PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,178
Asante sana Mkuu.Alimaanisha Tv show “All American”
Sema kwa drama kama ulivyosema kuna hizi hapa pia
-This is us- hii kitu ni one of the best
-Jane The Virgin
-Sex/Life
-Riverdale
-You- ila hii ipo dark flan hivi
-Succession- sio Love sana ila kama uko into business utaiona very interesting
-Filthy Rich
-The baker and the beauty
-Friends from college
-A discovery of Witches
-Star crossed
Zipo nyingi sana sema nimelist baadhi unaweza pata za kuanza nazo
Asante Mkuu.sex/life,
Dark desire ,sisters, life on top zote unazipata o2 TV series
See season 1 ina episode 8 tu?
]n episodes ngapi?Dark Desire nzuri sana
18 mkuu]n episodes ngapi?
samahani, naomba link za 24 zenye 720p na kuendelea.
Hizi hazina seeders wengi kushusha mzigo utakesha sana!!! Mwenye link nyingine ya 24 720p na kuendelea ukitoa limetorent,o2tvseries,pirates bay,1337x,rarbg,nk.Naitafuta sana hii series.24 S01 COMPLETE Season 1 720p HDTV x264 [MKV, AC3, 2 0] Ehhhh Torrent Download - LimeTorrents.to
Download 24 S01 COMPLETE Season 1 720p HDTV x264 [MKV, AC3, 2 0] Ehhhh torrent for free, Downloads via Magnet Link or FREE Movies online to Watch in LimeTorrents Hash: B4F253EC89F0669B63451E120A20DF1830C7170Awww.limetorrents.to
Ivan alikuwa hatari sana yani yule Mwamba alinogesha sana series...!!Huu mzigo wenyew hizi akili za kivita za Ivan the boneless zilinifanya niupende zaidi huu mzigo
Inategemea na mtandao unaotumia...ok endelea kutafuta utapataHizi hazina seeders wengi kushusha mzigo utakesha sana!!! Mwenye link nyingine ya 24 720p na kuendelea ukitoa limetorent,o2tvseries,pirates bay,1337x,rarbg,nk.Naitafuta sana hii series.
Ahsanteni sana.
Liz yumo?The blacklist season 9 is out
No hayumoLiz yumo?
Aah sasa mbona wameondoa uhondo walipofikia palikuwa patamu sana hata sina habari nayo tena.No hayumo
Ujue tangu ulivyoelezea hapa nikaenda kuishusha season 1 na season 2 baadae ila sikuziangalia maana niliambiwa kuna movie yake pia so nikashusha movie nikaicheck kwanza ila izo nikaweka pending nikajua story itakuwa ileile ila week iliyopita nikaanza kuangalia aisee nikaziangalia seasons zote 2. Aisee ina story nzuri sana huu mzigoSnowpiecer... Moja ya series nzuri sana
Inahusu maisha ya baadae kunatokea na baridi kali duniani, hivyo kufanya watu kukosa makazi ya kuishi,wakati baridi kali hilo linatokea kunatokea na Train moja kubwa sana ambayo inazunguka dunia, so ili ujisalimishe na baridi hiko inakubidi upande hiyo Train inayozunguka duniani, na ndani ya Train hiyo kuna classes za maisha, kuna low life, medium hadi high life ndani ya hiyo hiyo Train...
Wakati Train hiyo ikiendelea kuzunguka dunia na baridi likizidi kuwa kali, ndani ya Train hiyo yanaanza kutokea mauji ya watu mbalimbali hivyo inapelekea mmiliki wa Train hiyo ambaye ni mwanamama kutafuta detective wa kuchunguza vifo vya watu hao,,,kwenye hiyo Train detective anapatika kwenye low class...
Hadi sasa mzigo uko na season 1 complete, na season 2 ndio ipo ongoing...
Moja ya series nzuri sana, Hii Snowpiecer miaka ya nyuma huko walishawahi kutoa movie yake nayo inaitwa hivyo hivyo Snowpiecer ya Christ Evans!!
Mzigo umetulia sana mkuu,nilipenda story yake,kuna sehemu niliona wanasema inakuja ya tatuUjue tangu ulivyoelezea hapa nikaenda kuishusha season 1 na season 2 baadae ila sikuziangalia maana niliambiwa kuna movie yake pia so nikashusha movie nikaicheck kwanza ila izo nikaweka pending nikajua story itakuwa ileile ila week iliyopita nikaanza kuangalia aisee nikaziangalia seasons zote 2. Aisee ina story nzuri sana huu mzigo
View attachment 1986528
Yeah! Unaendelea mwakaniMzigo umetulia sana mkuu,nilipenda story yake,kuna sehemu niliona wanasema inakuja ya tatu