Series (Special thread)

Ha ha ha ha ha hii balaa. Na kuna ile American horror stories ilibidi niwe mpole tu
 
Kwa watu tunaopenda kujua vitu kwa undani, season 2 imeisha vizuri, imeacha maswali mengi kuliko majibu
Imeisha vizuri mnooo nimependa kwa kweli, ingetujibu maswali yetu season hii, huenda season inayofata isingekua na mvuto
 
Sio kuota…hapo anawaza mambo mengi kwanza familia yake namna ya kuwatoa dhen jinsi ya kurudi kule kuwasaidia namna ya kutoka!!
Namaanisha inawezekana hata hapo alipo ni mauza uza mengine. Unaweza kukuta huo ni Mji kama ule part 2.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…