Series (Special thread)

Holly alimnyongelea mbali, ila alikapenda sana kale kademu

Sasa kama aliweza kumuondoa mpka baba ake kuna mtu hapo?

Ila sema hii power book IV kama siielewi vile..
Yeah! Alimpenda sana Holly ila ukichunguza story ya Tommy ni kuwa alikuwa hajapata upendo wowote kwa wazazi wake ambao ndio watu muhimu kwenye maisha yake akaja kupendwa na watu baki so iyo ndio inamfanya awe na roho mbaya ukiwa snitch kwake na pia awe Loyal ukitokea kumpenda.

Kuhusu Book IV maybe hujaipenda tu wewe binafsi ila wengi hadi washkaji zangu wananipa update kila j3 kwamba huyu Tommy ni chizi kwa anachokifanya humo 😃😃
 
Wakuu huu uzi mzuri sana.mliorecommend hii series pamoja kutuwekea link zake,subtitles.pongezi kwenu aisee!
Bonge moja la series ya kijajusi hasa!
Hatimae nimeimaliza na kufurahishwa nayo mno!View attachment 2195921
Kweli ni series ila hapo kunaweza kuwe mwisho au waamue waendelee s06 ila wakiwa na characters wapya na ubaya wa hii biashara ni kuwa ukiweka characters wapya basi na fans wanapungua
 
Wakuu huu uzi mzuri sana.mliorecommend hii series pamoja kutuwekea link zake,subtitles.pongezi kwenu aisee!
Bonge moja la series ya kijajusi hasa!
Hatimae nimeimaliza na kufurahishwa nayo mno!View attachment 2195921
Kama unapenda ujasusa chukua na hii THE AMERICANS, tumezoea kuona movie nying CIA wanawazidi akili warusi kwenye ujasusi, kwenye hii series wamarekani wanapigwa matukio hapohapo sebuleni kwao na warusi
 
Ebu ngoja nikomae nayo ndo kwanza nimecheki episodes 3 tu
 
Series moja tamu sana tatizo mwendelezo wake haupo.....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…