Kikosi kikiwa hakina amri ya ku shoot unadhani wangeanza kurusha risasi hovyo? Ikulu zote duniani mtu akiwa amejipanga na mpango kabambe anaweza kuingia na kutoka kirahisi endapo ni zao la mfumo. MSIKOMPLIKETISHE MAMBOYaani nilisikitika kuona Peter anatoroka kutoka Ikulu kizembe Sana..eti anakimbia na kubamiza milango kifala vile..ule Ni utoto..sio mbaya lakini siwezi kurudia kuiangalia..
What if ikulu yetu mlango wake unatokeza sehemu usiyo dhani? Waweke ulinzi ili watu waanze kutilia mashaka ni nini kinalindwa pale? Any suspiciousactivities by the government will cause the civilians to ask themselves why this? Na hapo kutakuwa hakuna usiri tena.Yaani Ikulu ya Marekani mlango upo Kariakoo sokoni na hauna ulinzi hata wa Camera tu
Mkuu ulinzi wa raisi wa marekani unaujua lakiniWewe unadhani ikulu haziingiliki kirahisi? Usiaminishwe mambo makubwa sana wakati mambo yenyewe ni ya kawaida.
Oalitokea kijana wa hovyo akawatumia walinzi wa ikulu kuvamia studio sasa unadhani kijana huyo hakuwa na uwezo wa kuingia ikulu atakavyo?
Wanaoingia nimesema ni zao la mfumo(sijui hapa kama umenielewa?) Kuna mdau anasema eti computer zinaingiliwa kirahisi tu hivi hamkumbuki kwenye uchaguzi wa mmarekani huyohuyo mifumo ilichezewa na kura zikachelechwa? Hakuna mahala duniani pasipo ingilika. Inategemea na nani anaingia kwa wakati gani na kwa interests zipiMkuu ulinzi wa raisi wa marekani unaujua lakinihata huwe na mpango gani huwezi kumgusa raisi wa marekani, na hauwezi kuingia ikulu ya marekani, ingekua rahisi hivyo na hii vita baridi inayoendelea kati ya urusi,china na marekani wangekua wameshaingia hapo ikulu maana wanamafunzo yote na technology zote
Wakuu samahanini? Mimi mgeni kwenye haya mambo ya movies nahitaji kujua nikitaka movies napataje kupitia wapi au kama kuba app
Naombeni msaada
Asanteni
icheki na outer banks. Hautojutia muda wakoVipi nzuri kuitazama??
Hii series inahusu niniicheki na outer banks. Hautojutia muda wako
The big John anatumia Zaidi ya miaka 20 kufanya utafiti ni wapi meli ya matajiri ilizama na shehena ya dhahabu. Kwa BAHATI mbaya inatokea kutokuelewana na rafiki yake ambaye Huwa anamkodishaga boti yake KWENYE harakati ya kuitafuta the royal merchant gold. Wakiwa Kwenye botiHii series inahusu nini
Haya ndo mambo yangu nashusha season 1 nioneThe big John anatumia Zaidi ya miaka 20 kufanya utafiti ni wapi meli ya matajiri ilizama na shehena ya dhahabu. Kwa BAHATI mbaya inatokea kutokuelewana na rafiki yake ambaye Huwa anamkodishaga boti yake KWENYE harakati ya kuitafuta the royal merchant gold. Wakiwa Kwenye boti
katikati ya kisiwa The big John anasukumwa na rafiki yake na kuangukia kitu chenye ncha Kali na kupoteza fahamu. Kwa hofo bwana Ward Cameroon akijuwa ameuwa pasipo kukusudia anaamua kuutumbukiza majini mwili wa The big John. The big John anaibukia ukingoni kisiwani akiwa na Hali mbaya Sana. Kabla hajafa anamwachia ujumbe wa sauti kijana wake JOHN B ambaye ni street boy kuwa njia pekee itakayemtoa Kwenye umasikini ni yeye kuifuatilia royal merchant gold ( meli ya matajiri iliyozama na shehena ya dhahabu) . Nini kiliendelea je John B ataipata royal merchant gold. Pia humu utajifunza ni jinsi gani Mapenzi yalivyo na nguvu ( The power of love, True love, True friendship, wrong decision)
Hiyo hutajuta kaka inakisa kitamu sanaaa.Haya ndo mambo yangu nashusha season 1 nione
Mkuu jina la hiii series ndio outer Bank au ndio the big John maana sijaelewaThe big John anatumia Zaidi ya miaka 20 kufanya utafiti ni wapi meli ya matajiri ilizama na shehena ya dhahabu. Kwa BAHATI mbaya inatokea kutokuelewana na rafiki yake ambaye Huwa anamkodishaga boti yake KWENYE harakati ya kuitafuta the royal merchant gold. Wakiwa Kwenye boti
katikati ya kisiwa The big John anasukumwa na rafiki yake na kuangukia kitu chenye ncha Kali na kupoteza fahamu. Kwa hofo bwana Ward Cameroon akijuwa ameuwa pasipo kukusudia anaamua kuutumbukiza majini mwili wa The big John. The big John anaibukia ukingoni kisiwani akiwa na Hali mbaya Sana. Kabla hajafa anamwachia ujumbe wa sauti kijana wake JOHN B ambaye ni street boy kuwa njia pekee itakayemtoa Kwenye umasikini ni yeye kuifuatilia royal merchant gold ( meli ya matajiri iliyozama na shehena ya dhahabu) . Nini kiliendelea je John B ataipata royal merchant gold. Pia humu utajifunza ni jinsi gani Mapenzi yalivyo na nguvu ( The power of love, True love, True friendship, wrong decision)
Ulinzi sio lazima waweke mtu rafikiWhat if ikulu yetu mlango wake unatokeza sehemu usiyo dhani? Waweke ulinzi ili watu waanze kutilia mashaka ni nini kinalindwa pale? Any suspiciousactivities by the government will cause the civilians to ask themselves why this? Na hapo kutakuwa hakuna usiri tena.
Au wewe unaonaje waweke ulinzi unao onekana sehemu ya siri isiyotakiwa kujulikana?
Sasa wewe ulisema hakuna ulinzi ulijuaje hakuna ulinzi ikiwa mlango wemyewe ni mpaka codesUlinzi sio lazima waweke mtu rafiki
Kweli kabisa unaamini mtu anaweza kukimbia kutoka Ikulu kibwege vile wakati boss wa pale Ikulu ametoa amri akamatwe..yaani maafisa wote Ikulu wanamkimbiza pia mifumo yote ya ulinzi isiweze kumpata angalau kumpa msukosuko..yaani angetoka nje akiwa na ngeu..yaani alitoroka na kutoka nje bila hata na mchubuko..ule Ni utoto tukubali..Kikosi kikiwa hakina amri ya ku shoot unadhani wangeanza kurusha risasi hovyo? Ikulu zote duniani mtu akiwa amejipanga na mpango kabambe anaweza kuingia na kutoka kirahisi endapo ni zao la mfumo. MSIKOMPLIKETISHE MAMBO
OUTER BANKS Ndiyo Jina la seriesMkuu jina la hiii series ndio outer Bank au ndio the big John maana sijaelewa
Hakuna codes zozote alizoingiza bana...Sasa wewe ulisema hakuna ulinzi ulijuaje hakuna ulinzi ikiwa mlango wemyewe ni mpaka codes
Nimeangalia trailer, ngoja tuitazameCITADEL series kali kabisa tutaanza kuiona tarehe 28 April nawakabali sana the russo brothers naamini na huku hawataniangusha kwenye action View attachment 2597111