ryan.. Prime wameamua kumaliza show
series ya kikubwa kama umezoea akina spiderman huwezi elewa hat hizi episodes mbili za mwanzoHii ndio movie sasa ..wameshapakua episode mbili tayari
series ya kikubwa kama umezoea akina spiderman huwezi elewa hat hizi episodes mbili za mwanzo
Inaitwa Onstream, huyo jamaa ndio aliileta hapa. Ni nzuri sana. Ukitaka kuidownload ingia hapaApp gan hii mkuu
Imetuachia shauku kubwa sana,Kesho ijumaa tunahitimisha season 1 ya Silo afu tuisubirie season 2 mwaka mzima
Kwani Dada yake Victor alifanikiwa kufika kwenye Tower?Anakumbuka vizuri, alistaajabu kuambiwa ameokotwa na kundi la wapanda mlima, vimchubuko kidogo ilhali alisukumwa kutoka juu ya tower, na akawa na shauku ya kujua yupo wapi...
Labda Tabitha atakutana na Dada yake Victor Kule Town
Boyd ameweza kutuliza ile Hali ya wale wadudu, sasa cha kujiuliza ni je amesolve na ishu ya monsters..?? Na yule dogo wakati anamsukuma tabitha alimwambia "samahani, hii ndio njia pekee"
Ile puzzle aliyoitegua boyd ili kupata ile music box nahisi ataweza/wataweza ku solve puzzle nyingine,
but what exactly will happen to jade baada ya kuingia kule kwenye pango..??
Kwa ufupi S2 imeisha na maswali mengi mno
Alimfuataga mama yake, kumbukumbu ya Victor hajawahi kuonaga mwili wa Dada yake, ila alifanikiwa kuuona mwili mama yake tu, karibu na ule mti... Hata anaamini dada take yupo hai somewhere, na tukumbuke alipoenda kumuonyesha picha za kuchora tabitha alikuta zile zilizochorwa na Dada yake na zake hazikuwepo... Kile kiboksi alichopewa tabitha na victor kitatoa mada mpya, kuna mtu atakitambua tu...Kwani Dada yake Victor alifanikiwa kufika kwenye Tower?
uko vizuri kwenye kuelezea [emoji817] kwa ajili yakoAlimfuataga mama yake, kumbukumbu ya Victor hajawahi kuonaga mwili wa Dada yake, ila alifanikiwa kuuona mwili mama yake tu, karibu na ule mti... Hata anaamini dada take yupo hai somewhere, na tukumbuke alipoenda kumuonyesha picha za kuchora tabitha alikuta zile zilizochorwa na Dada yake na zake hazikuwepo... Kile kiboksi alichopewa tabitha na victor kitatoa mada mpya, kuna mtu atakitambua tu...
Hisia zangu zinaniambia Baadae wanaweza ingiza ishu ya time travel kwenye hii series, but how.? I don't know.
Kwa mimi nilivyoelewa inaonesha SILO zipo nyingi alafu lile sio jangwa angalia kwa umbali utayaona magorofa kama ya new York hiviImetuachia shauku kubwa sana,
Sijaelewa yale maduara ina maana SILO haionekani kwa nje? yale maduara kuna SILO's zingine? Kwa jangwa lile Jules atasurvive kweli?
Nawaza watu wa Silo walivyoona Jules katoboa je hawatataka na wao watoke?
Season 2 itatueleza mengi,
Naisubiri Wednesday ssn 2.
Hizi ndio series ninazozisubiriaImetuachia shauku kubwa sana,
Sijaelewa yale maduara ina maana SILO haionekani kwa nje? yale maduara kuna SILO's zingine? Kwa jangwa lile Jules atasurvive kweli?
Nawaza watu wa Silo walivyoona Jules katoboa je hawatataka na wao watoke?
Season 2 itatueleza mengi,
Naisubiri Wednesday ssn 2.
The Pixie hao[emoji91]Opening theme Quisera sera whatever Will be, Will be, the future is not ours to see Quisera sera
Shadow and Bone ni [emoji91][emoji91][emoji91] hutojutia,Hizi ndio series ninazozisubiria
Wednesday Season 2
All of us are Dead season 2
Squid Game season 2
Weak Hero Class Season 2
Cobra Kai season 6
The Night Agent season 2
Shadow and Bone sijaiona ila nimeona watu wanaisifia sana
Umenifanya nikirudie kile kipande ni kweli kwa mbali ni kama maghorofa au miti hivi,Kwa mimi nilivyoelewa inaonesha SILO zipo nyingi alafu lile sio jangwa angalia kwa umbali utayaona magorofa kama ya new York hivi
Naomba tu wasiingize ishu ya time travel au ndoto angalau waseme kuna dunia mbili [emoji3] hadi nimeikumbuka series ya 1899, walitufanya maboya kweli japo nasubiri muendelezoAlimfuataga mama yake, kumbukumbu ya Victor hajawahi kuonaga mwili wa Dada yake, ila alifanikiwa kuuona mwili mama yake tu, karibu na ule mti... Hata anaamini dada take yupo hai somewhere, na tukumbuke alipoenda kumuonyesha picha za kuchora tabitha alikuta zile zilizochorwa na Dada yake na zake hazikuwepo... Kile kiboksi alichopewa tabitha na victor kitatoa mada mpya, kuna mtu atakitambua tu...
Hisia zangu zinaniambia Baadae wanaweza ingiza ishu ya time travel kwenye hii series, but how.? I don't know.
Shukran MkuuInaitwa Onstream, huyo jamaa ndio aliileta hapa. Ni nzuri sana. Ukitaka kuidownload ingia hapa
OnStream - Streaming App for free Movies and TV Shows!
Download OnStream apk to watch free movies and tv shows on mobile devices, OnStream is the best free android movies apk for your streaming.onstream.to
1899 Netflix wameshaicancel [emoji1][emoji1][emoji1][emoji4]hakutakua na season 2 labda itokee kampuni nyingi inunue rightsNaomba tu wasiingize ishu ya time travel au ndoto angalau waseme kuna dunia mbili [emoji3] hadi nimeikumbuka series ya 1899, walitufanya maboya kweli japo nasubiri muendelezo
Jamani kuna mahali wanasema sura ya Tabitha iliyoonekana kwenye kioo pale alivyofunua pazia akiwa hospital sio yake yaan ni kama kwenye kioo anaonekana mwingine, mimi nimezoom weeh sijaona tofauti, inafikirisha