Series (Special thread)

Wakuu anaejua series kali za love stori,drama za American naomba zinampangilio unaoeleweka naomba list nizisake.
 
Sioni wadau humu ndani wakizungumzia hii tv show...
Ni moja ya series nzuri sana ambayo story yake inakubeba,inakufanya utizame kila baada ya episodes inapoisha..
Mzigo hadi sasa una season mbili,zenye jumla ya episodes 12..

Hii ni series ambayo inaelezea miaka ya baadae huko maisha kubadirika na kufanya watu kuanza kuishi kwa kuhama hama baada ya mwanga wa jua kuwa mkali na kuanza kuuwa kila kiumbe hai,hivyo basi inabidi watu waende kuishi sehemu ambayo jua linazama na linapokarbia kuchomoza kuhama tena kwende sehemu nyingine ambayo jua litakuwa linazama..

Ni bonge moja la series,nimeipenda hii series kuanzia storiline na matukio yake..uzuri ni kuwa Netflix wamei dubbed,kwa hyo iko na english version..Itafuteni!!
 
Mzigo mkali sana huu kwanza hauchoshi sababu unamatukio mengi ambayo yanakulazimisha usipepese macho
 
Ndio napendendelea sana america lakini kama unayoyote kali sana umeielewa ni listie tu.

Alimaanisha Tv show “All American”
Sema kwa drama kama ulivyosema kuna hizi hapa pia

-This is us- hii kitu ni one of the best
-Jane The Virgin
-Sex/Life
-Riverdale
-You- ila hii ipo dark flan hivi
-Succession- sio Love sana ila kama uko into business utaiona very interesting
-Filthy Rich
-The baker and the beauty
-Friends from college
-A discovery of Witches
-Star crossed

Zipo nyingi sana sema nimelist baadhi unaweza pata za kuanza nazo
 
See season 1 ina episode 8 tu?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…