mans mcgwa
Member
- Nov 22, 2021
- 14
- 11
Taja ili tuzipime
Dejane
Franky Samuel
jiwe angavu
kesho ntawawekea season na serias kali ambazo hamjawahi kuzisikia popote
dejane wewe kuna series inabidi uangalie ntakupa 3
KOPA speak
Jamaniiii eeeh hua mnazipata wapiiii hiziii moviee msaada please
Tutajie nzurisiku hizi hakuna season wala series zote kazi mbovu utakuta mtu anasifia huu upuuzi hapa chini
pearkly bleender
tehran
the night agent
gotham knight
tulsa king
the spy
na nyingine nyingi tu yaani ni upuuzi tu
Zenye story mzuri, matukio mengi yenye twists mfano kama Prison break, Banshee, Lost n.kUna prefer series za aina gani?
Niko na the knight agent ni nzuri kwa kiasi iko season 1 epsode 10 nimeichukua janasiku hizi hakuna season wala series zote kazi mbovu utakuta mtu anasifia huu upuuzi hapa chini
pearkly bleender
tehran
the night agent
gotham knight
tulsa king
the spy
na nyingine nyingi tu yaani ni upuuzi tu
Hana akiliUnataka kuangalia jumong
Weka hizo series nasubilDejane
Franky Samuel
jiwe angavu
kesho ntawawekea season na serias kali ambazo hamjawahi kuzisikia popote
dejane wewe kuna series inabidi uangalie ntakupa 3
KOPA speak
Umu Kuna mtu anacheki West world ni Kali ?
Nope, mzee wanasema nzuri s01 baada ya Hapo hamna kitu na ilicanceliwaUmewahi icheki hiyo kitu?
Hii sio nzuri kiivo ni ya kawaida, kwa hizi episode 5 walizotoa bado haijachangamka labda uko mbeleni.
Nope, mzee wanasema nzuri s01 baada ya Hapo hamna kitu na ilicanceliwa
Inaonekana ina vitu fulani ninavyo hitajiHii chuma kuna aliyeichungulia?View attachment 2563748
Ni single au series.?Nimeangalia the night agent bonge la movie kwa kweli
Ni series KakaNi single au series.?
Nimetoka kuingalia hapa na ndio nilikuwa nakuja kuweka maoni wadau waitafute, mzigo umesimama kwa miaka ya hivi karibuni sijaona mzigo kama ule season 2 inatoka 2024Nimeangalia the night agent bonge la movie kwa kweli
Dah...mbali sanaaaaaa,natamani sana kuona Peter akitoka kozi atapigaje kaziNimetoka kuingalia hapa na ndio nilikuwa nakuja kuweka maoni wadau waitafute, mzigo umesimama kwa miaka ya hivi karibuni sijaona mzigo kama ule season 2 inatoka 2024