Kama unapenda ujasusa chukua na hii THE AMERICANS, tumezoea kuona movie nying CIA wanawazidi akili warusi kwenye ujasusi, kwenye hii series wamarekani wanapigwa matukio hapohapo sebuleni kwao na warusi View attachment 2196286
One of the best series za spy nilizowahi kuangalia, Humu Mmarekani anapelekeshwa vibaya sana tena ni true story kabisa.
Dah Ila kuwa spy inahitaji moyo sana na kujitoa kabisa.