Series (Special thread)

Breaking bad niliielewa sana...
Power nimeicheki season zote 6..
Jana nimetoka kuimaliza Power book II .

Hiyo Gommorah nayo niliishia njian acha niifufue...

Vip Sopranos umeicheki?
Sopranos sijaicheki ila hipo kwenye list ya watchlist nikimaliza mizigo niliyokuwa nayo naanza nayo
 
Hello guys.....Nahitaji series na movies, nani tusaidiane tunapoozana kidogo na kacent...πŸ™πŸΎ
 
Aseeh trailer yake inatisha sana
namuona Navarro ndani ya chumba cha mateso, FBI wamewaka wanamtaka Marty, huku Ruth amekiwasha na nimeona anampiga mtu risasi sijui ni nani???
Anayepigwa risasi ni nephew yake na Omar Navarro, Javi
 
Anayeonekana anapigwa risasi ni yule nephew wa Omar Navaro, Javi... Jamaa aliyemuua Darlen na Yule dogo bwana ake, ndugu yake na Ruth
Ngoja tuone maana unaweza akawa amepigwa risasi kumbe kapona au sio yeye si unajua umuhimu wa Trailer ni kukuhamasisha na kuitangaza movies ila haikwambii movies au series itakuwaje
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…