bobby_Barbosa_9
JF-Expert Member
- Jul 29, 2019
- 633
- 1,275
Sio mwisho bado unaendelea kutoka.. nadhan ni kila alhmis km sijakoseaNarudisha shukrani kwa yule alienishauri kuiangalia SEE.
Ubarikiwe sana.
Kwa wale mnaoendelea na season 2, pale ilipofikia ni mwisho?
Maana sitaki niishie kwenye utamu, nataka nikiangalia nimalize moja kwa moja.
Uvumilivu wa kulaza viporo huwa sina kabisa.
Mfano mzuri tu ni namna 24 ilivyonifanya nikeshe 2 days in a row.
ahsante kwa hili pendekezo lako, nimeziangalia episode 6 lakini tayari zimenizalishia ari ya kuendelea nayo. Nafikiri nchi yetu ingelikuwa na watendaji wakuu mfano wa yule medical director (Dr max) tungelikuwa mbali sana kinidhamu ya kazi na kujiamini kwa kile unachokisimamia.New Amsterdam ni bonge moja la show nampenda dr Helen...she’s cute, halafu kwann jamaa hapo hapend Quantico?
ahsante kwa hili pendekezo lako, nimeziangalia episode 6 lakini tayari zimenizalishia ari ya kuendelea nayo. Nafikiri nchi yetu ingelikuwa na watendaji wakuu mfano wa yule medical director (Dr max) tungelikuwa mbali sana kinidhamu ya kazi na kujiamini kwa kile unachokisimamia.
==============
jamaa nilimuona kwenye blacklist, kwenye episode ya 3 kama nitakuwa sahihi nimemuona mwanama aliyeigiza uhusika wa katarina restova ndani ya blacklist
how may I help you?
Sijaziona zote na nyingine sikumaliza coz kwa upande wangu sikuzipenda.msaada wa link au telegram channel ya hizi series zifuatazo
Baharia mweuc , Nigendako
- the pacific
- Band of Brothers
- 24
Msaada kma una subtittle ya english kuanzia episode ya sitaSquid Game is
zipoMsaada kma una subtittle ya english kuanzia episode ya sita
x1377xmsaada wa link au telegram channel ya hizi series zifuatazo
Baharia mweuc , Nigendako
- the pacific
- Band of Brothers
- 24
Naomba unisaidie boss pleasezipo
Mzee big up Sana kwa unachofanya.View attachment 1954520
Tittle:Goliath
:
Season 4 (Episodes 08)
:
Status: Complete
:
Genres😀rama
:
Country Of Origin: United States
:
Rate: 8.1/10
:
STORYLINE
Billy Mcbride is going through a rough patch. He has been fired from the law firm he helped build, his wife has left him, and he's now a down on his luck ambulance chaser. A lady (Patty) approaches him to represent her in a wrongful death case. After reluctantly accepting to take on the case, a series of strange events befall Billy. Through death threats, harassment, and trumped up arrests, Billy embarks on obtaining justice, and it is one hell of a ride. Additional unique cases eventually come Billy and Patty's way, making the ride even more entertaining.
Mkuu hii link mbona kama naona ni series na movies za kikorea tu?ingia drama cool
Ozark nayo kama Break Bad aisee naitafutaaa...Wadau wa breaking badi..wale wanaopenda series imetulia ina kisa Cha kueleweweka napendekeza mtazame 'Ozark'
Inahusu mdau mmoja anatakatisha pesa za madawa yanamkuta mambo mazito Kama Mr Walter white wa breaking bad..
Ozark kali sana, bwana Marty Byrde wa moto muleOzark nayo kama Break Bad aisee naitafutaaa...