sure movie tamu sana waingizaji wote wanatambua nini wanafanya hasa huyu Mahone mwamba anajua na amecheza filamu mingi kari {singe movie yupo filamu kari sana Ehrsium na ile ya Makobe jina limentoka ila utakuwa unaipata}Prison Break haitachuja kamwe...Movie ya akili sana.
Inaonekana unapenda uchawiuchawi sana nyie mnaita etu super naturalskwangu hizi ni moja filamu series za kizungu ambazo nimetazama na kunivutia
Merlin
prison break
seaker
game of thones
the walking dead
into the badland
SEE
Lord of yhe Rings
The Whitcher
na baadhi sizikumbuki ila hizo ndio bora wangu
hahaha hapana movie nzuri stori kali zinavutia kuzitazamaInaonekana unapenda uchawiuchawi sana nyie mnaita etu super naturals
Mlioangalia Better Call Saul, mbona nipo season ya mwisho na mpaka sasa episode ya 10 hii sijawaona Walter White na Jesse Pinkman?
Hizi ni idea ambazo huwezi zipata bongo muvie..jamaa wanastory tamu sana na iko well connected.Hii recommend niliitoa mimi aisee shukrani kwa appreciation
Duuh process ndefu sana,
Telegram ni mkombozi wangu
See S3 imeshakamilika? Au bado zinaendelea kutoka epsoid nyengine?kwangu hizi ni moja filamu series za kizungu ambazo nimetazama na kunivutia
Merlin
prison break
seaker
game of thones
the walking dead
into the badland
SEE
Lord of yhe Rings
The Whitcher
na baadhi sizikumbuki ila hizo ndio bora wangu
See ishakamilika na ndio mwisho haitotoka tena season 4See S3 imeshakamilika? Au bado zinaendelea kutoka epsoid nyengine?
Imekamilika kabisa..sidhani kama kuna mwendelezo tena.See S3 imeshakamilika? Au bado zinaendelea kutoka epsoid nyengine?
Mkuuu saizi bado naucheki ila naw sifumbi machoHahaha hata huu mzigo ulikuwa unaupita? Duuh!
Vipi is it worth to watch it..ebu tushirikishane man naiona tu netnaija naipitia mbali.Lile dude letu la The Mosquito coast limeshatoka season 2 tayari angalau mimi nasubiri mpaka zikamilike episodes zote wale wa kuangalia episode moja moja kila week mnaeza mkaa nayo
Iko njemaVipi is it worth to watch it..ebu tushirikishane man naiona tu netnaija naipitia mbali.
#MaendeleoHayanaChama
Hivi kati ya snowfall na designated survivor upi mzigo wa kuangalia??Mkuuu saizi bado naucheki ila naw sifumbi macho
Hizo mbona hazifanani, moja siasa nyingine habar za drugs.Hivi kati ya snowfall na designated survivor upi mzigo wa kuangalia??