Kama hii ya Tommy dah, sijaielewa kabisaPower ile ya mwanzo ilikuwa poa sana mzee, hizi muendelezo ni kupiga hela tu
Alias person of interest sikuipenda sana niliingalia kwa sababu tu ndani yumo Henry wa Lost ambaye nilimkubali sana kwenye Lost nikaamini na humo anaweza.... Alais utakutana na Michael Vaugh ,Bibie Sydney Bristow, Arvin Sloan na Dixon hii ni timu ya ushind.. utakutana na Lombart Artifact kimsing kwangu mie hii ni moja ya series bora kabisa kispy.Kama kuna aliewahi kuiona Person of Interest au Alias aniambie ipi inanoga sana?
Nianze na ipi?
Na story zake kwa ufupi..
Henry yupi? Au unamsemea Benjamin Linus?Alias person of interest sikuipenda sana niliingalia kwa sababu tu ndani yumo Henry wa Lost ambaye nilimkubali sana kwenye Lost nikaamini na humo anaweza.... Alais utakutana na Michael Vaugh ,Bibie Sydney Bristow, Arvin Sloan na Dixon hii ni timu ya ushind.. utakutana na Lombart Artifact kimsing kwangu mie hii ni moja ya series bora kabisa kispy.
Kwani vp Mkuu hiyo nayo tumepigwa? Sijaanza kuitupia machoKama hii ya Tommy dah, sijaielewa kabisa
Itizame tu mkuu, nisichokielewa mimi sio kwamba ni kibaya, nimetizama episode 2 tu nitaendelea nayo nikikosa vya kutizamaKwani vp Mkuu hiyo nayo tumepigwa? Sijaanza kuitupia macho
Peaky blinders imenishindaa aiseeTafuteni series inaitwa Tribes of Europa, The cursed, How to sale drugs online Fast zote nimezcheki ni latest ziko poa sana hapa nasubiria peaky blinders inatoka week hii season 6 ep1
Peaky blinders imenishindaa aisee
Ipo kwenye PC tuu sina mzuka nayo yanii
Hahah!Ipo kwenye PC tuu sina mzuka nayo yanii
Ya kwanza nilishaianza... Vipi mbele.kuna kichapo eeh??? Mabunduki yalipatikana
Jamaa na familia yake ni watataYa kwanza nilishaianza... Vipi mbele.kuna kichapo eeh??? Mabunduki yalipatikana
Yeah! Dogo ni Talent maana huyo ni muingereza lakini alivyoact humo utasema mtoto wa USABaharia mweuc muache tu, ila snowfall imeingia kwenye top series ambazo nimetizama, huwa si mwepesi kukubali kitu ila dogo Franklin ilenni talent, namuona mbali sana huyu chalii
Mhhh! Hapa nitakupinga maana nimetoka kuimalizia Book II SEASON 2 hapana wapo serious hakuna upigaji ππPower ile ya mwanzo ilikuwa poa sana mzee, hizi muendelezo ni kupiga hela tu
Ntaianza Mkuu,Itizame tu mkuu, nisichokielewa mimi sio kwamba ni kibaya, nimetizama episode 2 tu nitaendelea nayo nikikosa vya kutizama
Hahah toka imemaliza Power ile ya kwanza kabsa, hizi zinazoendelea kutoka hivi sasa sijazitazama kabsa, ila ntaziangalia tuMhhh! Hapa nitakupinga maana nimetoka kuimalizia Book II SEASON 2 hapana wapo serious hakuna upigaji
Basi tafuta muda wako check utanishukuru ππHahah toka imemaliza Power ile ya kwanza kabsa, hizi zinazoendelea kutoka hivi sasa sijazitazama kabsa, ila ntaziangalia tu