Series (Special thread)

Siku hizi Wakorea nao wanapenda sana hayo mambo
Siku hizi muvi za Kikorea zinafuata mienendo ya Marekani karibia kila kona, naona hata idea za madirector kwenye Korean movies na American movies siku hizi zinaanza kufanana
Piah makampuni kama NETFLIX wamejikita huko kwaajil ya kuzalisha series na hawa jamaa ndo kampuni inayosapot ushoga kuliko kampuni yet duniani
 
Wakuu kuna aliyecheki Severance??

Inahusu wafanyakazi wa kampuni moja kubwa sana,ila wafanyakazi wa kampuni hiyo ufahamu wao upo monitored na hiyo kampuni yani wakiingia ofisi mawazo yanakuwa ya ofisini tu,hawakumbuki chochote katika maisha yao,ila wakitoka ofsini wanaishi maisha yao na hawakumbuki chochote kuhusu kilichofanyika ofsini siku husika,so kuna jamaa wakawa wana pambana kuweza kupata hizo kumbukumbu…icheki utaenjoy ni story nzuri.
 
Netflix ndio wanaweka huo upuuzi
Siku hizi Wakorea nao wanapenda sana hayo mambo
Siku hizi muvi za Kikorea zinafuata mienendo ya Marekani karibia kila kona, naona hata idea za madirector kwenye Korean movies na American movies siku hizi zinaanza kufanana
 
Netflix ndio wanaweka huo upuuzi
Hata Wakorea wenyewe. Mfano movie ya Project Wolf: Hunting. Ni muvi nzuri ya Kikorea ila ina mambo ya ovyo, mbaya zaidi hata hayahusiani na story. Wameweka ilimradi tu.
 
Ni nzuri sana, kama ulifanikiwa kucheki season 1, hii ya 2 ni balaa zaidi.

TAHADHARI!
Haina mambo ya ngumingumi kama wewe ni mpenzi wa series za mapigano utakua dissapointed.

Huwa na penda story nzuri,ngumi mapigano huwa sio upendeleo wangu.
 
Huu mzigo sikuwai kuutilia maanani kila siku nilikua nikiuona naupita, this week nikasema ngoja nidownload episode 2 nione, now nipo season 2
bonge moja ya kitu na inahusu true event ambayo iliwai kutokea miaka ya 70's huyu BUMPY JOHNSON tumuweke chumba kimoja na akina GHOST, TOMMY SHELBY
 
THE OVAL
 
Kwamba wameshindwa hata kudanganya kwa kuonesha upinzani japo kdg tu.
 
Hii iko Netflix?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…